FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Wa tz 6 wauawa kwa risasi na watu waliovamia kutoka Msumbiji mpakani mwa tz na msumbiji huko mtwara na kurudi tena Msumbiji.Mmmh [emoji1745] mbona sielewi.
Shukran mkuuWa tz 6 wauawa kwa risasi na watu waliovamia kutoka Msumbiji mpakani mwa tz na msumbiji huko mtwara na kurudi tena Msumbiji.
Serikali ilikuwepo huko leo kuwatia moyo majeruhi na ndugu zetu walio ondokewa na wapendwa wao
Matukio kama haya yakiendelea na tukayaacha bila kutetemesha kinchi kimoja basi kuna siku tutazoeleka na kuchapwa fimbo na raia wa nchi jirani.
Nategemea serikali kupitia vyombo vya ulinzi ifanye kitu ambacho kitaonesha Tanzania ni nchi isiyotaka ujinga wa aina hii.
Naunga mkono HOJA, watanzania Na serikali yetu tuwaige wale jamaa waliowahi kupigana Na nchi 6, maana wao MTU mmoja tu akiuwawa au kutekwa kitakachofuata ni kidembwe tupu.Kama wameshindwa kuweka watu wao under control basi napendekeza tuwasaidie kufanya hivyo. Wapewe masaa 72 tu, wafanye wafanyavyo, wakamuane waminyane, watajua wenyewe, tunataka wawacheue hao mbwa vigaidi uchwara na wavisalimishe kwetu, ndani ya hayo masaa 72.
Kinyume cha hapo, Jeywee wawafuate na kuwasaka huko huko , with or without permission
Jeshi letu la JW na TPF!!!! [emoji15] [emoji15]Naunga mkono HOJA, watanzania Na serikali yetu tuwaige wale jamaa waliowahi kupigana Na nchi 6, maana wao MTU mmoja tu akiuwawa au kutekwa kitakachofuata ni kidembwe tupu.
Jeshi letu JW Na TPF waingie huko KABODELIGADO MZQ watapatikana hao wahalifu.
Unashangaa nini MKUU?Jeshi letu la JW na TPF!!!! [emoji15] [emoji15]
Si bora tutume tu TPF ili JW libaki. Msumbiji nchi ndogo hiyo tupeleke JW na TPF kweli?Unashangaa nini MKUU?
Wewe mbona umewaua Ben saananeMsumbiji limekua Taifa la kishenzi mno
Hivi hawajui kua rahisi wetu anaweza pushup?
Hawajui kua wajeda wetu wanaweza kuvuta malori na kupasua matofari ya block kwa kichwa....?
Au wanatuchukulia poa
tukisema sirikali wa wanyonge....?
Hii ni mbinu ya kijeshi.
Hivi unajua madhara ya kuingia ndani ya mipaka nchi kwa nguvu??? Je nao wakiruhusu jeshi lao likukabiri utaweza????? Diplomasia inahitajika hapaKama wameshindwa kuweka watu wao under control basi napendekeza tuwasaidie kufanya hivyo. Wapewe masaa 72 tu, wafanye wafanyavyo, wakamuane waminyane, watajua wenyewe, tunataka wawacheue hao mbwa vigaidi uchwara na wavisalimishe kwetu, ndani ya hayo masaa 72.
Kinyume cha hapo, Jeywee wawafuate na kuwasaka huko huko , with or without permission