Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hhahahha...waveja!!
how my dia?.....ucku mmelala call hiyo no huijui na mwenza coz ameshakuwa nawacwac bac mackio juu juu kutaka kujua kulikoni, ukikata baada ya kumtambua mhucka ni yule msumbufu bac mgogoro tayari, kucall mchana ni nadra sana, ucku wa kati ili mradi uharibifu tu...inachosha sana sana....kuna cku nilimcal nilipokuwa ofcn kuongelea juu ya hili, niliongea na ukorofi wangu wote mpaka mate yakanikauka nilijibiwa"nia yangu kuharibu, ulikuwa wangu utaendelea kuwa wangu"..ucku call kama kawaida, namhurumia mr anavyojickia kweli hata ingekuwa ni mie ananifanyia hivyo nicngemuamini na kasheshe lake analijua but sasa nitafanyaje ili aniamini kwamba huyu mtu ana nia ya kuniharibia na c vinginevyo?
Ndo umezidi kunifurahisha. Ila sahihisho dogo tu - ni obheja. Kwa wewe unaweza kuongezea na kusema 'obheja bhabha'..Ila sio waveja.
Back to the topic at hand. You know, it is not brain surgery. It is so simple. What people lack is the will power to say no and you broke it down so beautifully. I like your common sense.
Mkuu mimi ninaamini mapenzi is what makes you happy and works for you (hakuna Black or White hapa, hakuna msaafu wala Kanuni za mapenzi) what works for most might not work for some...,Mkuu ..mimi naamini mapenzi ni "theory" lakini maisha ni "practical" ..
Aiseee...kweli huyo kaamua.
Ila bado dawa yake ni ndogo wala sio kubwa sana.Unaweza ukamuomba Mr. awe anakupokelea pale unapoona namba inayopiga yaweza
kua ya huyo mharibifu.Na kama ndie anamwambia amuachie yeye ujumbe atakufikishia.
Kitu kingine unachoweza kufanya ni kuacha kupokea namba zote usizozijua nyakati za jioni...na watu wako wa katibu unawaambia kabisa ikitokea wakahitaji kuzungumza na wewe kwa namba usizofahamu wakutext kwanza ndio utakapopokea.Kila kitu ni nia my dear...kama yeye alivyo na nia ya kukuvurugia na wewe kua na nia ya kumkosesha hiyo nafasi.
Unaweza ukamuomba Mr. awe anakupokelea pale unapoona namba inayopiga yaweza
kua ya huyo mharibifu.Na kama ndie anamwambia amuachie yeye ujumbe atakufikishia.
Well sasa hapo ndo mtu aamue kama hiyo privacy ambayo tayari imevamiwa na X ni muhimu kuliko mahusiano aliyonayo?!Kama ni ndio basi awe tayari kwa lolote.Hiyo kidogo inaweza kuleta utata kwa wale ambao simu zao ni mali zao na wenza wao hawaruhusiwi kuzishika. Wenyewe huwaga wana-cite sababu kuu ya kufanya hivyo ni privacy. Kwamba simu ni mali yake yeye peke yake. Mwenza wake aishike kwa minajili ipi? Ujue wapo wa aina hiyo....
Mkuu ni ile time ya kugundua kuwa kuna side effect ya kile unachofanya maana unaweza fanya mambo mengine bila hata kujua kuwa yana matatizo ila baadae ndo unakuja kugundua kuwa mhhh kumbe nineingizwa mjini. Mkuu kuna wakati mtu anakuwa so blind hajui anafanya nini wala ukimwambia kuwa this is wrong haelewi wala hasikii. So mtu kama huyo kuja kujua kuwa alichokuwa anafanya ni kibaya itachukua muda au kina side effect ni ngumu sana
Chauro pole,...au tupeane pole?
Acha tu.
Kutekwa mawazo pia hakutoshi ku define haya matukio,
maana mtu ana kukeep busy siku nzima, kama mwalimu
vile anavyomwachia mtoto Homework.
Simu za, "Nataka kuongea na wewe, nitakupigia!"...halafu jiii...
siku nyingine unapata sms, "Nipo Hospitali,...nimewekewa dripu!"
Unajitahidi kuuchuna, siku inapita...wiki haijesha unakurupushwa tena
saba za usiku, ...eti "kama una nafasi kesho nije tuongee!" Arrrghhhhhh!!!
Kama ni kweli anashida na unaweza kumpa msaada anytime unamsaidia huo ndio ubinadamu...
Kama ni muongo anasingizia jambo ambalo halijatokea siku akipiga simu usipopokea au akikuita usipoenda (asije kulaumu) Kumbuka hadithi ya the Boy who cried Wolf.... Inshort nitatoa msaada wangu kwa EX within reasons na with limit...
Na kama EX hana busara basi asitegemee nitamtreat kwa busara..
sasa utakuwa unaweka ukaribu ambao hautakiwi.kila mtu awe na maisha yake kwa amani mkutane kwa bahati mbaya sio kutafutana bila sababu huko ni kuumizana feelings
Always nitatoa msaada kama nikiombwa au nikihitajika, lakini future misaada itategemea anachukuliaje misaada yangu kama dhumuni lake ni kuniharibia relationship yangu au kunipotezea muda basi nita-keep distance (my point being sababu tu tuliachana sio kwamba ndio tuwe maadui na mtu hakatai wito anakataa neno)Mh .......Babu samahani kama nauliza swali ambalo ushaulizwa......utajuaje kama ni genuine shida au lah??
Unajua it depends some of the Ex wanaweza wakawa ni good friends the only reason ya ku-keep distance na Ex wangu ni sababu ya kuogopa complications au wivu ambao mwenza wangu anaweza akaupata, lakini if I can listen na kutoa msaada na ushauri to a stranger why not an Ex who used to be ubavu wangu (especially kama tuliachana vizuri..?)..., It Just there is a line which should not be crossed na kama na yeye ataweza ku-keep than line akipata shida tamsaidia kwa uwezo wangu wote (yaani been an Ex isiwe disqualification ya kutokumpa msaada)Halafu unaposema utatoa msaada kwa Ex----- ashakuwa ex, why akurudie??? Na unaposema Ex inategemea.....Ex ambaye mna kiunganishi (mtoto) ni tofauti na Ex tu.........nitatoa msaada .......kama tuna kiunganishi nao utakuwa na limitations!! Na nitatoa POLE kama hakuna kiunganishi na ni Ex!. FULL STOP otherwise more than that it is a Roller Coaster!! Kama mmeachana, why arudi kwako kwa msaada kama hana agenda ya siri (to bring you back/kuchezea hisia zako?)
Mbu.....hiyo ya kunical na no niczozijua coz anajua ya kwake cwez kupokea(leo pia amecal na no nicyoijua) ndio inanikera zaidi zaidi, kuna cku alinical nipo na msukuma tunaelekea kuwajibika, unajua ile mtu anaanza na salamu ndefu maelezo mengi na hujamjua bado, unabakia unamuuliza mwenzangu nani, anakuuliza/eleza cjui nn na nn na nn, msukuma pembeni anahic unaongea kwa wacwac, inaniletea shida sana sana, unakacrikiwa kucpo na lazima..na maswali yacyo na lazima...anakuharibia cku kabisa......kweli inaudhi sana.
aiseee, mpenz wa aina hiyo sitakaa nimuamini lol.Hiyo kidogo inaweza kuleta utata kwa wale ambao simu zao ni mali zao na wenza wao hawaruhusiwi kuzishika. Wenyewe huwaga wana-cite sababu kuu ya kufanya hivyo ni privacy. Kwamba simu ni mali yake yeye peke yake. Mwenza wake aishike kwa minajili ipi? Ujue wapo wa aina hiyo....
mbu huko mbona kutesana? Hakuna wa kumlilia isipokuwa ex?Mi naona ni makusudi tu....hataki upate amani ya moyo wala kichwa/distraction, kutaka kuonewa huruma ay kukukomoa tu.Sasa na ww ukimuendekeza kila akilialia anakupata, basi utakomaSijaqahi kuruhu ex aniletee kikwazo kwenye mapenzi yangu ninayoyathamini kama mboni ya jicho langu, na kamwe sitamruhusu. same way i wouldnt like my man to entertain that kind of com....
Aiseee...kweli huyo kaamua.
Ila bado dawa yake ni ndogo wala sio kubwa sana.Unaweza ukamuomba Mr. awe anakupokelea pale unapoona namba inayopiga yaweza
kua ya huyo mharibifu.Na kama ndie anamwambia amuachie yeye ujumbe atakufikishia.
Kitu kingine unachoweza kufanya ni kuacha kupokea namba zote usizozijua nyakati za jioni...na watu wako wa katibu unawaambia kabisa ikitokea wakahitaji kuzungumza na wewe kwa namba usizofahamu wakutext kwanza ndio utakapopokea.Kila kitu ni nia my dear...kama yeye alivyo na nia ya kukuvurugia na wewe kua na nia ya kumkosesha hiyo nafasi.
...hapo sasa, Nyamayao unasemaje hapo?