FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Kama wameshindwa kuweka watu wao under control basi napendekeza tuwasaidie kufanya hivyo. Wapewe masaa 72 tu, wafanye wafanyavyo, wakamuane waminyane, watajua wenyewe, tunataka wawacheue hao magaidi na wawasalimishe kwetu, ndani ya hayo masaa 72.
Kinyume cha hapo, Jeywee wawafuate na kuwasaka huko huko, with or without permission.
Kinyume cha hapo, Jeywee wawafuate na kuwasaka huko huko, with or without permission.