Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

Ukielewa Gambino family tree au La Cosa nostra mtaelewa kwanini mtahangaika sana na huyo Mzee.

hiyo crime family tree imejengwa kwa miaka mingi sana wapo wanaojulikana na wasiojulikana mbaya zaidi watu wote wenye miguvu na influence kwenye maeneo yote nyeti ni member wa hiyo family mimi naiita Gambino family, Gambino family ndio inaamua nani akae wapi kwa maslahi gani.
Ili usajiliwe kwenye Gambino family lazima uwe vetted vya kutosha, na familia inahusisha watu wa dini zote, makabila yote na asili zote zilizopo Tanzania.

Tofauti ya Gambino OG au Cosa nostra na hawa Gambino wa TZ ndio inayofanya kuwa ngumu kuimaliza Gambino TZ, Gambino TZ ilichukua umiliki wa TZ na kuuweka kwenye himaya zake, it's operate from inside the state.

Ni Kosa kuamini huyo mzee yuko peke yake, nyuma yake anazungukwa na kila aina ya watu wenye nguvu kila mahala, anajua kila kinachoendelea na kujili kila kona.

safarini Homs na Damascus.
 
Deeprooted beneath the system.
 
Deeprooted beneath the system.

yeah, operating from inside, it's the state and the system itself.. and that is the different between them and other famous crime organizations.

safarini Homs na Damascus.
 
Tukaongea mambo mengi pale lakini mwishoni akaniambia, "Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa". Nikamwelewa, nikaondoka pale ofisini.
 
Ni bora uwe mjinga na ujue wewe ni mjinga kuliko kuwa mpumbavu na hujijui kuwa ni mpumbavu.

Dusted to the bin.🚮
Uncircumcised baboon bora baba yako angepiga punyeto
 
Anaharibu wapi ?
Kama Samia amekubali awe boss wake, unawezaje kusema rais ana boss anayeharibu nchi ?
Kikwete ni mpiga dili, wapiga dili wanamtumia yeye kuongoza nchi, mama hana mamlaka , yupo tu ila bosi wake ndie kila kitu, endeleeni kufurahia baiskeli huko
 
Kikwete ndio adui wa nchi yetu, Mungu amlaani yeye na kizazi chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…