jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,569
- 43,614
Umepora uchaguzi umejipachika madarakani,umeuwa na umefukia Maiti za wapendwa wetu kama mizoga alafu ufanye na mazungumzo na muhuni wa namna hii🤣🤣
Honestly speaking,Waislamu lazima tusimame katika upande wetu usilazimishe kunywa divai,kula nguruwe,kumuabudu yesu tunabaki katika njia yetu hata iweje padri atabaki kanisani akiongoza kondoo waliopotea.
So imani yenu ndio mnafurahiana kusherekea mauaji yaliyotokea na wala bakwata hawawezi laani kilichotokeaWaislamu lazima tusimame katika upande wetu usilazimishe kunywa divai,kula nguruwe,kumuabudu yesu tunabaki katika njia yetu hata iweje padri atabaki kanisani akiongoza kondoo waliopotea.
Waislamu wengi hawana akili...Honestly speaking,
Mnaidharirisha sana dini yenu na kuonekana ni watu msioelimika, na msiostaharabika hata kidogo.
Padri kazunguzia maslahi ya taifa, uhai wa watu, hali halisi iliyo kwenye jamii wewe mwanetu unaleta udini kweli?
Wapi Padri kasema uislamu na uskristo?
Kwanini waislamu kila kitu mnakitamaza kwenye jicho la udini? Hamuwezi ku think straight at least for a second, why are you always thinking in reverse?
Simameni upande wenu kukemea na kulaani huyu anayeua raia wa imani zote.Waislamu lazima tusimame katika upande wetu usilazimishe kunywa divai,kula nguruwe,kumuabudu yesu tunabaki katika njia yetu hata iweje padri atabaki kanisani akiongoza kondoo waliopotea.
kutoka leo kabla ya kesho?
Huu upumbavu peleka huko facebook
Waislamu lazima tusimame katika upande wetu usilazimishe kunywa divai,kula nguruwe,kumuabudu yesu tunabaki katika njia yetu hata iweje padri atabaki kanisani akiongoza kondoo waliopotea.