Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
BILA SHAKA NI WALE MAANITHI WA AKILI WABINUA VIJAMBIO NA KANZU ZAO. adriz Al-mukheef FaizaFoxy Covax JaginaUzuri hoja za Padri ziko sahihi na zimenyooka na niza moto kweli kweli.
Ila kuanzia kesho tutarajie kuona wale walio lipwa na wahuni wa kijani kuja kumshambulia badala ya kujibu hoja.
Wataanza uvccm,watakuja kobazccm wazee wakujitoa akili kama kuku aliyekatwa kichwa.
Hii nchi ina viongozi wahovyo kuwahi kutokea ulimwenguni.
Mmeua raia wasio na hatia ila hamtaki kukiri kosa wala kuwajibika mnataka maridhiano,absurd.