Honestly speaking,
Mnaidharirisha sana dini yenu na kuonekana ni watu msioelimika, na msiostaharabika hata kidogo.
Padri kazunguzia maslahi ya taifa, uhai wa watu, hali halisi iliyo kwenye jamii wewe mwanetu unaleta udini kweli?
Wapi Padri kasema uislamu na uskristo?
Kwanini waislamu kila kitu mnakitamaza kwenye jicho la udini? Hamuwezi ku think straight at least for a second, why are you always thinking in reverse?