Polisi wetu wamegeuzwa kituko na sisiem.Kesho unaweza sikia kaitwa Polisi kwa kufanya maadamano!!
2015 walipigwa kwa tofauti ya kura elfu 10Kila la kheri japo jimbo hili ni muhimu sana kwa CCM, watatumia kila silaha kulipata.
Anagombea kupitia Nccr mageuzi!Kubenea Hagombei?
Kubenea Hagombei?
Amekwishatia niaBado hajachukua fomu, akichukua tutakujuza pia.
Unaijua Elimu ya Bonie ?Umeya haulipi? Ubungo tunataka wasomi
Loser ni wewe na mwenyekit wenu pungaNgoma ya watoto haikeshi inapendeza mnavyo jitutumua mkijua wazi hamuwezi kushinda nyie Ni losers
Atagombea kupitia NCCRKubenea Hagombei?
Hiyo Lumumba unayemsema ulishawahi kujiuliza kwanin Kenya walishampuuza au hujui nikupe taarifa acha kuangalia clip za global na kuleta uninga hapa
Wana Sacco's mkiongozwa na mwenyekiti wenu wa kudumu DJ chapombe Ni losers [emoji23][emoji1787][emoji2960]Loser ni wewe na mwenyekit wenu punga
Kuamini kwenye upinzani ni kama kupiga pedo baiskeli isiyo na mnyororo.Huwa nakaa ufukweni na kuwatafakari Chadema.....
Nawatafakari sana vijana wa CDM....hususani wale wenye hulka Kama ya BONIPHACE JACKOB.....
Siku moja mama yangu aliniuliza swali juu ya asili ya MABOKSA,WACHEZA FILAMU ZA MAPIGANO NA MIELEKA...
Akaniuliza "Hawa inawezekana kweli wakawa ni vijana waliolelewa vizuri,kwa amani na utulivu wkt wa utoto wao, kama kuwa walokole ama maustadhi?!!!
Nikamjibu
Hao wengi wao ni kinyume chake....
Hao wengi wao ni wale MANUNDA....
Hao wengi wao ni wale wenye saikolojia ya kupenda SHARI,VURUGU,HASAMA,HAMKANI HALI SI SHWARI....
Wengi wao ni watu wanaofika "orgasm" kuona WANAVUTWAVUTWA KUSUKWASUKWA na VYOMBO vilivyowekwa KISHERIA......
Naendelea kumtafakari mh.Boniface Jackob na Hilo BERETI LAKE JEKUNDU CHINI MIBUTI KM KOMANDOO WA NGERENGEREπππππ
πππKuamini kwenye upinzani ni kama kupiga pedo baiskeli isiyo na mnyororo.
Tusubiri kuona...Kesho unaweza sikia kaitwa Polisi kwa kufanya maadamano!!