Mstaafu Lema, acha Mama afanye kazi yake

Helenshija

Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
8
Reaction score
7
Mstaafu Lema, nimeona Tweet yako ya leo iliyojaa fitina na ukosoaji wa vijana wenzako walipata nafasi ya kuitumia nchi yetu kwa weledi mkubwa.

Inasikitisha sana kutokuona juhudi zinazofanywa na vijana hawa kwa nguvu na jasho la damu kupigania Watanzania iwe sehemu bora zaidi.

Hata kama unaichukia Tanzania "kama ulivyoikimbia nchi yako "... tuachie sisi tunaoipenda tuishi kwa amani.
 
Hili taifa linaangamizwa na wajinga kama wewe.

Tunakatwa tozo kila siku lakini hatuambiwi zinapokwenda, wala wanakusanya kiasi gani kila mwezi, halafu huyo mwenye dhamana anahusishwa na umiliki wa timu ya mpira wa miguu, huoni tatizo hapa?

Haya mambo yanahitaji idara za usalama wa hili taifa zifanye uchunguzi kwa kushirikiana na TAKUKURU, wananchi hawawezi kwa na imani na serikali inayoendeshwa na vijana wa aina hii.
 
Ujumbe sahihi kwa huyo mkimbizi uchwara. Anajiona yeye ndio mzalendo kuliko wote, hasira zake za kukosa Ubunge Arusha Sasa njaa imempanda mpaka kichwani basi kila siku kujifanya nabii.
 
Wivu tuu wa kijinga huyo Nabii wa chadomo..

Ndio maana anakuja na maneno ya jumla ila hawezi weka ushahidi au kumtaja hata mmja kuthibisha anayoyaandika..

Lema hawezi kuwa na taarifa nyingi kuliko Rais.
 
Mkuu Helenshija , ni vizuri kama ungetuwekea screen shot ya hiyo twitter ya Lema.
P
 
Kwa Kweli tunaburutwa !!
 
Hata username yako imekaa kinaaa


Kichawa wewe ,kione kipelee wewe

Njaa tuu inakusumbuaa
 
Hoja yako ingekuwa na uzito zaidi kama ungenukuu alichoandika Lema.

Amandla...
 
Yaani ujinga huu unaondelea ndiyo unauita weledi .... Seriously!!
 
Shija ni jina la kabila fulani. Sa tweet yake imekuharibia amani wapi? Mtu katoa tahadhari ili mhusika awe makini maana ameona mwenendo si mzuri.
 
Shija ni jina la kabila fulani. Sa tweet yake imekuharibia amani wapi? Mtu katoa tahadhari ili mhusika awe makini maana ameona mwenendo si mzuri.
Mtt wa waziri shija wa enzi hizooo...
Kupata tu ukuu wa wilaya Kwa huruma ameanza mbwembwe mapema hivi....
 
Acha ujinga
Shukuru Mungu hayati alikuwa nafasi Kwa hisani ya jina la baba yako .....
Heeeheee....acha tukae kimya...
 
Lema Hana lolote lile kazi yake ni kupiga makelele tu, atuachie nchi yetu tuijenge wenyewe, yeye akae hukohuko alikokimbilia, yeye anafikili huko aliko walifika walipo bila kuvuja jasho na kujinyima ili wajenge nchi zao, au yeye anazani walikaa tu,

Hana ch kutushauri sisi, kwanza siyo wakinga sisi ambao tunaweza kumsikiliza lema anayeongea huku yupo huko kanada akizurula, aje huku aone namna mh Rais wetu mpendwa anavyoing'arisha Tanzania Yetu, atakuja kupotea hata Arusha aliyo acha ameiharibu
 
Mtt wa waziri shija wa enzi hizooo...
Kupata tu ukuu wa wilaya Kwa huruma ameanza mbwembwe mapema hivi....
Kumbe!! Ndo maana hatujui wenye njaa ye anaona viongozi wanapambana kwa jasho na damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…