mischa ! The dark line that leads from the belly button (kitovu) to the pubic area is called linea nigra. Sometime the line occur even from above the belly button and goes all the way to the pubic area. This line (linea nigra) appears in the second trimester of pregnancy, during pregnancy this line darkens and this is due to the increased estrogen levels and melanocyte stimulating hormone deposits under the skin.Wakuu habarini,kwa sisi mabinti huu mstari chini ya kitovu(linea negra) nackia una maanisha kuwa mtu yupo fertile na ana uwezo wa kuzaa,Je kama mwanamke hana maana yake hatoweza kuzaa?au mstari huu wa maanisha nn? MziziMkavu
mischa,
Linea nigra ni mstari mweusi uliosimama (vertical) ambao mara nyingi huanzia kwenye nyonga hadi kitovuni (kwa wanaume na wanawake) lakini kwa baadhi huonekana hadi sehemu ya juu ya tumbo (karibu na kifua) hii haimaanishi kuwa wao wanashida! Mstari huu huonekana zaidi/kwa urahidi kwa wanawake wenye ngozi isiyo nyeusi sana.
Wakati wa ujauzito, mstari huu 'hujitokeza' sana (huonekana zaidi) kwa sababu ya mabadiliko ya vichochezi (hormones) wakati wa ujauzito hasa ikisababisha na vichochezi vinavyotolewa na Kondo la nyuma (Placenta)...pamoja na hii rangi hii nyeusi ya mstari (nigra from word negro imaanishanyo nyeusi), huambatana na chuchu na sehemu inayoxunguka chuchu za mwanamke mjamzito kuwa nyeusi pia.
Baadhi ya wanawake (WENGI) hawaonyeshi kuwa na mstari huo, na kipimo cha 'kuzaa' au kutokuzaa hakipimwi kwa mstari huo.
Wakuu habarini,kwa sisi mabinti huu mstari chini ya kitovu(linea negra) nackia una maanisha kuwa mtu yupo fertile na ana uwezo wa kuzaa,Je kama mwanamke hana maana yake hatoweza kuzaa?au mstari huu wa maanisha nn? MziziMkavu
Nimefanya research kwa zaidi ya wanawake 15, waliozaa 6 na wasiozaa 9 ilinionyesha hivyo. Mimi nipo hapa hapa Bongo na research yangu imefanyikia hapa. Ninaamini reseach yako itakuwa ni collection of secondary data ambayo haikulenga jamii ya bongo. Chunguza waliozaa mstari umekolea sana kuliko wale ambao hawajazaa kabisa
Mkuu, nadhani
1. Unakosea unapoita watu 15 kama ni "research"
2. Hebu jaribu kuongea kisayansi zaidi si kwa kufikiria/kufikirika/mawazo binafsi!
3. Mimi sikufanya "research", ila katika maisha ya kila siku ya kazi yangu ndio ninakutana nao.
Hivyo kwa "research yako" hayo si majibu toshelezi.
mischa,
Linea nigra ni mstari mweusi uliosimama (vertical) ambao mara nyingi huanzia kwenye nyonga hadi kitovuni (kwa wanaume na wanawake) lakini kwa baadhi huonekana hadi sehemu ya juu ya tumbo (karibu na kifua) hii haimaanishi kuwa wao wanashida! Mstari huu huonekana zaidi/kwa urahidi kwa wanawake wenye ngozi isiyo nyeusi sana.
Wakati wa ujauzito, mstari huu 'hujitokeza' sana (huonekana zaidi) kwa sababu ya mabadiliko ya vichochezi (hormones) wakati wa ujauzito hasa ikisababisha na vichochezi vinavyotolewa na Kondo la nyuma (Placenta)...pamoja na hii rangi hii nyeusi ya mstari (nigra from word negro imaanishanyo nyeusi), huambatana na chuchu na sehemu inayoxunguka chuchu za mwanamke mjamzito kuwa nyeusi pia.
Baadhi ya wanawake (WENGI) hawaonyeshi kuwa na mstari huo, na kipimo cha 'kuzaa' au kutokuzaa hakipimwi kwa mstari huo.
Mkuu, nadhani
1. Unakosea unapoita watu 15 kama ni "research"
2. Hebu jaribu kuongea kisayansi zaidi si kwa kufikiria/kufikirika/mawazo binafsi!
3. Mimi sikufanya "research", ila katika maisha ya kila siku ya kazi yangu ndio ninakutana nao.
Hivyo kwa "research yako" hayo si majibu toshelezi.
Nimefanya research kwa zaidi ya wanawake 15, waliozaa 6 na wasiozaa 9 ilinionyesha hivyo. Mimi nipo hapa hapa Bongo na research yangu imefanyikia hapa. Ninaamini reseach yako itakuwa ni collection of secondary data ambayo haikulenga jamii ya bongo. Chunguza waliozaa mstari umekolea sana kuliko wale ambao hawajazaa kabisa
Ni research gani hiyo uliyofanya iliyohusisha wanawake 15? Je unaweza ku-share na wana JF methodology na findings zake?
Both primary and secondary data were examined. Secondary data were obtained through group discussions (na washkaji) while primary data were obtained through going direct to the field. Direct observation, interviews and sometimes testing the sample were used to collect primary data. My Findings revealed tha the line is faint in young ladies while in udult women the line is absolutely visible. Research areas were Dsm, Mza, Rvm, Ars, Mby, Sgd, and Lnd about 5 yrs ago. Mkuu this is my simple report shows the methodogy used and its findings