Unayo hoja mkuu, usikilizweNimemsikia Mbunge Msukuma akisema eti wengi tunaojadili suala la bandari hatulijui kwa sababu hatujasafiri kwenda Dubai na Uingereza, Singapore ambako wamepiga hatua kwenye sekta ya bandari.
Tunachokwambia Msukuma watanzania wa leo hawasubiri kusimuliwa na waandishi wa habari wewe ungejibu hoja zinazoulizwa na huo mkataba wa DP na uingereza ungeuleta ili tuuchambue kwa pamoja.
Atajibuje hoja zinazohusiana na mkataba ilhali mkataba umeandikwa kingereza na yeye hakipandi? Yeye anachowaza ni V8 000km na apartment aliyopewa Dubai hayo mengine hayamhusu.Nimemsikia Mbunge Msukuma akisema eti wengi tunaojadili suala la bandari hatulijui kwa sababu hatujasafiri kwenda Dubai na Uingereza, Singapore ambako wamepiga hatua kwenye sekta ya bandari.
Tunachokwambia Msukuma watanzania wa leo hawasubiri kusimuliwa na waandishi wa habari wewe ungejibu hoja zinazoulizwa na huo mkataba wa DP na uingereza ungeuleta ili tuuchambue kwa pamoja.
Wewe tangu aingie mzanzibar mwenzako Chadema ukawapa kisogo kabisa[emoji1].Mbona Lema anatusimulia kila siku kuhusu Canada walivyopiga hatua, Msukuma alikuwa anajaribu kusema kuwa hatuna exposure.
Mimi niko Chadema lakini sio wote tuwe mawazo ya aina moja sisi sio Wanyamapori.Wewe tangu aingie mzanzibar mwenzako Chadema ukawapa kisogo kabisa[emoji1].
Naumbuka enzi za JPM ulikuwa humu kuituna CCM kila kukicha, ila alipoingia mwenzako madarakani ukapiga U-turn.
Mbona hujawahi kumpinga Mbowe Kwa chochote? hamna kitu ni maslahi binafsi tuMimi niko Chadema lakini sio wote tuwe mawazo ya aina moja sisi sio Wanyamapori.
Ndio uzuri wa Chadema kuna Demokrasia pana kuna wengine wanapenda kupinga chochote kile hao hata ACT CCM na kwengineko wapo.
Nilimpinga hapa jukwaani kuhusu maridhiano kwenda slow pace iko comment yangu humu nakumbuka tulikuwa na Tindo.Mbona hujawahi kumpinga Mbowe Kwa chochote? hamna kitu ni maslahi binafsi tu
Hoja ya msingi, isipuuzwe.Nimemsikia Mbunge Msukuma akisema eti wengi tunaojadili suala la bandari hatulijui kwa sababu hatujasafiri kwenda Dubai na Uingereza, Singapore ambako wamepiga hatua kwenye sekta ya bandari.
Tunachokwambia Msukuma watanzania wa leo hawasubiri kusimuliwa na waandishi wa habari wewe ungejibu hoja zinazoulizwa na huo mkataba wa DP na uingereza ungeuleta ili tuuchambue kwa pamoja.
Mimi niko Chadema lakini sio wote tuwe mawazo ya aina moja sisi sio Wanyamapori.
Ndio uzuri wa Chadema kuna Demokrasia pana kuna wengine wanapenda kupinga chochote kile hao hata ACT CCM na kwengineko wapo.
Mimi ukifanya vizuri nakusifia na nilimshauri Samia atuletee DPWorld baada mkataba wa TICTS kuisha nilipendekeza DPWorld kwa weledi waoHauna unaloweza kunidanganya, nakufuatilia sana katika mijadala ya kisiasa humu, mara zote ni kumsifia SAMIA tu.