Mstaafu Kasinde Matata πŸ₯°

Aahahahahhaaa hela inatunzwa na taasisi za fedha.

We nisaidie kupanga matumizi ili niyapeleke kwenye hiyo taasisi. Wakiipitisha basi msuanoo πŸ€ͺ.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…nataka kuwa taasisi
 
hahahahaha daaaa wazee wa fursa hao,yaani mtu anakupa deal la mamilioni Huku yeye akiwa kavaa shati, suruali kadet iliyopauka na viatu vimechoka sole visigino vimeenda upande Halafu anakuja
Nyee! Nyeee! Nyeee Kuna deal ukiweka laki unapata million kama faida!
What a joke!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kasinde Matata hivi hujaachana na Daddy. Mimi ni Marioo hata unilelee nipunguze ugumu wa maisha.

Ukishindwa kabisa waambie basi hapo kwenye taasisi waniajiri nizibe pengo lako.

Aiseeeh Chaliiangu...

Dadiii amekaba kona soteeee hakuna mahala nafurukuta atii 😜

Huko kwenye taasisi vibosile wameshakonektisha wajukuu zao kuziba pengo...😞.
 
Mimi nilikuwepo hiyo mitaa ni kama ulikuwa mbele yangu! nikajisemea kimoyo moyo kwamba huyu mwanamke enzi za ujana wake alikuwa mkali sana!!?
ukisema nitaje na nguo ulizovaa nakutajia....
ww niruhusu

Bhooojooo.....!!!

Woooiiiii...!!!

Usitajeeeee maana ile zembelwa niliyokuwa nimevaaa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Imetosha kwa walioiona....😜😜
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…nataka kuwa taasisi

Hakuna Matata...

Weka nyaraka zako tuu kuonesha umesajiliwa na unadhibitiwa na mratibu wa taasisi basi...

Nakuachia kila kitu upange...πŸ˜‹
 

Na kuna vimbweta wanawakamata....πŸ€ͺ
 
Aiseeeh Chaliiangu...

Dadiii amekaba kona soteeee hakuna mahala nafurukuta atii 😜

Huko kwenye taasisi vibosile wameshakonektisha wajukuu zao kuziba pengo...😞.
Aaah msalimie Dadii sasa mtakuwa mna enjoy life 24/7.

Aaahh hao vibosile wako very nepotistic.
 
Pongezi kwako mstaafu; njoo huku kijijini upate hewa safi na milio mbalimbali ya ndege
 
Hongera sana kwa kustaafu salama! Bila ya shaka taifa limefaidika Kwa utumishi wako. Kila la kheri katika maisha ya pensheni!
 
Hongera sana kwa kustaafu salama! Bila ya shaka taifa limefaidika Kwa utumishi wako. Kila la kheri katika maisha ya pensheni!
Asante and Amen πŸ™.
 
Reactions: Auz
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…