Mstaafu Kasinde Matata 🥰

Mstaafu Kasinde Matata 🥰

Sijawahi kukuona jukwaa la siasa! Hivi wewe huumizwagwi na siasa au ndo nyie mnaokula keki ya taifa..?

Okay iwe hivi fanya tule wote hayo mafao..😁

Kibeeee hujamboo...!???

Kwenye siasa kungekuwa na Mahaba ungeniona...

Huko kaeni wenyewe labda kama kuna mambo ya nichum babe nichum ntakuja 🤪🤪

Msamba unao wa kula mafao??!
 
Kibeeee hujamboo...!???

Kwenye siasa kungekuwa na Mahaba ungeniona...

Huko kaeni wenyewe labda kama kuna mambo ya nichum babe nichum ntakuja 🤪🤪

Msamba unao wa kula mafao??!
Msamba ni Mambo ya kidigal..😊
 
Hongera sana kwa utumishi wa mda mrefu,ila kuwa makini,kuna wimbi la watoto kuua wazazi linaendelea[emoji3]

Hivi kwanini hii kitu?...

Ni madhara/matokeo ya chanjo za UVIKO...!???

Mungu aepushie mbali hata bange huwa haibangui hivyo...
 
Kasinde Matata hivi hujaachana na Daddy. Mimi ni Marioo hata unilelee nipunguze ugumu wa maisha.

Ukishindwa kabisa waambie basi hapo kwenye taasisi waniajiri nizibe pengo lako.
 
Hongera sana Kasie, nakuombea maisha mazuri na marefu ya ustaafu baada ya kuitumikia Jamhuri. Kwa humu JF wewe ni kati ya watu wachache ambao siku zote uko positive, na unapenda wengine wafurahi. Kila lakheri Kasie.

Thanks Kiraka 😍😍

Blessings to you.
 
Hongera Bibi Kwa kulitumikia taifa lako Kwa Miaka mingi hiyo,
Ila nakuomba Sana baada ya kuipata stahiki Yako Kaa mbali na
Motivation speakers hao wakiona ushapata papers watajidai wanakupa mbinu za kufuga kuku wapuuzie ukifika msimu wa mdondo zitapukutika zote!

NB: huo ni mfano tu
Enjoy yourself!

Asante kwa kujali, leo niliamkia pale PSPF yaani nimemalizana nao saa saba mchana.

Ile nimetoka nje tuu wadau wakanidaka, bi mkubwa kuna mradi unakuja hii 2022 yaani ukiweka milioni 30 unavuna milioni 150.....

Nikatabasamu nikawaangalia nikasema hiiiiiii (in Magu’s voice) sio kirahisi hivyo eheheheheeeee.
 
Babu Asprin kuna mtu mzima mwenzio huku keshapokea mafao yake anahitaji kampani ya kwenda kusosomola K-vant

Aahahahahhaa

Bora umfufue kutoka huko alikojificha mstaafu mwenzangu huyu aka veteran mwenzangu tukafuge kwale na kulima chumvi baharini 😜.
 
Bwana mi sijaelewa, eti umestaafu. Maandishi yako hayaoneshi chembechembe za uzee mbona.

Usijali....

Ni kawaida na hutokea...

Kijana wa miaka 25 akawa na muonekano na mtazamo wa mzee wa miaka 65 and vice versa.
 
Unaweza kuwa mtu mzima Ila siamini kama ni uzee wa kustaafu.

Usijalii....

Hata Tomaso hakuamini hadi alipopapasa alama za vidonda.

Hauko pekeyako.
 
Kasie Vp huhitaji chawa?

Aahahahahahaa

Umenifanya niukumbuke huu wimbo....

Tunafukuza chaawaaaa.....😅😅😅

Penye chawa Nyani hakosekani, atawakagua chawa wote na kuwatoa...😜
 
Mweeh iko siku tutakutana tuu, hakuna Matata.
Mimi nilikuwepo hiyo mitaa ni kama ulikuwa mbele yangu! nikajisemea kimoyo moyo kwamba huyu mwanamke enzi za ujana wake alikuwa mkali sana!!?
ukisema nitaje na nguo ulizovaa nakutajia....
ww niruhusu
 
Hujamjua vuzuri Kasie na hujajua kastaafu nini.

Wakubwa tunajuana.

Babuuuuu

Nimepaliwa na fenesi ujuwe kwa kucheka 😂😂😂😂😂😂

Hepe Nyuu Yaaa kwanza

Halafu malabuku zako na za aliyekufungia huko uliko....😊
 
Back
Top Bottom