Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Zambia bado watatumia Dar es Salaam Port, mbolea zao,loose cargo,project cargo,magari na containers zitaendelea kushuka TanzaniaIla Zambia tutaipoteza mazima ,tutasalia na part ndogo tuu ya DRC
Kwa nini?Zambia bado watatumia Dar es Salaam Port, mbolea zao,loose cargo,project cargo,magari na containers zitaendelea kushuka Tanzania
Mozambique wameshamaliza hiyo, Umoja wa Ulaya wametoa meli ya kwanza hapo kwa kukata utepe, Mama Ursula Van De Layan alikuja hapo kushuhudia meli ya kwanza inatoka, tofauti na Tanzania, Mozambique hawana mbwembwe za kujisifu sana kwa wanasiasa wao kuhusu miradi. Kumbuka sisi tulianza kushimba gas ukanda huo wa Cape Delgado (Mnazi bay to Palmas/Ruvuma River Delta) na kuzalisha umeme, wao wenzetu wamewapa total kwa share, wanzalisha gas ya kupikia majumbani. Ebu google uone. Tanzania inasua sua sana kwenye gas ya kupikia ambayo ndio ela ilipo duniani.Kuna vitu unachanganya
LPG ni liquified petroleum gas hii inatokana na crude oil na inachakatwa na oil refinery
nchi yeyote yenye oil refinery wanaichakata hii na ndo tunayoitumia majumbani kila siku kwenye mitungi
Kuna liquified natural gas (LNG) ambayo ni gas asilia na ipo mtwara na msumbiji kwenye bonde la ruvuma hii inachakwa na Natural gas refinery
Kusema mozambique wanayo natural gas refinery sio kweli ni gharama sana nilichosikia wako kwenye mchakato wa kukitengeneza
MozambiqueKwani uchumi uko stagnant? Unasema zimechoka wakati hapo Mozambique wameshajenga kiwanda Cha LNG na exports imeanza,Tanzania ni stori tuu hakuna Cha maana.
Pili Mozambique hao wanaendelea na ujenzi wa kiwanda kikubwa Cha Chuma ambapo Tanzania tunaendelea na Hadithi za liganga
Watu wetu wengine hawana uzalendo, TPA wana ofisi DRC na Rwanda kule kuna staff wanashindwa kuandika hata proposal ya kuomba eneo wajenge Bandari kavu Tunduma,Zambia au DRC.
DP world aliona Rwanda akiweka Logistics centre itafaa, Kagame akampa eneo akaweka miaka ya 2019
Sijui kama ulielewa tulichokua tunajadilianaKilichowapeleka Mombasa ni inefficiency ya Dar Port
Umeandika kitu cha kufikirika. Lengo la hiyo inland terminal huko Kigali wala si ulivyosema ndio maana baada ya miaka mitatu, mwaka Jana Rwanda waliwekeza dry port naivasha ili kurahisisha zaidi kutumia bandari ya mombasaSoko la bandari yetu lipo, kumbuka kuwa DPW alifungua biashara yake kule Rwanda na ameshajenga depot kubwa tu ya kuhifadhi mizigo ambayo itakuja na SGR hapa TPA tayari kupelekwa huko nje. Ni biashara kubwa na Samia ametumia nguvu nyingi kuhakikisha inasainiwa mikataba ya biashara hiyo, kuna wajinga wasiojua kitu gani wanapinga na walitumiwa katika kuichafua lakini ni ngumu kushindana na mfumo wa nchi.
Hao Congo wanaweza kwenda huko Lobito. Kabla DPW hajasaini mikataba ya uendeshaji wa bandari ya Dar tayari alikwishasaini na Paul Kagame kuhusu biashara kwa upande wa Rwanda.
Hatuwezi kuwa na hofu kubwa kwa sababu misingi ya utumiaji mpana wa SGR imekwishawekwa licha ya upinzani wa wajinga wa humu humu ndani ya Tanzania.
Sio kweli, Dp world anawekeza sana pia kwenye miundombinu ya upanuzi. Hata hapa Tanzania anafanya hivyoKazi Yao sio kuwekeza kwenye miundombinu ya upanuzi Bali miundombinu ya operations kama mitambo
Umetoa lawama bure tu, Tanzania tuna hectare 60 za dry port huko DRC. Pia kwa Zambia tayari Kuna Tazara dry port huko kapili mposhi. Haya umezungumza yapo tayari na mengine yanaendeleaWatu wetu wengine hawana uzalendo, TPA wana ofisi DRC na Rwanda kule kuna staff wanashindwa kuandika hata proposal ya kuomba eneo wajenge Bandari kavu Tunduma,Zambia au DRC.
DP world aliona Rwanda akiweka Logistics centre itafaa, Kagame akampa eneo akaweka miaka ya 2019
Sio cha kufikirika ni kweli hiyo ya Naivasha na ile iliyofunguliwa na Kagame mbele ya hao waarabu zina malenga tofauti.Umeandika kitu cha kufikirika. Lengo la hiyo inland terminal huko Kigali wala si ulivyosema ndio maana baada ya miaka mitatu, mwaka Jana Rwanda waliwekeza dry port naivasha ili kurahisisha zaidi kutumia bandari ya mombasa
Watakaoumia ni wale wanaojinufaisha na Bandari ya Dar es salaam wakiwemo mafisadi na wapiga Dili...Nchi ya Mozambique imeamua kuteka biashara ya Usafirishaji Kwa njia ya Maji Kwa Nchi zote za Sadc na kuiachia Tanzania maumivu makubwa.
Katika kutekeleza Hilo, Mozambique wameamua kuikodisha Bandari Yao ya Nacala Kwa Nchi ya Malawi na Zambia ambapo wataitumia Kwa kipindi Cha miaka 100 ijayo.
Nchi hizo 3 zinapanga kujenga miundombinu ya reli kutoka Nakala Hadi Mji Mkuu wa Malawi Lilongwe na kisha Hadi Mji Mkuu wa Zambia Lusaka.
Njia hiyo Mpya ya reli itapunguza umbali wa Zambia kuifikia Bandari ya Dar hivyo zaidi ya asilimia 90% ya mzigo wa Zambia utapitia Bandari za Msumbiji za Nakala na Beira.
Kwa hatua hiyo itakuwa ni pigo kubwa sana kwa Tanzania ambayo Bandari ya Dar ilikuwa inategemea zaidi mzigo wa Nchi ya Congo DRC na Zambia kama wateja Wakuu huko Nchi zingine zikiongesea ongezea shehena.
Endapo Zambia itaondoka rasmi kuwa mteja wa Tanzania sio tuu itapunguza mzigo wa Bandari ya Dar Bali itaua kabisa biashara ya Malori ya mizigo Tanzania ambapo Kwa sehemu kubwa yatahamia Nchi hizo za Zambia,Malawi na Msumbiji na zingine za Afrika Ili kuendelea na Biashara ya Usafirishaji.
View attachment 3080432
Pia soma: Bandari za Dar na Mtwara Kuwa Mashakani Kutokana na Nchi za Zambia,Malawi na Mozambique Kuzindua Upanuzi Mkubwa wa Miundombinu ya Nacala Port.
Kwa maelezo zaidi soma hapa Ili Kuongeza Ufanisi wa reli ya TAZARA,Tanzania na Zambia Ziiombe China Wajenge reli Mpya ya Makambako-Mtwara & Kasama-Lubumbashi/Likasi
Ushauri:
Serikali ihakikishe mipango yetu yote Kwa Sasa iwe inalenga kuikumbatia DRC kuanzia Kusini Hadi Kaskazini maana ndio mteja pekee ambae walau jiografia inatupa nafasi.
Serikali ifanye yafuatayo:
1. Lazima tujihusishe na kutafuta amani directly ndani ya DRC Ikibidi Kwa gharama zetu.
2. Lazima Sgr na Barabara zivuke na kuifikia DRC (Bukavu,Goma, Kinshasa, Kindu)
3. Lazima tuwashawishi Zambia na DRC tujenge reli kutoka Tunduma-Kasama-Lubumbashi-Likasi na Kutoka Makambako-Mtwara Port.
4. Lazima Sgr itoke Mpanda-Karema na Kigoma
5. Lazima tutafute pesa za kujenga meli kubwa za mizigo na abiaria ndani ya Ziwa Viktoria na pia tujenge Bandari,Barabara na reli upande wa DRC hata Kwa kuwakomesha pesa
6.Lazima tuwape DRC,Rwanda na Burundi Ardhi za Bure za kumhudumia mizigo Yao Pwani.
My Take
Tusipofanya hayo tunaenda kupoteza hata hiyo DRC Kwa Kenya, Angola na Mozambique na ikizingatiwa DRC inajenga Bandari na reli kuunganisha na Zambia na Angola.
Washindani Wetu wa Kenya wao Wana uhakika na Uganda, South Sudan, Northern DRC na somehow Ethiopia na Rwanda.
Tuachane na Mpango wa kujenga reli ya Mtwara Corridor hiyo Haina maana tena imeshakufa,Nguvu zote zielekezwe Kujenga kioande Cha kutoka Makambako -Mtwara.
Ni kweli kabisa unachokisema na wameshaimaliza ile yard pale, mimi binafsi sijajua nini kinatusumbua ktk fikira za viongozi wetu maana hatuna mipango ya muda mrefu wala hatuna mpango wa kama Nchi tusimame na nini ili kilete faida kwa kizazi hadi vizazi vijavyo.Watu wetu wengine hawana uzalendo, TPA wana ofisi DRC na Rwanda kule kuna staff wanashindwa kuandika hata proposal ya kuomba eneo wajenge Bandari kavu Tunduma,Zambia au DRC.
DP world aliona Rwanda akiweka Logistics centre itafaa, Kagame akampa eneo akaweka miaka ya 2019
Unajua kwanini mkataba WA TAZARA lazima Mkurugenzi Mkuu stoke Zambia, kile kilikuwa ni mikakati WA kiniashara , Kwa kutoa KAZI Kwa wazambia kupitia hiyo reli na Sisi kujihakikishia biashara ya mizigo kupitia Bandari. Sasa Sisi na ujinga wetu tukaendekeza wizi rushwa ndani ya TAZARA na hao Ndugu zetu WA Zambia matokeo yake ndio hayo ya nacala . lobito NKNchi ya Mozambique imeamua kuteka biashara ya Usafirishaji Kwa njia ya Maji Kwa Nchi zote za Sadc na kuiachia Tanzania maumivu makubwa.
Katika kutekeleza Hilo, Mozambique wameamua kuikodisha Bandari Yao ya Nacala Kwa Nchi ya Malawi na Zambia ambapo wataitumia Kwa kipindi Cha miaka 100 ijayo.
Nchi hizo 3 zinapanga kujenga miundombinu ya reli kutoka Nakala Hadi Mji Mkuu wa Malawi Lilongwe na kisha Hadi Mji Mkuu wa Zambia Lusaka.
Njia hiyo Mpya ya reli itapunguza umbali wa Zambia kuifikia Bandari ya Dar hivyo zaidi ya asilimia 90% ya mzigo wa Zambia utapitia Bandari za Msumbiji za Nakala na Beira.
Kwa hatua hiyo itakuwa ni pigo kubwa sana kwa Tanzania ambayo Bandari ya Dar ilikuwa inategemea zaidi mzigo wa Nchi ya Congo DRC na Zambia kama wateja Wakuu huko Nchi zingine zikiongesea ongezea shehena.
Endapo Zambia itaondoka rasmi kuwa mteja wa Tanzania sio tuu itapunguza mzigo wa Bandari ya Dar Bali itaua kabisa biashara ya Malori ya mizigo Tanzania ambapo Kwa sehemu kubwa yatahamia Nchi hizo za Zambia,Malawi na Msumbiji na zingine za Afrika Ili kuendelea na Biashara ya Usafirishaji.
View attachment 3080432
Pia soma: Bandari za Dar na Mtwara Kuwa Mashakani Kutokana na Nchi za Zambia,Malawi na Mozambique Kuzindua Upanuzi Mkubwa wa Miundombinu ya Nacala Port.
Kwa maelezo zaidi soma hapa Ili Kuongeza Ufanisi wa reli ya TAZARA,Tanzania na Zambia Ziiombe China Wajenge reli Mpya ya Makambako-Mtwara & Kasama-Lubumbashi/Likasi
Ushauri:
Serikali ihakikishe mipango yetu yote Kwa Sasa iwe inalenga kuikumbatia DRC kuanzia Kusini Hadi Kaskazini maana ndio mteja pekee ambae walau jiografia inatupa nafasi.
Serikali ifanye yafuatayo:
1. Lazima tujihusishe na kutafuta amani directly ndani ya DRC Ikibidi Kwa gharama zetu.
2. Lazima Sgr na Barabara zivuke na kuifikia DRC (Bukavu,Goma, Kinshasa, Kindu)
3. Lazima tuwashawishi Zambia na DRC tujenge reli kutoka Tunduma-Kasama-Lubumbashi-Likasi na Kutoka Makambako-Mtwara Port.
4. Lazima Sgr itoke Mpanda-Karema na Kigoma
5. Lazima tutafute pesa za kujenga meli kubwa za mizigo na abiaria ndani ya Ziwa Viktoria na pia tujenge Bandari,Barabara na reli upande wa DRC hata Kwa kuwakomesha pesa
6.Lazima tuwape DRC,Rwanda na Burundi Ardhi za Bure za kumhudumia mizigo Yao Pwani.
My Take
Tusipofanya hayo tunaenda kupoteza hata hiyo DRC Kwa Kenya, Angola na Mozambique na ikizingatiwa DRC inajenga Bandari na reli kuunganisha na Zambia na Angola.
Washindani Wetu wa Kenya wao Wana uhakika na Uganda, South Sudan, Northern DRC na somehow Ethiopia na Rwanda.
Tuachane na Mpango wa kujenga reli ya Mtwara Corridor hiyo Haina maana tena imeshakufa,Nguvu zote zielekezwe Kujenga kioande Cha kutoka Makambako -Mtwara.
One of the best thread I ever come across here... Well narrated. KudozNchi ya Mozambique imeamua kuteka biashara ya Usafirishaji Kwa njia ya Maji Kwa Nchi zote za Sadc na kuiachia Tanzania maumivu makubwa.