Mstaafu anakwama sababu ya kukosa ID ya NIDA

Mstaafu anakwama sababu ya kukosa ID ya NIDA

Upo sehemu gani? Kuna jambo nataka tuongee ili apate pensheni haraka
 
Wakuu heshima kwenu,

Mbali na kuwa ana namba ya kitambulisho cha NIDA mzazi wangu aliyefikisha umri wa kustaafu anakwama kufwatilia process zote ndani ya halmashauri anapofanyia kazi kwakuwa anakosa kitambulisho cha NIDA. Wahusika wanaopokea barua zake wamekataa kutumia namba ya NIDA wanataka kitambulisho.

Kwa wenye uzoefu ninaomba kujua ni wapi anaweza kupata kitambulisho hicho maana ni wale waliojiandikisha awamu ya mwanzo kabisa kabla ya zile foleni za mwaka jana.

Asanteni.
Kama ana namba ya NIDA aingie kwenye system a download ama kuna stationery zinaweza kumsaidia... Maana kwasasa nchi nzima hakuna vitambulisho vinatolewa wanasema shida ni material
 
Kama ana namba ya NIDA aingie kwenye system a download ama kuna stationery zinaweza kumsaidia... Maana kwasasa nchi nzima hakuna vitambulisho vinatolewa wanasema shida ni material
Senkyuuu mjomba angu
 
Upo sehemu gani? Kuna jambo nataka tuongee ili apate pensheni haraka
Hahaha aha mambo ya kuambiwa kuna biashara hii leta M10 hayatakuwepo lakini?
Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom