Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

Mkuu hii ni hulka ya binadamu, yaani Kuna vitu lazima vizungumzwe hata iweje. Yaani kwa population yote hii lazima kuwe na watu wa aina hiyo na kuwaza au kuzungumza hivyo.
 
Hajataja yyte??na hzo speculations wanazoendelea nazo jamaa zake huzion?

That's childishness,kuongoza nchi siyo jambo la masihara masihara,watu wajifunze kuwa na adabu na mamlaka
Nakuunga mkono kwa huu ujinga wa speculations
Lakini kusema watu wawe na adabu na mamlaka ni upuuzi mkubwa na ndio maana umetengeneza taifa la aina hii.
Hatupaswi kuwa na adabu na mamlaka, kila mtu atimize yake. Wananchi wafanye kazi, na mamlaka ifanye sehemu yake.
 
Bado speculation zinaendelea wakati Mangula kasha staafishwa? Sorry kang'atuka. Huyo tumia akili atakuwa anaongelea mangula
 
Nyie wenyewe ndio mna uxenge mwingi.

Mtu anafanya taifa mali yake mnamtolea mimacho tu saa hizi ndio mnajifanya mnaona.

Jiwe na crew yake walikuwa na nia njema sana tatizo ni nyinyi watumishi msio waadilifu mnalifikisha taifa huku.
 
Imekaa kama "Msoga", "Hisa za Vodacom" na "Monduli"... Ja-Az-Lo [emoji848] huku 123 ikionesha sequence kuanzia top kushuka [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]....


Najaribu kuwaza tu lakini.
yaaani nimeskia


paaaaaaaaaaaaah

kumbe tairi la gari limepata pancha.


sina team mimi ni msomaji tu km wasomaji wengine ambao baada ya kusoma tunawaza tuwazavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…