Mstaafu Kasinde Matata 🥰

Mstaafu Kasinde Matata 🥰

C5D33EC6-7FF4-4CCA-B2B3-295D4E712805.jpeg


5BD49ACB-1D06-4B87-BDD2-D3526B2781CF.jpeg


7F82A1C9-12BF-4CFA-A9EC-0B4B4359CF6B.jpeg

43DE9850-0C20-44B9-8491-CADC1F7D3B4E.jpeg


54CAC508-D569-4A79-8F0E-235E99C54ADB.jpeg


85EDF9C0-2DC5-4F15-A3A7-6832152BEA94.jpeg


Safari iliishia kariakoo....🥵
 
Babuuuuu

Nimepaliwa na fenesi ujuwe kwa kucheka 😂😂😂😂😂😂

Hepe Nyuu Yaaa kwanza

Halafu malabuku zako na za aliyekufungia huko uliko....😊
Same there sweetheart...

Niombee niachane na huu mchepuko unaitwa K Vant

Utatuvunjia ndoa yetu
 
Wakulungwa hamjamboooo....!??

Ule wakati niliokuwa nausubiria kwa hamu sasa umefika. Hatimaye bibi Kasinde amestaafu na kulipwa stahiki yake kwa kuitumikia Jamuhuriya Muungano wa Tanzania kwa kipindi kisichopungua miaka 35.

Yaani waliosema pesa sabuni ya roho hawakukosea, mweeh mweeh yaani najikuta namtabasamia kila nnayepishana naye njiani.

Hapa natembea kwa mguu hadi Ocean Road nikashangae na bahari...

Magorofa nimeyashangaa hadi naona shingo inataka kwenda mrama sasa...😅😅

View attachment 2079267

View attachment 2079268

View attachment 2079269

View attachment 2079270

Karibuni tukale samaki wa baharini kwa wale walioko feri.

Update:

Wacha nimalizie matukio ambayo sikuyarusha kwa wakati..,,
View attachment 2079849

Mjini kutamu nyieee.... acha tuu

Pamoja na kuwa nimestaafu shamba siendi ng’oo...😜

View attachment 2079851
Wakulungwa si watu wazuri....

Walimtegea jiwe bi Kasinde, nilijikwaa ila sikuanguka... kiatu ndo kilipata hitilafu ikabidi nipate huduma kwa shushani...
Hahaha
 
Back
Top Bottom