Uchaguzi 2020 Mstahiki Meya wa Ubungo Boniface Jackob achukua fomu ya kuomba ubunge wa Jimbo la Ubungo kwa Kishindo

Uchaguzi 2020 Mstahiki Meya wa Ubungo Boniface Jackob achukua fomu ya kuomba ubunge wa Jimbo la Ubungo kwa Kishindo

Haikuanza Jana......

Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza maswali juu ya CHADEMA....haswa KUHUSU MRENGO WAKE WA KISIASA....

LEO mh.Boniface Jackob amenipatia mwanga.....

MWANGA WENYEWE NI KUWA CHADEMA NI KIKUNDI TU CHA WANAOJIFANYA WANASIASA LAKINI WASIO NA HATA MWELEKEO WA KISIASA....

CCM inaamini katika ujamaa na kujitegemea na ndio mana ni kawaida kuwaona wakijinasibu na ujamaa ama hata UKOMUNISTI japo si Sana na CCM(si wakomunisti) hizi ni baadhi ya SLOGANS zake km;

1.Viva
2.Aluta Continua
3.Siempre Siempre
4.Hasta la victoria

Prof.Lumumba mtunduizi na mwanamajumui wa afrika alipata kusema kuwa,CCM na ANC ndivyo vyama viwili pekee vilivyo IMARA barani afrika,kiitikadi na KIMTANDAO.....

CHADEMA hawana ITIKADI imara...
CHADEMA hawana FALSAFA......
CHADEMA hawana MTANDAO kutoka mashinani mpaka TAIFA....

Kubwa la yote CHADEMA hawaamini katika ITIKADI YAO tusiyoijua na HAWAIJUI ITIKADI yao TUNAYOIAMINI.

Rudisha Jicho lako hapo juu na muangalie kwa Mara nyingne mh. BONIFACE JACKOB.....

Bwana huyu anajifananishaje na EL COMMANDANTE Tate Julius Malema?!!!!

Lini CHADEMA kimeanza kuwa chama Cha KIKOMUNISTI.....
Lini CHADEMA kimeanza kuwa chama Cha kijamaa mithili ya ujamaa wa CCM na taswira yake halisi ya Mwenyekiti mh.Magufuli......


CDM haina DIRA....
CDM ni wajanjajanja tu wa MJINI....

MAPICHAPICHA
MAPICHAPICHA

Bongo movies+Nollywood+Bollywood+Hollywood😂😂😂😂😂
 
Hiyo Lumumba unayemsema ulishawahi kujiuliza kwanin Kenya walishampuuza au hujui nikupe taarifa acha kuangalia clip za global na kuleta uninga hapa
 
Ni
Hiyo Lumumba unayemsema ulishawahi kujiuliza kwanin Kenya walishampuuza au hujui nikupe taarifa acha kuangalia clip za global na kuleta uninga hapa

Nilishawahi mshuhudia alipokuja Tanzania pale Chuo kikuu UDSM na pia katika speeches zake YOU TUBE na wakati akiwachachafya kina RAILA ODINGA mahakamani baada ya jaji MARAGA kuufuta UCHAGUZI ule alioshinda mh.UHURU kabla kurudiwa,na yote yalikuwa ni kwa MSAADA wa Televisheni ya CITIZEN ya Kenya na SI hiyo ULIYONISINGIZIA..😂😂😂

Nijuze nisiyoyajua best wangu kabla huyu faru John hatimiliki ya Mwenyekiti hajanichanganya vibaya kichwani kiasi cha "kuvunja mguu wangu" nikikapanda haka kaghorofa ka msajili wa majumba NHC.
 
Huwa nakaa ufukweni na kuwatafakari Chadema.....

Nawatafakari sana vijana wa CDM....hususani wale wenye hulka Kama ya BONIPHACE JACKOB.....

Siku moja mama yangu aliniuliza swali juu ya asili ya MABOKSA,WACHEZA FILAMU ZA MAPIGANO NA MIELEKA...
Akaniuliza "Hawa inawezekana kweli wakawa ni vijana waliolelewa vizuri,kwa amani na utulivu wkt wa utoto wao, kama kuwa walokole ama maustadhi?!!!

Nikamjibu


Hao wengi wao ni kinyume chake....
Hao wengi wao ni wale MANUNDA....
Hao wengi wao ni wale wenye saikolojia ya kupenda SHARI,VURUGU,HASAMA,HAMKANI HALI SI SHWARI....

Wengi wao ni watu wanaofika "orgasm" kuona WANAVUTWAVUTWA KUSUKWASUKWA na VYOMBO vilivyowekwa KISHERIA......

Naendelea kumtafakari mh.Boniface Jackob na Hilo BERETI LAKE JEKUNDU CHINI MIBUTI KM KOMANDOO WA NGERENGERE😂😂😂😂😂
Kuamini kwenye upinzani ni kama kupiga pedo baiskeli isiyo na mnyororo.
 
Ila kwa ofisi hiyo hapana kwa kweli..

Yani chama kinavuta zaid ya Bilion plus makato ya viongoz lkn ofisi inafanania hivyo..? HAPANA KWA KWELI japo kura yang muhimu kwa CDM
 
Back
Top Bottom