MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Hata mimi nina ex ambaye haachi kunitoneshatonesha vidonda.............................kwa kudai bado ananiwazawaza.........................lakini mimi humpuulizia mbali........................mara nyingi tunahitaji vitu ambavyo hatuna siyo kwa sababu ni vizuri ila huwa msukumo wa tamaa tu............claiming that it is one more time of finger licking pleasure.............................what a lie..........
Dahhh,...ungeniona nilivyokenua kwa jinsi ulivyonijibu vizuri!...In real life ukiwa unanijibu hivi potelea mbali niitwe msukule!
...nadhani hii pia inatokana na kasi ya maisha,...kwa sasa hatuna muda wa kukaa chini ya mwembe kusubiria dodo lianguke, au alfajr unaamkia chini ya miembe kutafuta yaliyoanguka usiku...Kizazi hiki ni cha kukimbilia Shoprite au Imalaseko kununua Mango juice ya Azam, tamu kuliko tunda lenyewe... yaani tunaishi maisha ya short cuts kibao,...na siku hazigandi vile vile...Tukubali mabadiliko. Zama za kuandikiana barua, niifukizie poda na marashi, kisha niitume kwa posta mpaka ikufikie wakati kuna emails/sms leo hii nitaonekana sijali muda.
Hizi theories, kusoma vitabu, au kubandika post JF upate msaada wa mawazo ni kiashiria kwamba hatuna muda wa kukaa na wazee wetu, mashangazi na wajomba kupata busara zao juu ya maisha kwa ujumla. Kama mnakumbuka ile Topik ya Wheel of Life?, kuna wengi waliipinga kwamba muda hautoshi kabisa. Twendeni na wakati kabla wakati haujatuacha tukabakia tunashangaa...
...Mzee DC bado anashangaa shangaa haya mambo tunayoongelea,....kwani kuzaa na mtu lazima muwe mlipendana nae kiviiile? Vile vile kuna zile One night stands ambazo mw'mke ana conceive kisha anachukulia mtoto kama bakora ya kukuchapia. Mwanaume unaishia kulambishwa kimtego mtego, ....mtoto hupewi, kwa mkeo hajulikani,....uhakika wa mtoto mwenyewe kama ni wako au sio wako hujui...ukijifanya kusahau unakumbushiwa...almuradi unachezeshwa makida-makida tu... mnh, maisha haya, misukule ipo ya aina nyingi!
Hah wewe.....kumbe ipo ya kujitakia pia??
..............Eh hapa umenisaidia kuelewa somo, si somo la mapenzi peke yake, bali hata maisha! Ni kweli Mzee DC anashindwa kuelewa maana kwenye ulimwengu huu wa mapenzi Mzee hiyi anautafsiri tofauti kabisa na vijana wengi wa dot.com........mimi nikitaka kuisoma post yake huwa naandaa kabisa na kikombe cha kahawa kwa sababu ukimaliza yaani unajikuta unatafakari na kutafakuri utafikiri kuli anapanga namna ya kuwahi mzigo kabla wenzakr hawajampiga bao. I learn a lot from him kwa kweli.
...thread hii inamenikumbusha mbwa na ukali wake wote kwa chatu anaufyata mkia...anajipeleka akafanywe kitoweo!...
Ndio hapo sasa ujue pamoja na ubabe wetu sisi wanauume linapokuja swala la mwanamke kutaka kukucontol ana kila sababu na nyenzo za kufanya hivyo na utajjikuta huna sauti wala hufurukuti mbele yake
Inabidi nikaukague upya uanamke wangu...........klazima ulichakachuliwa mahali. How comes sijafanikiwa!?
Kaangalie upya ni wapi ulipojikwaa na wapi lulipopoteza hiyo nyenzo maalum ya kuwa mwanamke

Haswaaa ndugu yangu maana nadhani ni nyenzo muhimu sana hiyo......nilikuwa wapi siku zote?! Maana nina uhakika nyenzo hii ni zaidi ya heshima, upole, upendo na ujuzi wa kupika- zile tunazofundishwaga tunapokuwa eti ukitaka mumeo atulie akusikilize basi mfanyie hayo. ....!!
Perhaps you need a private tutor to teach you how to use your feminine wiles to your advantage. I'm just playing....But on a serious note, I think it's different from person to person.
You do volunteer, dont you?
Haswaaa ndugu yangu maana nadhani ni nyenzo muhimu sana hiyo......nilikuwa wapi siku zote?! Maana nina uhakika nyenzo hii ni zaidi ya heshima, upole, upendo na ujuzi wa kupika- zile tunazofundishwaga tunapokuwa eti ukitaka mumeo atulie akusikilize basi mfanyie hayo. ....!!
QUOTE]
Mhhh hizo ni za kukufanya wewe uwe mtumwa na sio eti kumfanya mwanaume atulie au aishiwe mbinu
Duh mbona hizo hata house gal anaziweza tuu na unajua tena akizidisha mbinu hata wewe mwenye nyumba unapinduliwa
Angalia ni wapi ulipopoteza na kuishiwa mbinu
You are ready to volunteer, arent you?
Unfortunately, since I am a red blooded young stud straight from Ikungulyabashashi, I am not well versed in how a female can exploit her feminine wiles to get her what she wants when she wants it. Others, I believe, have more experience with that so I'd rather defer to them than act like I am mister know-it-all when I really don't know diddly-squat about it.
But on the flip side, I am enthusiastically ready and willing to be your life coach. Are you ready and willing for me to be your life coach? ( Please say yes)
Unfortunately, since I am a red blooded young stud straight from Ikungulyabashashi, I am not well versed in how a female can exploit her feminine wiles to get her what she wants when she wants it. Others, I believe, have more experience with that so I'd rather defer to them than act like I am mister know-it-all when I really don't know diddly-squat about it.
But on the flip side, I am enthusiastically ready and willing to be your life coach. Are you ready and willing for me to be your life coach? ( Please say yes)
Inabidi nikaukague upya uanamke wangu...........klazima ulichakachuliwa mahali. How comes sijafanikiwa!?
Inabidi nikaukague upya uanamke wangu...........lazima ulichakachuliwa mahali. How comes sijafanikiwa!?
mwanajamii one umenichekesha sana, hata mimi sijui wanafanyiwa nini mpaka wanakosa control
...aaahhh, sasa utaharibu. Be Yourself! ...ndio maana unapendeka na kuthaminiwa hivyo ulivyo.
Anataka na yeye atafute msukule wake ndo maana
Haswaaa ndugu yangu maana nadhani ni nyenzo muhimu sana hiyo......nilikuwa wapi siku zote?! Maana nina uhakika nyenzo hii ni zaidi ya heshima, upole, upendo na ujuzi wa kupika- zile tunazofundishwaga tunapokuwa eti ukitaka mumeo atulie akusikilize basi mfanyie hayo. ....!!
Anataka na yeye atafute msukule wake ndo maana
...mbaya zaidi, wanawake wengi huharibikia hapo. Tabia za kujifunzia 'ukubwani'...eti ukitaka kumkomoa mumeo mfanyie A, B, C...No way, hawezi kupata msukule kwa tabia za kufundishwa...ataishia kujiliza yeye.
Mwj mamie,...waachie wenye 'taaluma' zao, wanaodhani kuchezea mioyo ya watu is a way of life.
Mara nyingi huishia na mwisho mbaya sana.
...Emotional Roller Coaster,...are you enjoying the ride or suffering?
[TD="class: word"]emotional rollercoaster
[/TD]
[TD="class: tools"][/TD]
[TD="class: text, colspan: 2"]Term first used by R&B singer Vivian Green in her 2002 single "Emotional Rollercoaster" from the album "A Love Story". It is used to describe the varied emotions that a person (usually someone you're in a relationship with) has you feeling for them . For example, your girlfriend cheats on you with your best friend. As much as you hate her for cheating, you can't help but keep loving her because she has you so sprung.
2.) When your emotions go up and down like a rollercoaster. For example, you keep slipping in between happiness and sadness.
[/TD]
...leo tujadiliane hii kitu emotional rollercoaster. Pale mwenza wako (Psychological Abuser) anavyoutumia udhaifu wako. "Sleeping with the Enemy" ni sinema mojawapo inayotoa mfano mzuri wa hili.
Ex-wako ana ku distract maishani mwako kwa simu, sms, email, unwelcomed visits, unexpected appearances, etc almuradi kila wakati ujiskie umo maishani mwake. Usimtoe mawazoni mwako.
Ex-wako ana ku distract na midnite calls akilia, au kalazwa, kapata ajali, kaingiliwa na majambazi, kasimamishwa kazi, almuradi he/she wants to keep you on your toes!...kwa wale wazazi, utasikia 'haraka njoo, mtoto anaumwa!'...ukifika unakuta mtoto anacheza...
Tujadiliane Ex- wife/husband/partner anapoendesha hisia zako atakavyo; -Swahili Slang- 'kuwekwa kidoleni,' 'kushikwa pembe,' 'kuwekwa mkononi,' etc na athari zake, kwa muda mfupi na muda mrefu.
....lets share the experiences za "Msukule wa Mapenzi"