Vipi wewe mwehu bado unaendelea na ubishi wako??Ni bora uwe mjinga na ujue wewe ni mjinga kuliko kuwa mpumbavu na hujijui kuwa ni mpumbavu.
Dusted to the bin.🚮
Le CaptainKumekucha
Mafisadi watalia na kusaga menoWakuu,
JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake.
Nilijua hapa anao ujumbe fulani hivyo kumwonesha kwamba niko both backdated na updated nikamwambia, "that happened only after the tail ruptured", then aka-smile na kusema, "ule mstari wa ribiti uliosahauliwa during overhaul preceded the rupture", nikamwambia you are right.
Tukaongea mambo mengi pale lakini mwishoni akaniambia, "Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu anastaafishwa". Nikamwelewa, nikaondoka pale ofisini.
Mara nikaamka, kumbe ilikuwa ni ndoto. Tuendelee kusubiri.
'theState'
Kuna nini?Wakuu
SoonTawire lini inatimia?
Kwa born town mnapoteza muda kwa vile tunaongozwa na makoroma mwacheni ale ustaafu wake kwa huruma kabisa! Mwezi November napita pale kwake kumjulia hali!Wakuu,