KWELI Msumbiji: Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
mapigano kutoka kuwa ya silaha hadi ya RPG hlf asife mtu sidhan na sihamin
 
Hakuna kazi ngumu kama kupambana na adui anaye fanana na raia.
Ila sijajua tanzania infaidika vip kununua ugomvi ikiwa hatujui iwapo huenda hao magaidi wanazalishwa hapa Tanzania. na kuenda kupigana huko msumbiji. kwa sababu hao magaidi nimewahi kusikiliza video yao moja inaoneka wanaongea kiswahili pure kabisa cha hapa Tanzania.
 
Mleta taarifa sijakuelewa, maana hujathibitisha kam ni taarifa ya kweli au uzushi hali umeileta ktk page ambayo ulitakiwa uwe na taarifa kamili ndo ulete hapa
 
Nyie watz waga ni watu wang....ese tu na akili za kuku hampendi kabisa kuusikia ukweli wala kuujua ukweli sasa unabisha nini na wakati kuna askar zaid ya 10 maiti zao zimepokelewa leo airport na wameuawa kwenye iyo ambushi na bado kuna wengine wengi tu ambao ni majeruhi
 
Kwanini Yule CID wa Kilindi asirudishwe Tena kibiti?
Yule jamaa mashine sanaaa.
 
Inasikitisha sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hebu tuongee ukweli...
Jeshi la kibongo ni la kichovu East Africa nzima...
Wanakula tu kodi zetu, kulala bure, kula bure na msharaha juu...
kazi yao kuonea na kutisha na kupasua matofali uwanja wa taifa......
Maiti zimepita Uwanja wa ndege kimyakimya.......
Hebu waangalie hawa hapa na mikwala yao lakini ni mafisi wakubwa..ni aibu sana
Halafu kila siku wanatuseveza eti wanalinda nchi ndio maana ina amani kumbe wabongo ni makondooo.... 🤣🤣

 
Ukweli ni kuwa ambush ilitokea.

Ambush mara nyingi adui anakusoma kwanza na anapiga pale anapoona panauma sana. Sasa kama msafara ulikua na magari na wanajeshi wapo loaded, physically seen, basi RPG itapigwa pale penye wengi as target sio mkubwa wa msafara bali askari wengi wafe...thus kutuambia askari wote walikimbilia polini wkt RPG inapulizwa na hakuna aliyekufa ni utoto.

Toeni taarifa za kweli. Kuna ile walivamia vijiji kbs mpakani wakafa like 26 soldiers nayo ilifichwa. Kwa maslahi ya nani????

Ni kawaida, mnapopigana na magaidi, hata muwe imara kiasi gani, kuna siku mtapata hasara tu. So, askari wamepotea, tuongeze mbinu za mapambano hasa inteligencia...kujua mapema mipango ya adui na kuivunja kabla hajaleta madhara!
 
Umeshauri vema,wajue mipango ya adui na kuivunjilia mbali.
 
pole sana jeshi letu na kama kweli tuna nia ya kuongoza operation mbalimbali especially nje ya nchi yapasa tujipange na tuache siasa,no wonder watu wamekufa na taarifa zinabaki kuwa siri hiyo inajulikana.Na kwa jinsi watu walivyorelax huko mahali fulani sijui wakiamua itakuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Vipi na vijana wangu wako kwenye hali gani.
Au walilala mbele wakatelekeza magari ndio maana magaidi wakayachukua kiulaini
 
Eh mungu jaalia huyu mbuzi aendelee kuamini pumba aliyoiandika kwa kuendelea kuiruzuku amani nchi hii .
Maanake bila hivi atakua ombaomba nje ya nchi hi pengine lilitokea la kutokea.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…