Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,188
- 4,188
Kama wa Area D hamjawapata hao mtawapata?Kama wameshindwa kuweka watu wao under control basi napendekeza tuwasaidie kufanya hivyo. Wapewe masaa 72 tu, wafanye wafanyavyo, wakamuane waminyane, watajua wenyewe, tunataka wawacheue hao magaidi na wawasalimishe kwetu, ndani ya hayo masaa 72.
Kinyume cha hapo, Jeywee wawafuate na kuwasaka huko huko, with or without permission.
Itakuwa hujitambui beberu mkubwa wee.Unatumia tak* kufikiri.
Hapo utakuwa umemaanisha tako mkuu?. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji849][emoji849][emoji2089][emoji2089]Unatumia tak* kufikiri.
The problem is bigger than it looks.Kama wameshindwa kuweka watu wao under control basi napendekeza tuwasaidie kufanya hivyo. Wapewe masaa 72 tu, wafanye wafanyavyo, wakamuane waminyane, watajua wenyewe, tunataka wawacheue hao magaidi na wawasalimishe kwetu, ndani ya hayo masaa 72.
Kinyume cha hapo, Jeywee wawafuate na kuwasaka huko huko, with or without permission.
Kwani hao walioingia mipakani kwetu na kuwaua waTz waliingia kwa upole?Hivi unajua madhara ya kuingia ndani ya mipaka nchi kwa nguvu??? Je nao wakiruhusu jeshi lao likukabiri utaweza????? Diplomasia inahitajika hapa
Kwani gaidi akiwa mtanzania imeandikwa wapi kuwa ndo asitafutwe. Lakini umeandika kwa kudhania zaidi na kama una ushahidi huo fichua hapa hayo magenge ya kigaidi hata kama kuna watanzania ndani yake. Hii itakuwa unarahisha kazi pia na ndio uzalendo huo.The problem is bigger than it looks.
Tanzanian muslim extremists going to terrorize Mozambique leo hii unailaumu Mozambique? Sitoshangaa hao magaidi wakigundulika kuwa wabongo maana ogopa sana nchi yenye waislam wengi alafu wakawa vijana and jobless!
Kamanda Sirro amesema ana wasiwasi hao watakuja kua waasi wa Tz na wako kule Moza kwny mafunzo ya kijeshi/kigaidi na wakimaliza watakuja Tz kufanya uasi.The problem is bigger than it looks.
Tanzanian muslim extremists going to terrorize Mozambique leo hii unailaumu Mozambique? Sitoshangaa hao magaidi wakigundulika kuwa wabongo maana ogopa sana nchi yenye waislam wengi alafu wakawa vijana and jobless!
Mi nitashangaa sana hili jambo nalo likipita kimya kimya utakuwa ni udhaifu wa hali ya juuKama wameshindwa kuweka watu wao under control basi napendekeza tuwasaidie kufanya hivyo. Wapewe masaa 72 tu, wafanye wafanyavyo, wakamuane waminyane, watajua wenyewe, tunataka wawacheue hao magaidi na wawasalimishe kwetu, ndani ya hayo masaa 72.
Kinyume cha hapo, Jeywee wawafuate na kuwasaka huko huko, with or without permission.