Msoto wa maisha Dar es Salaam ulivyonifanya nitamani kuwa mwizi na mhujumu uchumi

Umeongea ukweli Sana natamani kila graduate aione hii
 
Tumeelimika mkuu hakuna mafanikio yanayokuja kirahisi lazima tukubali kuteseka.....
 
Ila marafiki wengi wanaopokea watu mjini, wengi wazushi tu
 
Safi sana mkuu kwa kutupatia kitu asubui leo ya leo wenye akili tutajifunza kitu.
 
Mkuu uoga wako umepelekea uwe lofa mpaka Leo, usiogope mapambano ndani ya kazi ya hatari . Umekimbia mapema sana hapa jijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…