Msuguano baina ya Spika na Rais ni ulevi wa madaraka

Upo msuguano wa dhahiri baina ya Spika na Rais. Spika ni kiongozi wa Bunge “Bunge” na Rais ni Kiongozi wa Serekali “Executive”. Wote ni Wakuu wa mihimili hapa anakosekana Jaji Mkuu ambae ni Mkuu wa Mahakama.

Ukizitazama kwa makini misuguano baina ya Rais na Spika utaona dhahiri kila mmoja anapenda kuonyesha ukuu wake na matamanio ya madaraka.

Tukiirejelea Katiba yetu ambayo Rais karundukiwa madaraka mengi,sioni ni namna gani Spika ataweza kupambana na Rais.

Rais anateuwa Mawaziri, Makaribu Wakuu,Wakuu wa Mikoa, Makatibu tawala wa mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mabalozi, Majaji, Wakuu wa Mashirika ya Umma na Wenyeviti wa bodi za mashirika ya umma & Wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na Usalama na mwisho kabisa anateuwa Wabunge kumi katika bunge la JMT.

Spika wetu yeye anateuwa Wenyeviti wa Kamati za Bunge na Wabunge 19 wasiokuwa na chama. Sasa kama ni mpambano Spika si lolote si chochote. Wateuzi wake wote hawana impact ya moja kwa moja kwa wananchi.

Spika Ndugai lazima atamke nimekosa nimekosa Mama nihurumie.

Ni hayo kwa leo

Ngongo kwasasa Kibanda Maiti.
Na pia Rais anamteua Katibu wa Bunge (msaidizi wa Spika).

Vv
 
Ndu

Ndugai kalewa madaraka
 
SPIKA AWATUMIE WALE WABUNGE WAKE 19 KUMTETEA
 
Samia ameanza kuonja damu za urais. Vizingiti hivi anaona vinamuharibia yeye kuelekea kugombea 2025.

Kila mtu atimize jukumu lake kazi ya bunge ni kuiongoza serikali, serikali inabaki kusimamia. Sasa iweje hangaya hataki kukoselewa
Umeona kwa mama yule jamaa wa chato, toa hoja nini kifanyike kuong'oa mifumo inayompa mtu mmoja kuwa na nguvu zote za nchi
 
SPIKA AWATUMIE WALE WABUNGE WAKE 19 KUMTETEA

Wale Covid 19 muda huu hawajui hatima yao yaani Mambo ni vulu vulu.Mzee Halima Mdee hana la kufanya Godfather wake katundikwa msalabani pamoja na kuomba msamahaa “ Nimekosa nimekosa Mama unihurumie Mimi Job Ndugai naandamwa kwasababu natokea kabila dogo la Wagogo maarufu kama vinara wa omba omba Tanganyika.
 
Upo msuguano wa dhahiri baina ya Spika na Rais. Spika ni kiongozi wa Bunge “Bunge” na Rais ni Kiongozi wa Serekali “Executive”. Wote ni Wakuu wa mihimili hapa anakosekana Jaji Mkuu ambae ni Mkuu wa Mahakama.

Ukizitazama kwa makini misuguano baina ya Rais na Spika utaona dhahiri kila mmoja anapenda kuonyesha ukuu wake na matamanio ya madaraka.

Tukiirejelea Katiba yetu ambayo Rais karundukiwa madaraka mengi,sioni ni namna gani Spika ataweza kupambana na Rais.

Rais anateuwa Mawaziri, Makaribu Wakuu,Wakuu wa Mikoa, Makatibu tawala wa mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mabalozi, Majaji, Wakuu wa Mashirika ya Umma na Wenyeviti wa bodi za mashirika ya umma & Wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na Usalama na mwisho kabisa anateuwa Wabunge kumi katika bunge la JMT.

Spika wetu yeye anateuwa Wenyeviti wa Kamati za Bunge na Wabunge 19 wasiokuwa na chama. Sasa kama ni mpambano Spika si lolote si chochote. Wateuzi wake wote hawana impact ya moja kwa moja kwa wananchi.

Spika Ndugai lazima atamke nimekosa nimekosa Mama nihurumie.

Ni hayo kwa leo

Ngongo kwasasa Kibanda Maiti.
Rais ni mwenyekiti wa CCM atakayeamua nani arudi au asirudi bungeni.Bunhe ni ccm watupu hivyo spika atatoswa.Hivo Job ataamua kupiga kimya ili afike 2025.Walishangilia Uchaguzi kuvurugwa ili warudi CCM peke yao bungeni hayo ndo matunda yake
Jobo hana namna inabidi afanye kama Nape kwa JIWE.
 
Achaneni na Ndugu Mfumuko wa bei upo juu, watu tunakata tamaa
 
Nadhani ni muda Sasa nafasi ya speaker iheshimiwe. Speaker anapokosea lazima kuwepo na formal communication kati ya mihimili na sio hii style ya kutubu hadharani na kushambuliwa hadharani baada ya kuomba msamaha. Hi sio Jambo zuri kwa afya ya siasa na maendeleo kwa ujumla. Kama speaker anashambuliwa hivyo na maoni yanaonekana Ni uchu wa madaraka je mbunge wa kawaida ana hali gani?. Tunaenda kutengeneza bunge bubu litakalo ogopa kumuudhi Rais na Mwenyekiti wa chama tawala.

Pia speaker wetu Ndugai ameyataka yote haya, amekuwa anatetea serikali na chama bila kujua yeye Ni mkuu wa mhimili wa dola, na Wala hayupo pale kwa niaba ya chama au serikali. Kumbuka speaker Ndugai alivyoshughulikia suala la wabunge wa viti maalum CUF kipindi Cha Maalim Seif na kumbuka alivyoshughulikia suala la wabunge 19 wasiotokana na CHADEMA. Hivyo ili Bunge lirejeshe heshima yake, inabidi tupate speaker mpya asiyekuwa na uchama na atakaye fahamu yeye Ni mkuu wa mhimili na sio mkereketwa wa chama na serikali.
Ndugai alikosea sana kuomba msamaha!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Ndugai anaweza kumtoa rais kwa kuhamasisha kura ya kutokuwa na imani naye.

Udhaifu wa siasa zetu za upinzani wa kushindwa kutambua hakuna adui wala rafiki wa kudumu bali agenda ni mzigo.
Shida kubwa ni bunge kujaa chama kimoja baada ya chaguzi kuibwa.Kungekuwa na wabunge wengi nje ya CCM,spika angeshinda nakwambia.
 
Ila Samia kaonyesha naivity kidogo. Clips za Ndugai hata kama zikekatwakatwa zina raise some few issues.

Mama hajajibu hata moja zaidi ya kusema tu eti na wengine walikopa/wanakopa. Kuingiza issue ya homa ya uchaguzi ni lame excuse
 
Anajua wapo watetezi watapiga makofi na vigelegele.CCM hakuna mtu wa kuhoji,kuuliza maswali magumu wapo praise team kazi yao kubwa ni kusifu tu.
 
Waziri Mkuu atoke Kaskazini
Magharibi mkuu huko wameshasoma Wana hela za kutosha na biashara mpka nje hawana shida na hizi nafasi za kuteuliwa.pia walisoma zamani sema hawakuweza kudai Uhuru Mana wao wanaliwaziaga kabila lao tu na sio Taifa.
Wana mangi wao mmoja aliitwa Mareale alipishana na nyerere airport yeye alienda kuomba Uhuru wao pekee .
Yaani elimu Yao ni kujitenga tu Mara kibosho ,marangu,machame mkoa mdogo Ila makabila Kama kumi sijui kwanza ni kawilaya Mana sio mkoa tu.
Pia wameshatoa pm like msuya,sumaye,lowasa sio wa northern zone hao kweli. Ama atoke Tanga Savi ili tuipate taarabu vizuri
 
Harafu Ndugai hajaomba msamaha as such kwa aliyoyasema bali kwa confusion ambayo maneno yake yameleta. Hii point watu wanataka kuimiss kwa makusudi

Anawazuga eti speech yake imekuwa edited na CCM walivyo mazwazwa, hawataki hata kuhoji wapewe speech original. Basically ujumbe wa Ndugai umegonga kwenyewe regardless ya u-turn aliyoact kuipiga ili mumiani wa CCM wasimchune ngozi.

Tangu Ndugai aliposema ukweli Bungeni kwamba umuhimu wa Dodoma unafifishwa kwa makusudi tangu Magu afariki, Samia alinuna na hatakuja asamehe. Hivi vichambo continuous ni accumulation ya hasira tu na sio presidential hata kidogo
 
Magharibi mkuu huko wameshasoma Wana hela za kutosha na biashara mpka nje hawana shida na hizi nafasi za kuteuliwa.pia walisoma zamani sema hawakuweza kudai Uhuru Mana wao wanaliwaziaga kabila lao tu na sio Taifa.
Wana mangi wao mmoja aliitwa Mareale alipishana na nyerere airport yeye alienda kuomba Uhuru wao pekee .
Yaani elimu Yao ni kujitenga tu Mara kibosho ,marangu,machame mkoa mdogo Ila makabila Kama kumi sijui kwanza ni kawilaya Mana sio mkoa tu.
Pia wameshatoa pm like msuya,sumaye,lowasa sio wa northern zone hao kweli. Ama atoke Tanga Savi ili tuipate taarabu vizuri
Magharibi wana Makamu wa Rais. Na immediate former PM pia anatoka Magharibi.
 
Upo msuguano wa dhahiri baina ya Spika na Rais. Spika ni kiongozi wa Bunge “Bunge” na Rais ni Kiongozi wa Serekali “Executive”. Wote ni Wakuu wa mihimili hapa anakosekana Jaji Mkuu ambae ni Mkuu wa Mahakama.

Ukizitazama kwa makini misuguano baina ya Rais na Spika utaona dhahiri kila mmoja anapenda kuonyesha ukuu wake na matamanio ya madaraka.

Tukiirejelea Katiba yetu ambayo Rais karundukiwa madaraka mengi,sioni ni namna gani Spika ataweza kupambana na Rais.

Rais anateuwa Mawaziri, Makaribu Wakuu,Wakuu wa Mikoa, Makatibu tawala wa mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mabalozi, Majaji, Wakuu wa Mashirika ya Umma na Wenyeviti wa bodi za mashirika ya umma & Wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na Usalama na mwisho kabisa anateuwa Wabunge kumi katika bunge la JMT.

Spika wetu yeye anateuwa Wenyeviti wa Kamati za Bunge na Wabunge 19 wasiokuwa na chama. Sasa kama ni mpambano Spika si lolote si chochote. Wateuzi wake wote hawana impact ya moja kwa moja kwa wananchi.

Spika Ndugai lazima atamke nimekosa nimekosa Mama nihurumie.

Ni hayo kwa leo

Ngongo kwasasa Kibanda Maiti.
Umeeleza kirahisi sana, vita kati ya Raisi na Spika inategemea nani ana influence kubwa kwa wabunge. Ikiwa raisi ndio mwenye influence kubwa, anaweza kuhakikisha Ndugai hachaguliwi tena, ila Spika akiwa na ushawishi wa kutosha kwa wabunge, anaweza kumng'oa raisi madarakani kupitia impeachment.
 
Magharibi wana Makamu wa Rais. Na immediate former PM pia anatoka Magharibi.
Kwani Kuna dhambi mkuu wakiwa wawili. Hata Tabora hatuna mtu.sio Kuna watu Fulani wanaostahili kuila nchi hii Kama vipi kila mtu abaki na Kijiji Chao Kama nchi mwishowe mtagawana mpaka vitongoji kuwa viwe nchi maana mtaona kuwa mnanyonywa na wa kitongoji fulani.
 
Upo msuguano wa dhahiri baina ya Spika na Rais. Spika ni kiongozi wa Bunge “Bunge” na Rais ni Kiongozi wa Serekali “Executive”. Wote ni Wakuu wa mihimili hapa anakosekana Jaji Mkuu ambae ni Mkuu wa Mahakama.

Ukizitazama kwa makini misuguano baina ya Rais na Spika utaona dhahiri kila mmoja anapenda kuonyesha ukuu wake na matamanio ya madaraka.

Tukiirejelea Katiba yetu ambayo Rais karundukiwa madaraka mengi,sioni ni namna gani Spika ataweza kupambana na Rais.

Rais anateuwa Mawaziri, Makaribu Wakuu,Wakuu wa Mikoa, Makatibu tawala wa mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mabalozi, Majaji, Wakuu wa Mashirika ya Umma na Wenyeviti wa bodi za mashirika ya umma & Wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na Usalama na mwisho kabisa anateuwa Wabunge kumi katika bunge la JMT.

Spika wetu yeye anateuwa Wenyeviti wa Kamati za Bunge na Wabunge 19 wasiokuwa na chama. Sasa kama ni mpambano Spika si lolote si chochote. Wateuzi wake wote hawana impact ya moja kwa moja kwa wananchi.

Spika Ndugai lazima atamke nimekosa nimekosa Mama nihurumie.

Ni hayo kwa leo

Ngongo kwasasa Kibanda Maiti.
Leo mnalalama hamkujua kuhimiza upatikanaji wa katiba mpya ya wananchi ilikuwa tiba ya mitifuano isiyona tija kwa taifa, Sasa muukubali nakuunga mkono mchakato was upatikanaji was katiba mpya ya wananchi.
 
Back
Top Bottom