Msumbiji: Mchungaji afariki dunia akijaribu kufikia rekodi ya Yesu ya Siku 40

Mchungaji wa Msumbiji amefariki dunia baada ya kufunga kwa siku 40 akijaribu kufikia rekodi iliyofikiwa na Yesu kwenye Mlima wa Mizeituni wa Biblia.
Ya Yesu aliyaweza Yesu
Hawa wa sasa hata siku tano tu hawawezi, kama mnabisha tumwambie Mwamposa, Kakobe, Lusekelo, Gamanywa, Yule wa Arusha maarufu wafunge muone kama watakubali
 
Mchungaji wa Msumbiji amefariki dunia baada ya kufunga kwa siku 40 akijaribu kufikia rekodi iliyofikiwa na Yesu kwenye Mlima wa Mizeituni wa Biblia.

Kifo cha Francisco Barajah, mchungaji na mwanzilishi wa Kanisa la Kiinjili la Santa Trindade katika jimbo la kati la Manica, kilithibitishwa Jumatano.

Alifariki alipokuwa akitibiwa katika hospitali ya Beira ambako alihamishwa akiwa katika hali mbaya.

Baada ya siku 25 za kufunga, alikuwa amepungua uzito sana hadi hakuweza kusimama, kuoga au kutembea.

Chanzo: BBC Swahili

Kuna Lori Moja la Mchanga Mbuyuni Tegeta limeandikwa IGA UFE nilikuwa sielewi maana yake ila sasa nimeelewa.

Mmeshaambiwa Kiimani Yesu Kristo hakuwa Binadamu wa Kawaida na Wengine wakisema ni Mungu halafu Mpuuzi Mmoja tu tena Binadamu Mwenzetu ameshashiba zake Makande na Maji ya Kandoro anataka Kumuiga kwa Kufunga Siku 40 bila Kula chochote kwanini Usife?

R.I.P Mchungaji.
Waupuzi hawa binadamu
 
Wanauhakika Yesu alikuwa hogongi matunda huko milima ya mizeituni.
Mizeituni ni matunda.
 
kaliwai tanuli la moto
 
Back
Top Bottom