Mstari wa biblia unaowafumba midomo wanasayansi wa kizazi hiki

iandike hapa; hiyo reference inaweza kuwa na maana lakini sio hii ya credit card
Kilichoandikwa na Biblia ni ujio wa mfumo utakaoweza kucontrol kununua na kuuza bidhaa. Haijalishi kama ni chip, kadi, fingerprint au nyinginezo.

Wakati biblia inaandika hili hapakuwa hata na dalili ya kuwezekana kwake.
 
Still hoja unayoijenga hapa haipo relevant na suala la matumizi ya fedha katika nyakati ambazo biblia iliandikwa. Enzi zile majority ya watu walifanya barter trade.
Me nauthibitisho walitumia Pesa sasa wewe nipe uthibitisho Hawakutumia pesa..

Walitumia fedha za sarafu zilizofahamika Shekeli,
 
Biblia ni moja tu ipo kwenye Greek kwa new testament na Hebrew kwa old testament. Nyingine hizi ni version za lugha mbalimbali kutegemeana na ukuaji wa lugha hizo.
Jibu lako halijitoshelezi mkuu!
Then kwanini Version nyingine hakuna mafungu yaliyokuwepo kabla au mengine kuongezwa yasiyokuwepo
 
Kilichoandikwa na Biblia ni ujio wa mfumo utakaoweza kucontrol kununua na kuuza bidhaa. Haijalishi kama ni chip, kadi, fingerprint au nyinginezo.

Wakati biblia inaandika hili hapakuwa hata na dalili ya kuwezekana kwake.
Mkuu biblia haikuandika mfumo wa kuuza wala kununua
 
Biblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima.

Ufunuo 13:17
Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)
Pesa imeanza kutumika lini ?
 
Me nauthibitisho walitumia Pesa sasa wewe nipe uthibitisho Hawakutumia pesa..

Walitumia fedha za sarafu zilizofahamika Shekeli,
Ndio nakuambia ni jamii chache, hasa za miji mikubwa ambako watu walitumia hela.
 
Jibu lako halijitoshelezi mkuu!
Then kwanini Version nyingine hakuna mafungu yaliyokuwepo kabla au mengine kuongezwa yasiyokuwepo
Ni simple, ukristo ulipitia vipindi vigumu ambapo watu walijificha pamoja na maandiko yao. Kumbuka kipindi hicho hapakuwa na mashine za kutoa kopi, watu waliandika kwa mikono.

Sasa katika muktadha huo kuna maeneo ambayo baadhi ya kopi zilikuwa na human errors. Pia kwasababu ya kukimbia na kujificha kuna baadhi ya page zilipotea kwenye nakala za baadhi ya jamii lakini zikaonekana kwenye jamii nyingine.

Sasa uzuri wa ukristo tupo wazi, watu wanaruhusiwa kuhoji na hata kukataa baadhi ya mistari ambayo chanzo chake hawajakikubali. Hivyo kwenye version zao lazima waiache hiyo mistari.

Lakini katika ujumla wake wakristo waliowengi wanaikubali tafsiri ya king james ambayo imetengeneza new king james ambayo Ina kiingereza rahisi.
 
Mkuu biblia haikuandika mfumo wa kuuza wala kununua
Imesema mtu hataweza kununua wala kuuza bila kuwa na chapa ya mnyama. Maana yake bila kuwa kwenye mfumo wa mnyama haitawezekana kufanya transactions.
 
Biblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima.

Ufunuo 13:17
Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)
Ufunuo 13:17
Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni simple, ukristo ulipitia vipindi vigumu ambapo watu walijificha pamoja na maandiko yao. Kumbuka kipindi hicho hapakuwa na mashine za kutoa kopi, watu waliandika kwa mikono.

Sasa katika muktadha huo kuna maeneo ambayo baadhi ya kopi zilikuwa na human errors. Pia kwasababu ya kukimbia na kujificha kuna baadhi ya page zilipotea kwenye nakala za baadhi ya jamii lakini zikaonekana kwenye jamii nyingine.

Sasa uzuri wa ukristo tupo wazi, watu wanaruhusiwa kuhoji na hata kukataa baadhi ya mistari ambayo chanzo chake hawajakikubali. Hivyo kwenye version zao lazima waiache hiyo mistari.

Lakini katika ujumla wake wakristo waliowengi wanaikubali tafsiri ya king james ambayo imetengeneza new king james ambayo Ina kiingereza rahisi.
Safi sana Mkuu niseme tu nafurahia sana kukuhoji maswali maana una majibu mazuri sana bila shaka wewe ni msabato....

sasa unaamini kuwa new King james version pia kuna Aya aliondoa ambazo zilikuwemo kwemye Old king james version
 
Pesa kwenye mfumo wa cash imeanza zamani sana. Mfumo wa cash huwezi kuucontrol na kuzuia mtu asiweze kuuza wala kununua.
Utauza na kununua kwa kutumia nini ?

Zamani sana lini( karne ya ngapi ) ?
 
Safi sana Mkuu niseme tu nafurahia sana kukuhoji maswali maana una majibu mazuri sana bila shaka wewe ni msabato....

sasa unaamini kuwa new King james version pia kuna Aya aliondoa ambazo zilikuwemo kwemye Old king james version
Mimi sio msabato.

Niwekee hizo aya hapa na sababu iliyopelekea zikaondolewa.
 
Utauza na kununua kwa kutumia nini ?

Zamani sana lini( karne ya ngapi ) ?
Utatumia kadi, barcode, fingerprint, chip nk
Unaweza kuangalia kwenye mtandao zilianza karne gani.
 
So andiko lako lazungumzia fedha au kadi ?
Linazungumzia kwamba kutakuwepo mfumo utakaoweza kucontrol uwezo wa mtu kununua au kuuza mpaka awe na alama ya mnyama. Mfumo huo unaweza kutumia kadi, fingerprint, chip au hata retina.
 
Bila pesa unaweza nunua wala kuuza ?
 
Mimi sio msabato.

Niwekee hizo aya hapa na sababu iliyopelekea zikaondolewa.
HIzi ni chache tu mkuu..

Mathayo 17:21
Mathayo 18:11
Mathayo 23:14
Mark 7 :16
Mark 9:44
Mark 9:46
Mark 11:26
Mark 15:28
Luke 17:36
Luke 23:17
John 5:4
Acts 8:37
Acts 15:34
Acts 24:7
Acts 28:29
Romans 16:24

Na sio NKJV tu ,Pia version zingine zote zimeondoa hizo aya kama NASB,NIV ,ESB etc

Sababu ni kwamba hazikuwahi kuonekana hapo kale kwenye Manuscript yoyote ya Kale kinachoniwazisha kama watu walisoma zamani na wakazielewa na wakahisi ni God's words nani alaumiwe?
 
Biblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima.

Ufunuo 13:17
Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)
Huo ni mmoja...bado ipo mingine mingi tu
 
Ndio maana mstari unaheshimika sana maana ulizungumzia mfumo wa malipo wa dunia nzima unaoweza kuwa controlled kipindi ambacho watu walikuwa wanafanya barter trade.
Hivi mnajua mifumo ya kibenki duniani imekamatwa na wa Israel..?
Hawa jamaa ni mtihani ndio wanaowapelekesha wa Marekani.
 
Back
Top Bottom