Ngoja niulize AI DR Mambo JamboBiblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima.
Ufunuo 13:17
Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)
😅😅😅Mkuu hicho anachosema hajakielewa..Ngoja niulize AI DR Mambo Jambo
Haitawezekana kununua wala kuuza bila kuwa na card/chip baada ya unyakuo wa kanisa.😅😅😅Mkuu hicho anachosema hajakielewa..
Mwambie aendelee Ila kama ana akili ataelewa kilichoandikwa ila hakihusiani kabisa na Maswala ya Control Ya bank..walafedha...
Ufunuo 13:18
Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.
Mkuu una uhakika?Haitawezekana kununua wala kuuza bila kuwa na card/chip baada ya unyakuo wa kanisa.
Wakati biblia inaandika hili jambo watu walikuwa wanafanya barter trade.
Pesa ilikuwepo kwa elites wa kipindi hicho hasa waliokuwa ndani ya roman empire ila majority ya watu duniani walikuwa wanafanya barter trade.Mkuu una uhakika?
WAtu Gani walikuwa wakifanya Bartee trade?
Maana Pesa ilikuwepo Kipindi hicho
Mnyama ni mtu asiye na neno la Mungu lililofunuliwa😅😅😅Mkuu hicho anachosema hajakielewa..
Mwambie aendelee Ila kama ana akili ataelewa kilichoandikwa ila hakihusiani kabisa na Maswala ya Control Ya bank..walafedha...
Ufunuo 13:18
Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.
Mkuu Roman empire ilikuwa haijafika wapi katika utawala?Pesa ilikuwepo kwa elites wa kipindi hicho hasa waliokuwa ndani ya roman empire ila majority ya watu duniani walikuwa wanafanya barter trade.
yalaaa umetoa boko mkuuBiblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima.
Ufunuo 13:17
Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)
Alam na kadi vina connection gani ya moja kwa moja?Biblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima.
Ufunuo 13:17
Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)
Watu wanapigwa hela kwenye betting na kwenye mabaa. Kanisani wanamtolea Mungu kwa imani, hawapigwi.Acha Mimi niendelee kusoma comments tu maana kwa kutumia mistari hii hii kuna mazombi wanapigwa Pesa zao daily na matapeli fulani wanaojitajirisha wao wenyewe huku wakiwaacha mazombi hao wanaendelea kua makapuku wa kutupwa,
Simply, mifumo yote ya malipo ikiwa integrated haitawezekana kununua bila kuwa na kadi/chip. Sasa biblia imeongelea hili zaidi ya miaka 2000 iliyopita.Unamaanisha hizi hizi ATM cards (Simba Card, Tembo Card). Hebu kuwa serious kidogo mkuu.
Ndio maana mstari unaheshimika sana maana ulizungumzia mfumo wa malipo wa dunia nzima unaoweza kuwa controlled kipindi ambacho watu walikuwa wanafanya barter trade.Alam na kadi vina connection gani ya moja kwa moja?
Wewe kwa mfano kabla ya kuja kwa kadi ungesoma huo mstari ungeuconnect moja kwa moja na kadi?
Kwanini isiwe pesa kabisa na si kadi?Ndio maana mstari unaheshimika sana maana ulizungumzia mfumo wa malipo wa dunia nzima unaoweza kuwa controlled kipindi ambacho watu walikuwa wanafanya barter trade.