Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,492
- 18,258
Kwa uelewa wako??Withdrawn from active duties. Or to withhold him from active duties. Ni tofauti na kumuua
Kwa uelewa wako??Withdrawn from active duties. Or to withhold him from active duties. Ni tofauti na kumuua
Nataka uelewa wakoKwa uelewa wako??
Deeprooted beneath the system.Ukielewa Gambino family tree au La Cosa nostra mtaelewa kwanini mtahangaika sana na huyo Mzee.
hiyo crime family tree imejengwa kwa miaka mingi sana wapo wanaojulikana na wasiojulikana mbaya zaidi watu wote wenye miguvu na influence kwenye maeneo yote nyeti ni member wa hiyo family mimi naiita Gambino family, Gambino family ndio inaamua nani akae wapi kwa maslahi gani.
Ili usajiliwe kwenye Gambino family lazima uwe vetted vya kutosha, na familia inahusisha watu wa dini zote, makabila yote na asili zote zilizopo Tanzania.
Ni Kosa kuamini huyo mzee yuko peke yake, nyuma yake anazungukwa na kila aina ya watu wenye nguvu kila mahala, anajua kila kinachoendelea na kujili kila kona.
safarini Homs na Damascus.
Deeprooted beneath the system.
Kilaza kama wewe hauwezi kuelewaNataka uelewa wako
Tukaongea mambo mengi pale lakini mwishoni akaniambia, "Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa". Nikamwelewa, nikaondoka pale ofisini.Wakuu,
JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake.
Nilijua hapa anao ujumbe fulani hivyo kumwonesha kwamba niko both backdated na updated nikamwambia, "that happened only after the tail ruptured", then aka-smile na kusema, "ule mstari wa ribiti uliosahauliwa during overhaul preceded the rupture", nikamwambia you are right.
Tukaongea mambo mengi pale lakini mwishoni akaniambia, "Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa". Nikamwelewa, nikaondoka pale ofisini.
Mara nikaamka, kumbe ilikuwa ni ndoto. Tuendelee kusubiri.
'theState'
Anaharibu wapi ?Kikwete aache kutuharibia nchi
Ni bora uwe mjinga na ujue wewe ni mjinga kuliko kuwa mpumbavu na hujijui kuwa ni mpumbavu.Kilaza kama wewe hauwezi kuelewa
Uncircumcised baboon bora baba yako angepiga punyetoNi bora uwe mjinga na ujue wewe ni mjinga kuliko kuwa mpumbavu na hujijui kuwa ni mpumbavu.
Dusted to the bin.🚮
Kikwete ni mpiga dili, wapiga dili wanamtumia yeye kuongoza nchi, mama hana mamlaka , yupo tu ila bosi wake ndie kila kitu, endeleeni kufurahia baiskeli hukoAnaharibu wapi ?
Kama Samia amekubali awe boss wake, unawezaje kusema rais ana boss anayeharibu nchi ?
Kikwete ndio adui wa nchi yetu, Mungu amlaani yeye na kizazi chake.Wakuu,
JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake.
Nilijua hapa anao ujumbe fulani hivyo kumwonesha kwamba niko both backdated na updated nikamwambia, "that happened only after the tail ruptured", then aka-smile na kusema, "ule mstari wa ribiti uliosahauliwa during overhaul preceded the rupture", nikamwambia you are right.
Tukaongea mambo mengi pale lakini mwishoni akaniambia, "Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa". Nikamwelewa, nikaondoka pale ofisini.
Mara nikaamka, kumbe ilikuwa ni ndoto. Tuendelee kusubiri.
'theState'
Matapeli tuuHaya walimtabiria Jakaya...leo wanahusanisha na Ndugai