"Msukule" wa Mapenzi...

"Msukule" wa Mapenzi...

ROV na MR ROCKY nimewakkubali......asanteni sana, huku nilipo tunasema ucku mwema,cjui mlipo, kidalo poo...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Natumaini utafanikiwa...nasubiria hiyo feedback kama pilau la xmass!!!

mwali hulali? hahahha ucnikumbushe pilau coz xmac uchagani ni ndizi na nyama kwa wingi....hahhahaha tusubiri mae.
 
mwali hulali? hahahha ucnikumbushe pilau coz xmac uchagani ni ndizi na nyama kwa wingi....hahhahaha tusubiri mae.
Uwiiii pilau na ndizi jamani...

Ahhhh haya bana urae kisha mae...!!!
 
Kuna mtu alinieleza kuwa mapenzi yanakuwa na nguvu sana mtu anapoanza kumwonea huruma (sympathy) mpenzi wake au ex-GF/BF! Ila kuna watu wanalazimisha sana ili wapewe hiyo sympathy.

Mimi ninavyoona ni kwamba watu wengi wanapoachana wanabaki na kisebu sebu. Kwani huwezi kuachana na GF wako ukamsahau? Mimi nilishamsahau mmoja hata alipojaribu kuniomba namba ya simu unilimnyima. Na hata sijui nitamjibu nini akinipigia simu siku moja. Kuna mtu aliniuliza kwamba, "kwa nini watu wasiwasahau Ex-GFs/BFs kama wanavyo sahau toilet tissue baada ya kutoka wash room"??? Ukiweza kuiaminisha akili yako kwamba huyo si wako tena basi sidhani kama usumbufu wake utakugusa au kuku-distract!

Babu DC

my broda hapo shida inakuja kwa waliotuacha kumbe b ado walitutaka,walituaacha kwa matamanio fulani ya wengine wamekuja kugundua kumbe sio so wanajitahidi kurudi kwa waliowaonakwamba wangekuwa sawa kwao,wanakuta nafac zimejaa bac ni visa vya madenge vinapoanzia,2takomaa mpaka kieleweke......
 
Eh..................Mbu yaani leo umenirudisha mbali hadi nimechoka mwenyewe..................hii Emotional Roller Coaster mie nlishaipanda mara nyingi sana we acha tu . ctaki kukumbuka maana wenye mioyo midogo hamtakawia kushika fimbo na kuchapa screen zenu. Acheni jamani

mie amemnitonesha kidonda! Mbu na makusudi yake...yaani jamani hata kovu halijapona Mbu kasahlitibua...haya bwana!
 
....................Bebii you are right kabisa................ ni namna ya kudeal nayo. wewe kama Ex wangu umeshatimiza wajibu wako umenipa taarifa mama mgonjwa PERIOD. nitampigia mama na kujua anaendeleaje lakini mwingine utamkuta badala ya kumpigia mama/wifi au baba kutaka kujua hali ya mgonjwa yeye anampigia Ex- mgonjwa anaendeleaje, leo amekula bla bla bla ah....kwano ye ndo Dr au nesi?? ndo emotional roller coasters zenyewe hizo. ah mie niliyafanya kwake yanatosha kwa sasa nimemwachia aisome namba tu kwa nyuma kama si kula vumbi!!

sasa kwa mie niliopo kwenye hili vuguvugu, naweza kulcal jamani kuuliza kinachoendelea? coz kaniambia mamake mgonjwa sana, naanzaje?nina huruma na mama sana sana but nahic ndio ataona amepata urahic wa anachokusudia?a mhhh ngoja nilale jamani ntazeeka kabla ya cku mie.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
.....wangapi mmesha experience haya? Kuna wengine wana suffer abuses bila kujitambua...

Verbal Abuse could be
yelling, name-calling, constant complaining, criticizing, blaming you for everything, humiliating you in public or private, using sarcasm, dominating conversations, teasing you about things you are sensitive about, mumbling then denying speaking, and employing total silence as punishment.

Psychological Abuse could be
dismissing your reality and experiences, "remembering" things that didn't happen or never remembering anything, making up rules that you "should have known", and creating an atmosphere in which you begin to doubt your own reality.

Emotional Abuse could be
ignoring your feelings, ridiculing your beliefs, withholding approval, threatening to take your children, telling you about his/her affairs, manipulating you with lies, threatening to leave you, taking the car keys or money, keeping you from working or going to school, abusing your pets or children, or driving your family or friends away, threatening to "out" you if you are gay, and threatening suicide if you leave, threatening to turn you in to the law or the INS if you don't go along.

Financial Abuse could be
taking the paychecks, withholding funds, not giving any money for basic requirements, spending all the money before bills are paid, demanding money from you, refusal to pay you back, over-extending or destroying credit, making you account for every dime, disparity in spanding, threatening or refusing to pay child support, demanding that his/her spending desires are priority, hiding money or assets and depleting accounts.

Physical Abuse could be
pushing, scratching, slapping, hitting, punching, choking, kicking, holding, biting, throwing, locking you out of the house, driving recklessly when you are in the car, throwing objects at you, threatening to hurt you with a weapon, abandoning you in dangerous places, and refusing to help when you are pregnant, injured or sick.

Sexual Abuse could be
insisting that you dress in an uncomfortable sexual way, calling you sexual name like "*****" or "bitch", forcing you to strip, forcing unwanted sexual acts, withholding sex as punishment, criticizing you sexually, insisting upon sex when you don't want it, and using pictures or intimate knowledge of you to humiliate you.

...jichunguze kama ushawahi experience Mojawapo au zaidi kwenye Circle hii;

emotional-abuse-diagram.png

...shituka usingizini!

Wewe ni "msukule!" iwapo aliyekutenda yote haya bado anakujia na alinacha za 'hapo zamani za kale...mimi bado nakupenda, sitaki kukuacha!' Ilhali anajua usha move on na maisha yako.

Mbu, you are an honest-to-goodness love and relationship savant. I admire your oracular wisdom in this realm. Super big up.
 
Jamani mimi sijaelewa,

Hivi ex-BFs/GFs ni mashirika ya kutoa misaada kwamba ndo yawe kimbilio mtu anapokuwa na matatizo yake? Sihitaji kuwa karibu naye wala kujua matatizo yake ya kila siku. Kuendekeza huruma ndo mwisho wake unapoteza vyote..Anakuharibia ndoa na kuanza kukucheka!

Watu wa namna hiyo wana nia mbaya sana..ni devils!!
 
my broda hapo shida inakuja kwa waliotuacha kumbe b ado walitutaka,walituaacha kwa matamanio fulani ya wengine wamekuja kugundua kumbe sio so wanajitahidi kurudi kwa waliowaonakwamba wangekuwa sawa kwao,wanakuta nafac zimejaa bac ni visa vya madenge vinapoanzia,2takomaa mpaka kieleweke......

Dada,

Hayo yanawezekana ila walio wengi tunakuwa na kisebusebu tu. Na pia tunajua kuwa huo ndo mlango rahisi sana wa kupandia daladala!!

Si nasikia wengi wanaamini kuwa, Ex-GF/BF ni wako hadi kiama???!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu, you are an honest-to-goodness love and relationship savant. I admire your oracular wisdom in this realm. Super big up.

Mkuu NN,

Hapo unamaanisha nini? Wengine tu akina Maimuna!!

Umepotelea/potezewa wapi Bro?

Mzee DC
 
Maty mbona unakuwa mtumwa kwa sababu ya mtoto?Furaha yako sio huyo mtoto,huo ndio ukweli!Usiumizwe amufu kufurahi hata kama atakuja kumchukua huyo binti,inaonekana anakuburuza kwa kumtumia huyo binti!Amua sasa kuishi kwa furaha bila kutegemea furaha ya kukopa kutokana na uwepo wa binti yako!

Ushauri mzuri sana Eiyer na natamani ningeweza kufanya haya ila nimejitahidi lakini ukweli ni kwamba siwezi ishi bila furaha ya kukopa kutoka kwa huyu mtoto kwani yeye pekee ndie rafiki wa kweli, ndugu wa kweli na kila kitu kwangu. Unajua binadamu tuna maudhi sana na mtu anaweza kukuudhi kwa makusudi kabisa haijalishi ni mpenzi/mume au ndugu ila huyu mrembo ananifurahisha tu wakati wote wala huwa sioni maudhi yake ya kunikosesha raha kama wanavyoweza fanya wengine yaani huyu ndio maisha yangu mpedwa. Halafu nikifikiria nilivyomzaa zaa ni kama maigizo tu nilipoteza muda wangu mwingi kwa ajili yake kifupi mambo mengi sana nilifupisha kwa ajili yake. so siwezi kumuachia kirahisi labda yeye aamue kuniacha.

Huwa saa nyingine naamua muache amchukue zikipita siku mbili weeeeeeeeeee wapi, uchungu wa mwana bana asikwambie mtu
 
Aiseee...kweli huyo kaamua.

Ila bado dawa yake ni ndogo wala sio kubwa sana.Unaweza ukamuomba Mr. awe anakupokelea pale unapoona namba inayopiga yaweza
kua ya huyo mharibifu.Na kama ndie anamwambia amuachie yeye ujumbe atakufikishia.

Kitu kingine unachoweza kufanya ni kuacha kupokea namba zote usizozijua nyakati za jioni...na watu wako wa katibu unawaambia kabisa ikitokea wakahitaji kuzungumza na wewe kwa namba usizofahamu wakutext kwanza ndio utakapopokea.Kila kitu ni nia my dear...kama yeye alivyo na nia ya kukuvurugia na wewe kua na nia ya kumkosesha hiyo nafasi.
S

Sawa kabisa Lizzy nakubaliana na suggestions zako ila tu nina wasiwasi kama mtu mwenyewe ni mkorofi. Kwa hiyo option ya kwanza kuwa nimpe simu Mr anipokelee......ah kama Ex ni mkorofi anawezamporomoshea matuc au maneno ya kashfa Mr wangu bure....kitu ambacho sitapenda kabisa kitokee. Yaani Mr atukanwe, dharauliwe kwa kosa langu la kumchagua kichaa awe mpenzi wangu? Ehee ni pysch case hii kabisa. Nitampa tu taarifa Mr kama atahitaji kuaminishwa nitamuaminisha kwa kuweka loud speaker ayasikir maongezi ya hilo ji-ng'ang'anizi. Otherwise nitadeal naye mwenyewe (kwa msaada wa Mr).

Option ya pile its a big YES to me.
 
.....wangapi mmesha experience haya? Kuna wengine wana suffer abuses bila kujitambua...

...jichunguze kama ushawahi experience Mojawapo au zaidi kwenye Circle hii;

emotional-abuse-diagram.png

...shituka usingizini!

Wewe ni "msukule!" iwapo aliyekutenda yote haya bado anakujia na alinacha za 'hapo zamani za kale...mimi bado nakupenda, sitaki kukuacha!' Ilhali anajua usha move on na maisha yako.

Mbu.............................Aksante
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kama anakupigia simu usiku anakuambia "naumwa"mwambie kwani mimi daktari?Halafu umsikie kama hajatoka nduki fasta an never look back!!

Hii post imenifanya nicheke bila kupenda. We Elyer eti atoke nduki kwa kijibu cha kitoto kama hiki? Hujakutana na ving'ang'anizi wewe!

Afadhali huyo atasema anaumwa, mwingine anapiga kisha anakwambia amelewa na hajui atafikaje nyumbani! sasa sijui mie trafik au anapiga nimepata pancha!!- zamani wakati ndo niko kwenye siti ya mbele kabisa ya hilo li-coaster asemalo Mbu alikuwa akipiga hivyo natoka nduki mtoto wa kike vruuuum mpaka alipo namchukua tunarudi nyumbani!! ah sasa hivi nahisi fyuzi za button ile zimeshaungua!
 
.....wangapi mmesha experience haya? Kuna wengine wana suffer abuses bila kujitambua...

.....shituka usingizini!

Wewe ni "msukule!" iwapo aliyekutenda yote haya bado anakujia na alinacha za 'hapo zamani za kale...mimi bado nakupenda, sitaki kukuacha!' Ilhali anajua usha move on na maisha yako.

Mkuu..Thanks again for sharing... Ningefurahi kuona reaction ya kina dada kwa hilo gurudumu kwani naliona limeweka bayana udhaifu wetu wanaume kwa hawa viumbe..

Binafsi naamini sisi wanaume tume- inherit elements za ubinafsi ambazo zinatupa kichwa na kujiona tunahitaji power and control albeit kwa kumdidimiza mwanamke. Ni nature ambayo hatuwezi kupinga ila kama tunajua hilo ya kuwa sisi viumbe adimu (kutokana na matatizo yetu na roho mbaya) tunaweza kupunguza impact za ubinafsi huo wa kujitakia.

Samahani naenda nje kidogo ya mada yako ya gurudumu la msekule, lakini naona ni vizuri kuona chanzo. Mimi naamini ubinafsi huu ambao tumezaliwa nao..ndio unatufanya tuamini yale yote tunayotenda ni sahihi hadi siku ile tutakapojitambua.

Kwa upande wa pili pamoja na kuwa na nguvu za maumbile tulizojaliwa naamini wanaume tuko soft na weak sana.. na ndiyo maana tunaficha weakness zetu kwa kutaka power na control. Vitu hivi na ukichanganya mambo ya utamaduni, mila na faith ..basi wanaume tunakuwa mazezeta wa ubinafsi hadi tunashindwa kujitambua ..kwani nature inahalalisha maovu yetu bila kujijua.. Kwa mtego huu na mingine niliyosema kwenye comment yangu ya jana..mwanamke anakuwa tayari ameshaingia kwenye msekule bila kujijua..Sisi tutaendelea ku-push mabaya tukidhani tuko sawa..

Tabibu wa ugonjwa huu wa ubinafsi na udhaifu wa mwanaume ni Mwanamke mwenyewe. Mke wangu asiponiambia na kunikaripia yale mambo mabaya ambayo namfanyia mimi nitaendelea kuugua bila kujijua ugonjwa mbaya wa ubinafsi.. Lakini kama yeye akisimama kidete ..na kunipa "live" bila kuchoka basi kuna chance kubwa ntaamka kwenye usingizi mzito na kujijua kuwa nafanya mabaya na kujirekebisha... Umri wa mwanaume unachangia pia kasi ya kujijua.

Binafsi naamini Men mature at the age of 40..kuna watakaopinga ..lakini..binafsi naamini hivyo. Kupona ugonjwa wa ubinafsi katika age ya 40 & above ni rahisi kuliko ukiwa na umri kati miaka 25 and 39.
 
Tulizo nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa. Ubinafsi wetu na unyonge wetu Tuna ubinafsi sana kwa kujiona sisi ni sisi na kila tunachokifanya kiko bora na ni kizuri hata kama ni pumba au cha kijinga ila tutapenda kionekane ni kizuri
Pia unyonge kwa kuwa tunajijua kuwa mbele ya mwanamke sisi ni kama sisimizi ni lazima tujifanye wababe hata kama ubabe wenyewe haupo ili tuwafanye wenza wetu watuone kuw atuna nguvu ilhali ukweli ni kuwa hakuna na hatusemi kitu inapokuja issue ya kuwa mbele ya mwanamke.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom