Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

Daah asiwe Mr. Smile nitaliaa Mungu ampe uhai mrefu mzee wetu
Hawajaonyesha Wana intention ya hilo uliwazalo!!!nadhani just to cut connection of his influence towards their mission!!!they can't do as Kipipa but may be exile like machinery!!
 
Watanzania wengi wao ndivyo walivyo,hata mwendazake alipokawa hai ilikua anaombewa hadi kifo,leo hii hayupo wanamlilia, after all ain't nobody killed Magufuli kama mnavyojaribu kupiga ramli,he died a natural death and ain't nobody shall live forever,he's dead and gone,Samia will serve this state kwa mapenz ya mungu vile vile, kuendelea kuamin ramli ni dalili za uchawi,na mchawi siku zote ni kiumbe dhaifu tuh
 
Hii ni ndoto mkuu!! Jamaa hajataja yeyote!!by the way I love them all !!!and were good!!
 
Ndugu wa Marehemu mna shida sana!

Alichopanga Mungu mwanadamu hawezi pindua. Rudini Burundi tu

Jamii forum nowadays waganga na wapiga ramli wamekuwa wengi Sana,jamaa zake wanasherehesha kuwa jamaa yao akiandika jambo lazima liwe,na hapo lazima mtu adondoke na mambo mengine yaendelee,

Sasa yeye amekuwa mungu kwamba alisemalo lazima liwe?fikra za kichawi kichawi tuh,sawa kafarik jamaa yao,hiv tuseme leo amefufuka na anataka kuja kuwaongoza Tena watakubali??
 
mazuzu mnajipa matumaini hewa!
 
Ndo mana kwenu mnaua vikongwe kwa kuwahisi wachawi!

Nyie jamaa ni wapuuzi sana na bora Mungu alituepusha na nyie!

Ndo mana mnamshabikia mpuuzi Kama Zumaridi
Utapata stroke bureee tulia tuli...Born city at work....Aah kumbe na mimi naota!
 
Huyu mtu anaandika na kupotea then huu uzi utakuja kufufuliwa after some months "execution" is done! Hakuna uzi hata mmoja wa huyu ambao tukio halikutokea!

Watch and pray!
Prayers are very important now than any other time...It is well with us, in Jesus name, I command Amen!
 
Hawajaonyesha Wana intention ya hilo uliwazalo!!!nadhani just to cut connection of his influence towards their mission!!!they can't do as Kipipa but may be exile like machinery!!
Kipipa😁😁 watu mna mambo humu. Akumbukwe mz3na.
 
I agree with you!
 
angalieni tu, huyo naye ni Mwamba, bwana "hutaki unaacha" ule utabiri wake umeenda kinyume na jamaa analea wajukuu sasa hivi wenzie wako mjini.... alijaribu matokeo yake yakawa hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…