Ya Yesu aliyaweza YesuMchungaji wa Msumbiji amefariki dunia baada ya kufunga kwa siku 40 akijaribu kufikia rekodi iliyofikiwa na Yesu kwenye Mlima wa Mizeituni wa Biblia.
Mpuuzi Mmoja tu tena Binadamu Mwenzetu ameshashiba zake Makande na Maji ya Kandoro anataka Kumuiga kwa Kufunga Siku 40 bila Kula chochote kwanini Usife?
Una maana gani? Alichokufanya ni ujinga...acha kutafuta justification za kuonesha alikuwa yupo sahihi kwenye ujinga wake....elimu ndogo...period!Hapa amna habar zaid ya kebei. Wangap wanakufa wakitaka kumtukuza shetan
Waupuzi hawa binadamuMchungaji wa Msumbiji amefariki dunia baada ya kufunga kwa siku 40 akijaribu kufikia rekodi iliyofikiwa na Yesu kwenye Mlima wa Mizeituni wa Biblia.
Kifo cha Francisco Barajah, mchungaji na mwanzilishi wa Kanisa la Kiinjili la Santa Trindade katika jimbo la kati la Manica, kilithibitishwa Jumatano.
Alifariki alipokuwa akitibiwa katika hospitali ya Beira ambako alihamishwa akiwa katika hali mbaya.
Baada ya siku 25 za kufunga, alikuwa amepungua uzito sana hadi hakuweza kusimama, kuoga au kutembea.
Chanzo: BBC Swahili
Kuna Lori Moja la Mchanga Mbuyuni Tegeta limeandikwa IGA UFE nilikuwa sielewi maana yake ila sasa nimeelewa.
Mmeshaambiwa Kiimani Yesu Kristo hakuwa Binadamu wa Kawaida na Wengine wakisema ni Mungu halafu Mpuuzi Mmoja tu tena Binadamu Mwenzetu ameshashiba zake Makande na Maji ya Kandoro anataka Kumuiga kwa Kufunga Siku 40 bila Kula chochote kwanini Usife?
R.I.P Mchungaji.
Unawazungumzia Wayahudi "taifa teule"? Unasema ni mazuzu? Yaani unawatukana "taifa teule"!Mchungaji ni kama wale mazuzu wanoamini Yesu alikuwa mtu[emoji38][emoji38][emoji38].
Tena Mimi huyu ningekuwa namuaga akiwa Jenezani namsindikiza na Bonge la Kofi kwa Upuuzi alioufanya.kuna vifo vingine vya kujitakia.
Halafu kuna Mpuuzi Mmoja alitaka Kukaa Njaa Siku 40 Kumuiga Yesu Kristo. Kuna Mijitu ni ya hovyo mno hapa Duniani.mimi nikikaa njaa siku moja tu nahisi maini yanapumulia kisogoni.
Unawazungumzia Wayahudi "taifa teule"? Unasema ni mazuzu? Yaani unawatukana "taifa teule"!
Wanauhakika Yesu alikuwa hogongi matunda huko milima ya mizeituni.Mchungaji wa Msumbiji amefariki dunia baada ya kufunga kwa siku 40 akijaribu kufikia rekodi iliyofikiwa na Yesu kwenye Mlima wa Mizeituni wa Biblia.
Kifo cha Francisco Barajah, mchungaji na mwanzilishi wa Kanisa la Kiinjili la Santa Trindade katika jimbo la kati la Manica, kilithibitishwa Jumatano.
Alifariki alipokuwa akitibiwa katika hospitali ya Beira ambako alihamishwa akiwa katika hali mbaya.
Baada ya siku 25 za kufunga, alikuwa amepungua uzito sana hadi hakuweza kusimama, kuoga au kutembea.
Chanzo: BBC Swahili
Kuna Lori Moja la Mchanga Mbuyuni Tegeta limeandikwa IGA UFE nilikuwa sielewi maana yake ila sasa nimeelewa.
Mmeshaambiwa Kiimani Yesu Kristo hakuwa Binadamu wa Kawaida na Wengine wakisema ni Mungu halafu Mpuuzi Mmoja tu tena Binadamu Mwenzetu ameshashiba zake Makande na Maji ya Kandoro anataka Kumuiga kwa Kufunga Siku 40 bila Kula chochote kwanini Usife?
R.I.P Mchungaji.
kaliwai tanuli la motoMchungaji wa Msumbiji amefariki dunia baada ya kufunga kwa siku 40 akijaribu kufikia rekodi iliyofikiwa na Yesu kwenye Mlima wa Mizeituni wa Biblia.