KWELI Msumbiji: Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Hivi kwanini tusiingie full squad vita kamili kuwamaliza hao magaidi,?
 
Hivi hakuna Askari wetu waliojeruhiwa au kupoteza maisha?
 
Unaweza kuta hapo tumepoteza maaskari kadhaa aisee.
Mkuu hakuna wanajeshi waliopoteza maisha, ambush ilitokea kwa mbele na askari walikuwa wanatoka kuchukua maji walikuwa 24 tu ghafla ndio wakatokea kwa mbele hao jamaa na kuanza kushambulia msafara wa askari wetu, askari nao wakaanza kujibu ndio jamaa wakaanza kushambulia msafara kwa rpg askari wetu wakashuka kwenye magari na kuingia kwenye mapori waasi waliogopa kuingia porini hvy waliishia hapo hapo, waasi walikuwa kama 50 na zaidi kdg ila waliondoka na silaha baadhi kama hiyo 12mm na pia gari moja tlc ambayo ilifungwa hiyo 12mm.

Mungu mwema askari wetu hakuna ata mmoja ameumia na doria za kusaka jamaa walipo zinaendelea japo kuna ugumu kdg kutokana maeneo hayo yote vijiji ni mahame matupu, kuongezea tu ni kuwa nao jamaa ndio wale wale wa kibiti walifurushwa kibiti wakaingia mtwara baadae Mozambique ndio hao hao na majuzi tu askari wa msumbiji watano wamechinjwa na video kurshwa mwenyew mitandio ya kijihad kote duniani.
 
Mkuu hakuna wanajeshi waliopoteza maisha, ambush ilitokea kwa mbele na askari walikuwa wanatoka kuchukua maji walikuwa 24 tu ghafla ndio wakatokea kwa mbele hao jamaa na kuanza ...
Kweli Mkuu. Ambush ilikua sio ya kitoto, Ambush ni kitu kibaya sana kwenye uwanja wa Vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…