Mstaafu Lema, acha Mama afanye kazi yake

Mstaafu Lema, nimeona Tweet yako ya leo iliyojaa fitina na ukosoaji wa vijana wenzako walipata nafasi ya kuitumia nchi yetu kwa weledi mkubwa.

Inasikitisha sana kutokuona juhudi zinazofanywa na vijana hawa kwa nguvu na jasho la damu kupigania Watanzania iwe sehemu bora zaidi.

Hata kama unaichukia Tanzania "kama ulivyoikimbia nchi yako "... tuachie sisi tunaoipenda tuishi kwa amani.
Usitusemee ambao hatuishi kwa amani
 
Lema Hana lolote lile kazi yake ni kupiga makelele tu, atuachie nchi yetu tuijenge wenyewe, yeye akae hukohuko alikokimbilia, yeye anafikili huko aliko walifika walipo bila kuvuja jasho na kujinyima ili wajenge nchi zao, au yeye anazani walikaa tu,

Hana ch kutushauri sisi, kwanza siyo wakinga sisi ambao tunaweza kumsikiliza lema anayeongea huku yupo huko kanada akizurula, aje huku aone namna mh Rais wetu mpendwa anavyoing'arisha Tanzania Yetu, atakuja kupotea hata Arusha aliyo acha ameiharibu
Kupe mkuu. Majina haya yanayoanza na Mwa... ni tishio sana. Mwakachele, mwakagali, mwakachipsi n.k
 
Hili taifa linaangamizwa na wajinga kama wewe.

Tunakatwa tozo kila siku lakini hatuambiwi zinapokwenda, wala wanakusanya kiasi gani kila mwezi, halafu huyo mwenye dhamana anahusishwa na umiliki wa timu ya mpira wa miguu, huoni tatizo hapa?

Haya mambo yanahitaji idara za usalama wa hili taifa zifanye uchunguzi kwa kushirikiana na TAKUKURU, wananchi hawawezi kwa na imani na serikali inayoendeshwa na vijana wa aina hii.
Kwani huko aliko huyo lema unazani hawalipi Kodi na Tozo, unataka Nani atujengee nchi yetu, unataka Nani avuje jasho ili wewe ufaidi matunda yake, kwani huvioni vituo vya Afya, zahanati shule na huduma za maji na umeme zikisambazwa kila Kona kutokanaa na Kodi na Tozo zetu, huyo lema arud Tanzania aone tunavyosonga mbele na hata namna Arusha ilivyobadilika baada ya yeye kuiharibu kwa miaka kumi, Sasa vijana wanajitambua pale Arusha na Wala hawana habari Naye Tena, na watanzania wote kwa ujumla wanamuunga mkono mh Rais wetu na hakuna anayeweza kukuelewa ukimsema vibaya mh Rais wetu
 
Kupe mkuu. Majina haya yanayoanza na Mwa... ni tishio sana. Mwakachele, mwakagali, mwakachipsi n.k
Utakuwa una tatizo linalohitaji matibabu Kama unaweza ukimsikiliza mtu aina ya Lema aliyekimbia nchi na kutumia huduma ambazo wengine walivuja jasho ili kujenga nchi zao,

Yeye yupo huko halafu na wewe kwa akili yako unataka umsikilize, ukiumwa utakwenda kutibiwa huko? Au mtoto wako atasoma huko? Kwanini usifurahi kuona namna mh Rais wetu anavyopambana kuboresha huduma zetu za kijamii, hufurahi kuona namna huduma zilivyosogezwa karibu yetu

Rais wetu ameongoza njia kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe, hivyo hatuna budi kumuunga mkono Rais wetu, lema ajuwe sisi watanzania siyo wakinga Kama anavyofikiria ndio maana tulishampuuza maneno yake na tupo na mh Rais kuijenga nchi yetu
 
Hata rais wako akiumwa ataenda kutibiwa huko. Watoto wao wanasoma huko, washuti video za royal tour aliwatoa huko, waleta hela za misaada ya uviko wako huko hivyo lema kwenda huko kwa usalama wake yuko sawa tu.
 
Maoni ya Ndugu Lema sio mabaya kumbuka nitaadhari tu ameitoa kwa Mama Samia.
Tukumbuke maoni hayapigwi rungu bali ni kuyafanyia kazi na Mama akiona hayana maana atawaacha hao wahusika waendelee kufanyakazi ktk hizo nafasi zao.
Na kumshambulia mleta maoni ni kudumaza maoni ya watu wengine kitu ambacho sio afya kwa taifa kwani taifa linajengwa na wengi inabidi tuheshimu maoni haijalishi ni nani katika taifa kikubwa ni kufanyia kazi tu
 
Hata rais wako akiumwa ataenda kutibiwa huko. Watoto wao wanasoma huko, washuti video za royal tour aliwatoa huko, waleta hela za misaada ya uviko wako huko hivyo lema kwenda huko kwa usalama wake yuko sawa tu.
Usalama gani wewe ndugu yangu, Yule kaenda kwa mambo yaake tu na sababu zake, mbona wewe na Mimi tupo hapa hapa Tanzania tukiijenga nchi yetu? Kwanini wewe hujakimbia nchi? Tanzanian Ni salama chini ya mama Samia, mbona mh Mbowe yupo hapa anaendelea kumuunga mkono mh Rais wetu na anaendelea na Mambo yake
 
Mimi nipo kwa sababu siwindwi km lema! Usalama wa watu uko tofauti ndo maana mwingine kwake analindwa na kampuni, mwingine askari mwingine mabaunsa na mwingine yupo tu bila ulinzi
 
Sasa lema ana Nini na hatari gani mpaka awindwe? Labda Kama Kuna watu amewadhulumu ndio kaenda kukuficha huko, Huoni mh Mbowe anavyoendelea na shughuli zake kwa amani, hata akina msigwa,heche,sugu, kigaila, Mnyika wapo na wanaendelea kuijenga nchi, Sasa lema ana Nini Cha ziada Hadi awindwe Kama hajazulumu watu Fu huko, maana hata hoja zenye mashiko na kiutafiti Hana zaidi ya kuweka mahisia na ndoto anazoota mchana
 
Kwa amani wakati katoka central majuz baada ya kusota miezi zaid ya 8 mahabusu.
 
Mstaafu Lema, nimeona Tweet yako ya leo iliyojaa fitina na ukosoaji wa vijana wenzako walipata nafasi ya kuitumia nchi yetu kwa weledi mkubwa.

Inasikitisha sana kutokuona juhudi zinazofanywa na vijana hawa kwa nguvu na jasho la damu kupigania Watanzania iwe sehemu bora zaidi.

Hata kama unaichukia Tanzania "kama ulivyoikimbia nchi yako "... tuachie sisi tunaoipenda tuishi kwa amani.
Wewe ndiye inayeichukia Tanzania kwa kukataa rais ashauriwe.

Ulioaswa upinge kwa hoja zilizofanyiwa utafiti kuhusu aliyoyasema Lema.

Tena Lema amwongea kiungwa kabisa na kuna asilimia nyingi za ukweli kuwa hali sio shwari sana.
 
Mstaafu Lema, nimeona Tweet yako ya leo iliyojaa fitina na ukosoaji wa vijana wenzako walipata nafasi ya kuitumia nchi yetu kwa weledi mkubwa.

Inasikitisha sana kutokuona juhudi zinazofanywa na vijana hawa kwa nguvu na jasho la damu kupigania Watanzania iwe sehemu bora zaidi.

Hata kama unaichukia Tanzania "kama ulivyoikimbia nchi yako "... tuachie sisi tunaoipenda tuishi kwa amani.
Jamaa jinga sana wewe
 
Sasa lema ana Nini na hatari gani mpaka awindwe? Labda Kama Kuna watu amewadhulumu ndio kaenda kukuficha huko, Huoni mh Mbowe anavyoendelea na shughuli zake kwa amani, hata akina msigwa,heche,sugu, kigaila, Mnyika wapo na wanaendelea kuijenga nchi, Sasa lema ana Nini Cha ziada Hadi awindwe Kama hajazulumu watu Fu huko, maana hata hoja zenye mashiko na kiutafiti Hana zaidi ya kuweka mahisia na ndoto anazoota mchana
Kumbuka ndoto zake huwa za kweli.
Maonyo yake hutimia yakipuuzwa.
Ukamuulize Sabaya na aliyekuwa boss wake
 
Iweje uchukie mtu kutumia haki yake ya msingi kujieleza? Kama una ukweli wako uweke kwe sahani ya fedha watu wasome.

Back
Top Bottom