Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kukuona jukwaa la siasa! Hivi wewe huumizwagwi na siasa au ndo nyie mnaokula keki ya taifa..?
Okay iwe hivi fanya tule wote hayo mafao..😁
Msamba ni Mambo ya kidigal..😊Kibeeee hujamboo...!???
Kwenye siasa kungekuwa na Mahaba ungeniona...
Huko kaeni wenyewe labda kama kuna mambo ya nichum babe nichum ntakuja 🤪🤪
Msamba unao wa kula mafao??!
Hongera bibi Kasinde
Karibu inyonga Kwa wajomba zako
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hongera sana kwa utumishi wa mda mrefu,ila kuwa makini,kuna wimbi la watoto kuua wazazi linaendelea[emoji3]
Hongera sana Kasie, nakuombea maisha mazuri na marefu ya ustaafu baada ya kuitumikia Jamhuri. Kwa humu JF wewe ni kati ya watu wachache ambao siku zote uko positive, na unapenda wengine wafurahi. Kila lakheri Kasie.
Mashikolo mageni mayo 🤣Nilikiacha nyumbani mahsusii ili nikate mitaa ya Daslam.
Hapa nimevaa lile likola la kunyoosha shingo maana nimeshangaa maghorofa yooteee...
Hongera Bibi Kwa kulitumikia taifa lako Kwa Miaka mingi hiyo,
Ila nakuomba Sana baada ya kuipata stahiki Yako Kaa mbali na
Motivation speakers hao wakiona ushapata papers watajidai wanakupa mbinu za kufuga kuku wapuuzie ukifika msimu wa mdondo zitapukutika zote!
NB: huo ni mfano tu
Enjoy yourself!
Mimi nilikuwepo hiyo mitaa ni kama ulikuwa mbele yangu! nikajisemea kimoyo moyo kwamba huyu mwanamke enzi za ujana wake alikuwa mkali sana!!?Mweeh iko siku tutakutana tuu, hakuna Matata.