Msumbiji ipewe masaa 72 kuwacheua magaidi walioua Watanzania 6 Mto Ruvuma, la sivyo iwekwe chini ya ulinzi

Msumbiji ipewe masaa 72 kuwacheua magaidi walioua Watanzania 6 Mto Ruvuma, la sivyo iwekwe chini ya ulinzi

Hii isue iwe handled kwa umakini, isijekuwa tunategwa kuingia kwenye mambo makubwa zaidi.
 
Serikali yetu imara sana na kilio chetu watanzania wamekisikia. Naomba amiri jeshi mkuu atume vikosi vya jeshi kule msumbiji kuwa na operation hata ya siku tatu vifaru na midege yetu wakawasambaratishe magaidi wote. Halafu ikiwezekana tuitawale hata msumbiji ya kaskazini ambako kuna matukio mengi ya kihalifu. Kule kuna madini mengi sana ya RUBI NA GOLD. Vita ni gharama lakini kupitia rasilimali zao tukipora tutaweza kufidia gharama zetu. Pia kuna gesi ya kutosha sana tukipora mali zao na kuwatawala. Watajifunza kulinda mipaka na kuimarisha jeshi lao. Magaidi na vikosi vya watu wa msituni vimekuwa kero kwa watanzania wenzetu.
 
Kama wameshindwa kuweka watu wao under control basi napendekeza tuwasaidie kufanya hivyo. Wapewe masaa 72 tu, wafanye wafanyavyo, wakamuane waminyane, watajua wenyewe, tunataka wawacheue hao mbwa vigaidi uchwara na wavisalimishe kwetu, ndani ya hayo masaa 72.
Kinyume cha hapo, Jeywee wawafuate na kuwasaka huko huko , with or without permission
Wengine habari hatuijui,ungeanza hata na kuielezea ilivyokua.
 
Naona ripoti iko tofauti, wengine wanasema ni mto Ruvuma na wengine wanasema Mtwara, wapi hasa tukio limetokea?
 
Kama wameshindwa kuweka watu wao under control basi napendekeza tuwasaidie kufanya hivyo. Wapewe masaa 72 tu, wafanye wafanyavyo, wakamuane waminyane, watajua wenyewe, tunataka wawacheue hao mbwa vigaidi uchwara na wavisalimishe kwetu, ndani ya hayo masaa 72.
Kinyume cha hapo, Jeywee wawafuate na kuwasaka huko huko , with or without permission
Maliza kwanza chuo,utakuja jua mambo ya kidiplomasia yanaendeshwaje ,wasalimu maprof hapo chuon.
 
Nadhani mbinu ya Urusi ingefaa zaidi. Wameua watu sita, watumwe watu wachache tu wajuzi wa mambo pale chini. Wakawapunguze na wao ndugu zao sitini.
Halafu tuone wanarudi lini tena!
Sasa hauwezi kulipiza kisasi kwa raia wasio na hatia, ni lazima hao magaidi wapatikane!
 
Du mambo mengi mda mchache 🤐🤕🤕


Mwenyezi mungu linda taifa hili 🙏🙏🙏



Amen.................
 
Back
Top Bottom