Uchaguzi 2020 Mstahiki Meya wa Ubungo Boniface Jackob achukua fomu ya kuomba ubunge wa Jimbo la Ubungo kwa Kishindo

Uchaguzi 2020 Mstahiki Meya wa Ubungo Boniface Jackob achukua fomu ya kuomba ubunge wa Jimbo la Ubungo kwa Kishindo

Ngoma ya watoto haikeshi inapendeza mnavyo jitutumua mkijua wazi hamuwezi kushinda nyie Ni losers
 
Mwambieni aache siasa za mrengo wa Savimbi.
Huwa nakaa ufukweni na kuwatafakari Chadema.....

Nawatafakari sana vijana wa CDM....hususani wale wenye hulka Kama ya BONIPHACE JACKOB.....

Siku moja mama yangu aliniuliza swali juu ya asili ya MABOKSA,WACHEZA FILAMU ZA MAPIGANO NA MIELEKA...
Akaniuliza "Hawa inawezekana kweli wakawa ni vijana waliolelewa vizuri,kwa amani na utulivu wkt wa utoto wao, kama kuwa walokole ama maustadhi?!!!

Nikamjibu


Hao wengi wao ni kinyume chake....
Hao wengi wao ni wale MANUNDA....
Hao wengi wao ni wale wenye saikolojia ya kupenda SHARI,VURUGU,HASAMA,HAMKANI HALI SI SHWARI....

Wengi wao ni watu wanaofika "orgasm" kuona WANAVUTWAVUTWA KUSUKWASUKWA na VYOMBO vilivyowekwa KISHERIA......

Naendelea kumtafakari mh.Boniface Jackob na Hilo BERETI LAKE JEKUNDU CHINI MIBUTI KM KOMANDOO WA NGERENGERE😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom