Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

Ni bora uwe mjinga na ujue wewe ni mjinga kuliko kuwa mpumbavu na hujijui kuwa ni mpumbavu.

Dusted to the bin.🚮
Vipi wewe mwehu bado unaendelea na ubishi wako??
 
Wakuu,

JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake.

Nilijua hapa anao ujumbe fulani hivyo kumwonesha kwamba niko both backdated na updated nikamwambia, "that happened only after the tail ruptured", then aka-smile na kusema, "ule mstari wa ribiti uliosahauliwa during overhaul preceded the rupture", nikamwambia you are right.

Tukaongea mambo mengi pale lakini mwishoni akaniambia, "Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa". Nikamwelewa, nikaondoka pale ofisini.

Mara nikaamka, kumbe ilikuwa ni ndoto. Tuendelee kusubiri.

'theState'
Mafisadi watalia na kusaga meno
 
Kwa born town mnapoteza muda kwa vile tunaongozwa na makoroma mwacheni ale ustaafu wake kwa huruma kabisa! Mwezi November napita pale kwake kumjulia hali!
 
Huu uzi ulikua umebeba hatima ya Tamzania. Sijui the state walifeli wapi, Au na nyinyi mmekua compromissed
 
Muda wa ku unsubscribe kwenye huu uzi maana hauna maana hata moja.
 
Kulikuwa kuna high hopes sana kwenye huu uzi ndio hivo tena
 
Back
Top Bottom