Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Huo ni Ukristo wa Ujamaa, aliouanzisha Yesu mwenyewe , sasa tuko kwenye Ukristo wa Kibepari ulioasisiwa na shetani mwenyeweWachungaji, mitume, manabii, walimu na Wainjilisti ambao ni viongozi wa makanisa ya kileo huu mstari wanauruka kama haeauoni.
Huu mstari unawahukumu, maana wanajikusanyia sadaka kisha kufungua maduka makubwa, kusomesha watoto wao nje ya nchi , wananunua range , v8 n.k huku waumini wakiambiwa wamtumaini Mungu atawainua. Hata yeye (kiongozi) alianza chini na sasa ameinuliwa na Mungu.
Si lazima kila mtu auze mali zake na kuzipeleka kanisani ila ni lazima pesa za sadaka , michango na misaada ndani ya kanisa zihesabiwe kuwa ni mali ya kila muumini, hakuna mwenye mamlaka nazo kuzidi mtu mwingine ndani ya kanisa.
Muwe na asubuhi njema.
View attachment 3208453
Ninadiliki kusema kuwa shetani anasaidia Wakristo kufungua makanisa yawe mengi ila yakose nguvu za MunguHuo ni Ukristo wa Ujamaa, sasa tuko kwenye Ukristo wa Kibepari ulioasisiwa na shetani mwenyewe
Hakika. Tena analeta mafundisho mengi ya uwongo. Analeta uvivu kwa Wakristo kusoma neno la MunguNinadiliki kusema kuwa shetani anasaidia Wakristo kufungua makanisa yawe mengi ila yakose nguvu za Mungu
untrue, can you reveal?The Bible is the biggest lie in the entire history
Kama kweli vile..hebu tafakariThe Bible is the biggest lie in the entire history
Kuletewa na kuikuta hakuna tofauti.Dini tumeletewa - Afande sele.
Acha kutumia misamiati kwa kupotosha mkuu.Kuletewa na kuikuta hakuna tofauti.
Maana yangu ni kwamba kukuta hicho kitu au kuletewa si muhimu bali cha muhimu ni hicho kitu chenyewe. Yani mtu huwezi kuona dini ya kuletewa ndio nzuri kisa umeletewa tu au imani za asili ndio nzuri na sahihi kisa tu ni za asili.Acha kutumia misamiati kwa kupotosha mkuu.
Tofauti ipo.
Kuletewa ni pale umetulia kitu kinaletwa.
Kuikuta ni pale umefika mahali ukakuta kitu kipo pale tayari.
Nimekusoma mkuu ๐๐พ๐๐พMaana yangu ni kwamba kukuta hicho kitu au kuletewa si muhimu bali cha muhimu ni hicho kitu chenyewe. Yani mtu huwezi kuona dini ya kuletewa ndio nzuri kisa umeletewa tu au imani za asili ndio nzuri na sahihi kisa tu ni za asili.
Tumeona vitu vingi vya kuletewa vizuri na vibaya na tumeona mengi ya asili mazuri na mabaya.
Da!!! 'yule KIBOKO YA WACHAWI ndo alinistua akili,aliwalamba watanzania pesa kibao,alipofukuzwa kufika kwao akaanza kuwacheka!! da!!!!!,,,,,Huo ni Ukristo wa Ujamaa, aliouanzisha Yesu mwenyewe , sasa tuko kwenye Ukristo wa Kibepari ulioasisiwa na shetani mwenyewe