Kilichoandikwa na Biblia ni ujio wa mfumo utakaoweza kucontrol kununua na kuuza bidhaa. Haijalishi kama ni chip, kadi, fingerprint au nyinginezo.iandike hapa; hiyo reference inaweza kuwa na maana lakini sio hii ya credit card
Me nauthibitisho walitumia Pesa sasa wewe nipe uthibitisho Hawakutumia pesa..Still hoja unayoijenga hapa haipo relevant na suala la matumizi ya fedha katika nyakati ambazo biblia iliandikwa. Enzi zile majority ya watu walifanya barter trade.
Jibu lako halijitoshelezi mkuu!Biblia ni moja tu ipo kwenye Greek kwa new testament na Hebrew kwa old testament. Nyingine hizi ni version za lugha mbalimbali kutegemeana na ukuaji wa lugha hizo.
Mkuu biblia haikuandika mfumo wa kuuza wala kununuaKilichoandikwa na Biblia ni ujio wa mfumo utakaoweza kucontrol kununua na kuuza bidhaa. Haijalishi kama ni chip, kadi, fingerprint au nyinginezo.
Wakati biblia inaandika hili hapakuwa hata na dalili ya kuwezekana kwake.
Pesa imeanza kutumika lini ?Biblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima.
Ufunuo 13:17
Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)
Ni simple, ukristo ulipitia vipindi vigumu ambapo watu walijificha pamoja na maandiko yao. Kumbuka kipindi hicho hapakuwa na mashine za kutoa kopi, watu waliandika kwa mikono.Jibu lako halijitoshelezi mkuu!
Then kwanini Version nyingine hakuna mafungu yaliyokuwepo kabla au mengine kuongezwa yasiyokuwepo
Ufunuo 13:17Biblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima.
Ufunuo 13:17
Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)
Safi sana Mkuu niseme tu nafurahia sana kukuhoji maswali maana una majibu mazuri sana bila shaka wewe ni msabato....Ni simple, ukristo ulipitia vipindi vigumu ambapo watu walijificha pamoja na maandiko yao. Kumbuka kipindi hicho hapakuwa na mashine za kutoa kopi, watu waliandika kwa mikono.
Sasa katika muktadha huo kuna maeneo ambayo baadhi ya kopi zilikuwa na human errors. Pia kwasababu ya kukimbia na kujificha kuna baadhi ya page zilipotea kwenye nakala za baadhi ya jamii lakini zikaonekana kwenye jamii nyingine.
Sasa uzuri wa ukristo tupo wazi, watu wanaruhusiwa kuhoji na hata kukataa baadhi ya mistari ambayo chanzo chake hawajakikubali. Hivyo kwenye version zao lazima waiache hiyo mistari.
Lakini katika ujumla wake wakristo waliowengi wanaikubali tafsiri ya king james ambayo imetengeneza new king james ambayo Ina kiingereza rahisi.
Utauza na kununua kwa kutumia nini ?Pesa kwenye mfumo wa cash imeanza zamani sana. Mfumo wa cash huwezi kuucontrol na kuzuia mtu asiweze kuuza wala kununua.
Mimi sio msabato.Safi sana Mkuu niseme tu nafurahia sana kukuhoji maswali maana una majibu mazuri sana bila shaka wewe ni msabato....
sasa unaamini kuwa new King james version pia kuna Aya aliondoa ambazo zilikuwemo kwemye Old king james version
So andiko lako lazungumzia fedha au kadi ?Utatumia kadi, barcode, fingerprint, chip nk
Unaweza kuangalia kwenye mtandao zilianza karne gani.
Bila pesa unaweza nunua wala kuuza ?Linazungumzia kwamba kutakuwepo mfumo utakaoweza kucontrol uwezo wa mtu kununua au kuuza mpaka awe na alama ya mnyama. Mfumo huo unaweza kutumia kadi, fingerprint, chip au hata retina.
HIzi ni chache tu mkuu..Mimi sio msabato.
Niwekee hizo aya hapa na sababu iliyopelekea zikaondolewa.
Huo ni mmoja...bado ipo mingine mingi tuBiblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima.
Ufunuo 13:17
Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)
Hivi mnajua mifumo ya kibenki duniani imekamatwa na wa Israel..?Ndio maana mstari unaheshimika sana maana ulizungumzia mfumo wa malipo wa dunia nzima unaoweza kuwa controlled kipindi ambacho watu walikuwa wanafanya barter trade.