Msukumo mdogo wa watu kujitokeza na Kui-support Taifa Stars (Kichwa cha Mwendawazimu)

Msukumo mdogo wa watu kujitokeza na Kui-support Taifa Stars (Kichwa cha Mwendawazimu)

Leo ndio Leo lile striker katili la Cape Verde Ricardo Gomes ..atawekwa chini ya ulinzi madhubuti wa Kevin Yondan huku Erasto Nyoni akisafisha uchafu wote langoni kwa Stars..Tunaomjua Yondani akicheza mpira wa "kihuni" Ricardo hawezi kufurukuta...Twendeni Kwa mchina kwa wingi buku mbili kitu gani...
Tukutane kwa mchina bado kidogo mkuu
 
Yaani mpira wa kizamani wa kusubir nyumbani ndio ushinde timu ifumuliwe iwekwe majina madogo si makubwa yaliyolizika wachezaj hawajitum mpira kushind s kocha tu hata uwezo wa kujiongeza mchezaj kitu ambacho weng hawan t stars
Wachezaji wanakariri mbinu hamna wa kujiongeza
 
Back
Top Bottom