Tunashinda njaaLeo tunashinda
Eti halafu anajifanya hataenda, ha ha ha.Wewe kabebe box bhana tunajua uko ughaibuni . Ha ha ha mambo ya Taifa stars tuachie wenyewe
Tunashinda njaa
Tatizo taifa stars team yetu inashinda kwenye magazeti ila si uwanjani. Acha kutuchafulia jukwaa bhana .
mkuu Kiduku starlet anasema nenda ukashuhudiemimi sitaenda
1 BillionMo akipatikana kabla mechi haijaanza tutaenda taifa.
Tukutane kwa mchina bado kidogo mkuuLeo ndio Leo lile striker katili la Cape Verde Ricardo Gomes ..atawekwa chini ya ulinzi madhubuti wa Kevin Yondan huku Erasto Nyoni akisafisha uchafu wote langoni kwa Stars..Tunaomjua Yondani akicheza mpira wa "kihuni" Ricardo hawezi kufurukuta...Twendeni Kwa mchina kwa wingi buku mbili kitu gani...
Sina matumaini tena na Taifa stars imekubali kufungwa na team mbovu sana (Cape Verde)Tutakuwa wote mkuu leo mtu lazima apigwe 4-0
Wachezaji wanakariri mbinu hamna wa kujiongezaYaani mpira wa kizamani wa kusubir nyumbani ndio ushinde timu ifumuliwe iwekwe majina madogo si makubwa yaliyolizika wachezaj hawajitum mpira kushind s kocha tu hata uwezo wa kujiongeza mchezaj kitu ambacho weng hawan t stars
Kiduku starletHivi hawa Stars mara ya mwisho kushinda ni lini?
Boss we ndio huna taarifa kabisa na hiki kichwa cha mwendawazi.Kwani stars anachezs lini?
Kabisa.Bora tuungane kumtafuta MO kwa mda huo
#bringbackourMOKabisa.
Ila Tukutane Taifa kiongozi