Aaah!!! Membe angelikuwa rais hadi mda huu angeshatuma jeshi....
Hiyo ni kweliAaah!!! Membe angelikuwa rais hadi mda huu angeshatuma jeshi....
Na huo ni mtego lumumba mtanasa tuHii isue iwe handled kwa umakini, isijekuwa tunategwa kuingia kwenye mambo makubwa zaidi.
Kwamba badala ya fedha kuzipeleka kwenye miradi ya maendeleo, tukanunue silaha kujilinda/kupigana vita.Na huo ni mtego lumumba mtanasa tu
Wengine habari hatuijui,ungeanza hata na kuielezea ilivyokua.Kama wameshindwa kuweka watu wao under control basi napendekeza tuwasaidie kufanya hivyo. Wapewe masaa 72 tu, wafanye wafanyavyo, wakamuane waminyane, watajua wenyewe, tunataka wawacheue hao mbwa vigaidi uchwara na wavisalimishe kwetu, ndani ya hayo masaa 72.
Kinyume cha hapo, Jeywee wawafuate na kuwasaka huko huko , with or without permission
wapelekwe wale jamaa wanaovunja matofali kwa kichwa pale uwanja wa taifa
wakaonyeshe manjonjo yao kule kwa akina frerimo na renamo
Sio hivyo mabeberu watadhamini showKwamba badala ya fedha kuzipeleka kwenye miradi ya maendeleo, tukanunue silaha kujilinda/kupigana vita.
Maliza kwanza chuo,utakuja jua mambo ya kidiplomasia yanaendeshwaje ,wasalimu maprof hapo chuon.Kama wameshindwa kuweka watu wao under control basi napendekeza tuwasaidie kufanya hivyo. Wapewe masaa 72 tu, wafanye wafanyavyo, wakamuane waminyane, watajua wenyewe, tunataka wawacheue hao mbwa vigaidi uchwara na wavisalimishe kwetu, ndani ya hayo masaa 72.
Kinyume cha hapo, Jeywee wawafuate na kuwasaka huko huko , with or without permission
mbona ya ben saa nane mwenyewe anaombewa tuDamu Haiwezi Kumwagwa Bure Lazima Italia Na Mtu
Naona ripoti iko tofauti, wengine wanasema ni mto Ruvuma na wengine wanasema Mtwara, wapi hasa tukio limetokea?
Wale wa kibiti anaowatetea Zitto inasemekana walihamia Nsumbiji. Nadhani Zitto atakuwa na bonge la furaha
Sasa hauwezi kulipiza kisasi kwa raia wasio na hatia, ni lazima hao magaidi wapatikane!Nadhani mbinu ya Urusi ingefaa zaidi. Wameua watu sita, watumwe watu wachache tu wajuzi wa mambo pale chini. Wakawapunguze na wao ndugu zao sitini.
Halafu tuone wanarudi lini tena!