Natumaini utafanikiwa...nasubiria hiyo feedback kama pilau la xmass!!!kuna k2 nimekinyaka hapo kinaweza kunisaidia,nitakupa feedback mae! thnx sana.
Natumaini utafanikiwa...nasubiria hiyo feedback kama pilau la xmass!!!
bht ....................aksante sweetie!
Uwiiii pilau na ndizi jamani...mwali hulali? hahahha ucnikumbushe pilau coz xmac uchagani ni ndizi na nyama kwa wingi....hahhahaha tusubiri mae.
Kuna mtu alinieleza kuwa mapenzi yanakuwa na nguvu sana mtu anapoanza kumwonea huruma (sympathy) mpenzi wake au ex-GF/BF! Ila kuna watu wanalazimisha sana ili wapewe hiyo sympathy.
Mimi ninavyoona ni kwamba watu wengi wanapoachana wanabaki na kisebu sebu. Kwani huwezi kuachana na GF wako ukamsahau? Mimi nilishamsahau mmoja hata alipojaribu kuniomba namba ya simu unilimnyima. Na hata sijui nitamjibu nini akinipigia simu siku moja. Kuna mtu aliniuliza kwamba, "kwa nini watu wasiwasahau Ex-GFs/BFs kama wanavyo sahau toilet tissue baada ya kutoka wash room"??? Ukiweza kuiaminisha akili yako kwamba huyo si wako tena basi sidhani kama usumbufu wake utakugusa au kuku-distract!
Babu DC
Uwiiii pilau na ndizi jamani...
Ahhhh haya bana urae kisha mae...!!!
Eh..................Mbu yaani leo umenirudisha mbali hadi nimechoka mwenyewe..................hii Emotional Roller Coaster mie nlishaipanda mara nyingi sana we acha tu . ctaki kukumbuka maana wenye mioyo midogo hamtakawia kushika fimbo na kuchapa screen zenu. Acheni jamani
....................Bebii you are right kabisa................ ni namna ya kudeal nayo. wewe kama Ex wangu umeshatimiza wajibu wako umenipa taarifa mama mgonjwa PERIOD. nitampigia mama na kujua anaendeleaje lakini mwingine utamkuta badala ya kumpigia mama/wifi au baba kutaka kujua hali ya mgonjwa yeye anampigia Ex- mgonjwa anaendeleaje, leo amekula bla bla bla ah....kwano ye ndo Dr au nesi?? ndo emotional roller coasters zenyewe hizo. ah mie niliyafanya kwake yanatosha kwa sasa nimemwachia aisome namba tu kwa nyuma kama si kula vumbi!!
Verbal Abuse could be
yelling, name-calling, constant complaining, criticizing, blaming you for everything, humiliating you in public or private, using sarcasm, dominating conversations, teasing you about things you are sensitive about, mumbling then denying speaking, and employing total silence as punishment.
Psychological Abuse could be
dismissing your reality and experiences, "remembering" things that didn't happen or never remembering anything, making up rules that you "should have known", and creating an atmosphere in which you begin to doubt your own reality.
Emotional Abuse could be
ignoring your feelings, ridiculing your beliefs, withholding approval, threatening to take your children, telling you about his/her affairs, manipulating you with lies, threatening to leave you, taking the car keys or money, keeping you from working or going to school, abusing your pets or children, or driving your family or friends away, threatening to "out" you if you are gay, and threatening suicide if you leave, threatening to turn you in to the law or the INS if you don't go along.
Financial Abuse could be
taking the paychecks, withholding funds, not giving any money for basic requirements, spending all the money before bills are paid, demanding money from you, refusal to pay you back, over-extending or destroying credit, making you account for every dime, disparity in spanding, threatening or refusing to pay child support, demanding that his/her spending desires are priority, hiding money or assets and depleting accounts.
Physical Abuse could be
pushing, scratching, slapping, hitting, punching, choking, kicking, holding, biting, throwing, locking you out of the house, driving recklessly when you are in the car, throwing objects at you, threatening to hurt you with a weapon, abandoning you in dangerous places, and refusing to help when you are pregnant, injured or sick.
Sexual Abuse could be
insisting that you dress in an uncomfortable sexual way, calling you sexual name like "*****" or "bitch", forcing you to strip, forcing unwanted sexual acts, withholding sex as punishment, criticizing you sexually, insisting upon sex when you don't want it, and using pictures or intimate knowledge of you to humiliate you.
my broda hapo shida inakuja kwa waliotuacha kumbe b ado walitutaka,walituaacha kwa matamanio fulani ya wengine wamekuja kugundua kumbe sio so wanajitahidi kurudi kwa waliowaonakwamba wangekuwa sawa kwao,wanakuta nafac zimejaa bac ni visa vya madenge vinapoanzia,2takomaa mpaka kieleweke......
Mbu, you are an honest-to-goodness love and relationship savant. I admire your oracular wisdom in this realm. Super big up.
Maty mbona unakuwa mtumwa kwa sababu ya mtoto?Furaha yako sio huyo mtoto,huo ndio ukweli!Usiumizwe amufu kufurahi hata kama atakuja kumchukua huyo binti,inaonekana anakuburuza kwa kumtumia huyo binti!Amua sasa kuishi kwa furaha bila kutegemea furaha ya kukopa kutokana na uwepo wa binti yako!
SAiseee...kweli huyo kaamua.
Ila bado dawa yake ni ndogo wala sio kubwa sana.Unaweza ukamuomba Mr. awe anakupokelea pale unapoona namba inayopiga yaweza
kua ya huyo mharibifu.Na kama ndie anamwambia amuachie yeye ujumbe atakufikishia.
Kitu kingine unachoweza kufanya ni kuacha kupokea namba zote usizozijua nyakati za jioni...na watu wako wa katibu unawaambia kabisa ikitokea wakahitaji kuzungumza na wewe kwa namba usizofahamu wakutext kwanza ndio utakapopokea.Kila kitu ni nia my dear...kama yeye alivyo na nia ya kukuvurugia na wewe kua na nia ya kumkosesha hiyo nafasi.
.....wangapi mmesha experience haya? Kuna wengine wana suffer abuses bila kujitambua...
...jichunguze kama ushawahi experience Mojawapo au zaidi kwenye Circle hii;
...shituka usingizini!
Wewe ni "msukule!" iwapo aliyekutenda yote haya bado anakujia na alinacha za 'hapo zamani za kale...mimi bado nakupenda, sitaki kukuacha!' Ilhali anajua usha move on na maisha yako.
Kama anakupigia simu usiku anakuambia "naumwa"mwambie kwani mimi daktari?Halafu umsikie kama hajatoka nduki fasta an never look back!!
.....wangapi mmesha experience haya? Kuna wengine wana suffer abuses bila kujitambua...
.....shituka usingizini!
Wewe ni "msukule!" iwapo aliyekutenda yote haya bado anakujia na alinacha za 'hapo zamani za kale...mimi bado nakupenda, sitaki kukuacha!' Ilhali anajua usha move on na maisha yako.
Mkuu..Thanks again for sharing... Ningefurahi kuona reaction ya kina dada kwa hilo gurudumu kwani naliona limeweka bayana udhaifu wetu wanaume kwa hawa viumbe..
Binafsi naamini sisi wanaume tume- inherit elements za ubinafsi ambazo zinatupa kichwa na kujiona tunahitaji power and control albeit kwa kumdidimiza mwanamke. Ni nature ambayo hatuwezi kupinga ila kama tunajua hilo ya kuwa sisi viumbe adimu (kutokana na matatizo yetu na roho mbaya) tunaweza kupunguza impact za ubinafsi huo wa kujitakia.
Samahani naenda nje kidogo ya mada yako ya gurudumu la msekule, lakini naona ni vizuri kuona chanzo. Mimi naamini ubinafsi huu ambao tumezaliwa nao..ndio unatufanya tuamini yale yote tunayotenda ni sahihi hadi siku ile tutakapojitambua.
Kwa upande wa pili pamoja na kuwa na nguvu za maumbile tulizojaliwa naamini wanaume tuko soft na weak sana.. na ndiyo maana tunaficha weakness zetu kwa kutaka power na control. Vitu hivi na ukichanganya mambo ya utamaduni, mila na faith ..basi wanaume tunakuwa mazezeta wa ubinafsi hadi tunashindwa kujitambua ..kwani nature inahalalisha maovu yetu bila kujijua.. Kwa mtego huu na mingine niliyosema kwenye comment yangu ya jana..mwanamke anakuwa tayari ameshaingia kwenye msekule bila kujijua..Sisi tutaendelea ku-push mabaya tukidhani tuko sawa..
Tabibu wa ugonjwa huu wa ubinafsi na udhaifu wa mwanaume ni Mwanamke mwenyewe. Mke wangu asiponiambia na kunikaripia yale mambo mabaya ambayo namfanyia mimi nitaendelea kuugua bila kujijua ugonjwa mbaya wa ubinafsi.. Lakini kama yeye akisimama kidete ..na kunipa "live" bila kuchoka basi kuna chance kubwa ntaamka kwenye usingizi mzito na kujijua kuwa nafanya mabaya na kujirekebisha... Umri wa mwanaume unachangia pia kasi ya kujijua.
Binafsi naamini Men mature at the age of 40..kuna watakaopinga ..lakini..binafsi naamini hivyo. Kupona ugonjwa wa ubinafsi katika age ya 40 & above ni rahisi kuliko ukiwa na umri kati miaka 25 and 39.