Mstaafu Kasinde Matata 🥰

Mstaafu Kasinde Matata 🥰

Aahahahahhaaa hela inatunzwa na taasisi za fedha.

We nisaidie kupanga matumizi ili niyapeleke kwenye hiyo taasisi. Wakiipitisha basi msuanoo 🤪.
😅😅😅nataka kuwa taasisi
 
Asante kwa kujali, leo niliamkia pale PSPF yaani nimemalizana nao saa saba mchana.

Ile nimetoka nje tuu wadau wakanidaka, bi mkubwa kuna mradi unakuja hii 2022 yaani ukiweka milioni 30 unavuna milioni 150.....

Nikatabasamu nikawaangalia nikasema hiiiiiii (in Magu’s voice) sio kirahisi hivyo eheheheheeeee.
hahahahaha daaaa wazee wa fursa hao,yaani mtu anakupa deal la mamilioni Huku yeye akiwa kavaa shati, suruali kadet iliyopauka na viatu vimechoka sole visigino vimeenda upande Halafu anakuja
Nyee! Nyeee! Nyeee Kuna deal ukiweka laki unapata million kama faida!
What a joke!
😂😂😂😂
 
Kasinde Matata hivi hujaachana na Daddy. Mimi ni Marioo hata unilelee nipunguze ugumu wa maisha.

Ukishindwa kabisa waambie basi hapo kwenye taasisi waniajiri nizibe pengo lako.

Aiseeeh Chaliiangu...

Dadiii amekaba kona soteeee hakuna mahala nafurukuta atii 😜

Huko kwenye taasisi vibosile wameshakonektisha wajukuu zao kuziba pengo...😞.
 
Mimi nilikuwepo hiyo mitaa ni kama ulikuwa mbele yangu! nikajisemea kimoyo moyo kwamba huyu mwanamke enzi za ujana wake alikuwa mkali sana!!?
ukisema nitaje na nguo ulizovaa nakutajia....
ww niruhusu

Bhooojooo.....!!!

Woooiiiii...!!!

Usitajeeeee maana ile zembelwa niliyokuwa nimevaaa 😆😆😆😆😆

Imetosha kwa walioiona....😜😜
 
😅😅😅nataka kuwa taasisi

Hakuna Matata...

Weka nyaraka zako tuu kuonesha umesajiliwa na unadhibitiwa na mratibu wa taasisi basi...

Nakuachia kila kitu upange...😋
 
hahahahaha daaaa wazee wa fursa hao,yaani mtu anakupa deal la mamilioni Huku yeye akiwa kavaa shati, suruali kadet iliyopauka na viatu vimechoka sole visigino vimeenda upande Halafu anakuja
Nyee! Nyeee! Nyeee Kuna deal ukiweka laki unapata million kama faida!
What a joke!
😂😂😂😂

Na kuna vimbweta wanawakamata....🤪
 
Aiseeeh Chaliiangu...

Dadiii amekaba kona soteeee hakuna mahala nafurukuta atii 😜

Huko kwenye taasisi vibosile wameshakonektisha wajukuu zao kuziba pengo...😞.
Aaah msalimie Dadii sasa mtakuwa mna enjoy life 24/7.

Aaahh hao vibosile wako very nepotistic.
 
images (55).jpeg
 
Pongezi kwako mstaafu; njoo huku kijijini upate hewa safi na milio mbalimbali ya ndege
 
Wakulungwa hamjamboooo....!??

Ule wakati niliokuwa nausubiria kwa hamu sasa umefika. Hatimaye bibi Kasinde amestaafu na kulipwa stahiki yake kwa kuitumikia Jamuhuriya Muungano wa Tanzania kwa kipindi kisichopungua miaka 35.

Yaani waliosema pesa sabuni ya roho hawakukosea, mweeh mweeh yaani najikuta namtabasamia kila nnayepishana naye njiani.

Hapa natembea kwa mguu hadi Ocean Road nikashangae na bahari...

Magorofa nimeyashangaa hadi naona shingo inataka kwenda mrama sasa...[emoji28][emoji28]

View attachment 2079267

View attachment 2079268

View attachment 2079269

View attachment 2079270

Karibuni tukale samaki wa baharini kwa wale walioko feri.

Update:

Wacha nimalizie matukio ambayo sikuyarusha kwa wakati..,,
View attachment 2079849

Mjini kutamu nyieee.... acha tuu

Pamoja na kuwa nimestaafu shamba siendi ng’oo...[emoji12]

View attachment 2079851
Wakulungwa si watu wazuri....

Walimtegea jiwe bi Kasinde, nilijikwaa ila sikuanguka... kiatu ndo kilipata hitilafu ikabidi nipate huduma kwa shushani...
Hongera sana kwa kustaafu salama! Bila ya shaka taifa limefaidika Kwa utumishi wako. Kila la kheri katika maisha ya pensheni!
 
Hongera sana kwa kustaafu salama! Bila ya shaka taifa limefaidika Kwa utumishi wako. Kila la kheri katika maisha ya pensheni!
Asante and Amen 🙏.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Back
Top Bottom