Msumbiji Wamekodisha Bandari ya Nacala Kwa Malawi & Zambia Kwa Miaka 100. Tanzania Kupoteza Mteja namba 2 wa Dar Port

Kuna vitu unachanganya
LPG ni liquified petroleum gas hii inatokana na crude oil na inachakatwa na oil refinery
nchi yeyote yenye oil refinery wanaichakata hii na ndo tunayoitumia majumbani kila siku kwenye mitungi

Kuna liquified natural gas (LNG) ambayo ni gas asilia na ipo mtwara na msumbiji kwenye bonde la ruvuma hii inachakwa na Natural gas refinery

Kusema mozambique wanayo natural gas refinery sio kweli ni gharama sana nilichosikia wako kwenye mchakato wa kukitengeneza
Mozambique wameshamaliza hiyo, Umoja wa Ulaya wametoa meli ya kwanza hapo kwa kukata utepe, Mama Ursula Van De Layan alikuja hapo kushuhudia meli ya kwanza inatoka, tofauti na Tanzania, Mozambique hawana mbwembwe za kujisifu sana kwa wanasiasa wao kuhusu miradi. Kumbuka sisi tulianza kushimba gas ukanda huo wa Cape Delgado (Mnazi bay to Palmas/Ruvuma River Delta) na kuzalisha umeme, wao wenzetu wamewapa total kwa share, wanzalisha gas ya kupikia majumbani. Ebu google uone. Tanzania inasua sua sana kwenye gas ya kupikia ambayo ndio ela ilipo duniani.
 
Kwani uchumi uko stagnant? Unasema zimechoka wakati hapo Mozambique wameshajenga kiwanda Cha LNG na exports imeanza,Tanzania ni stori tuu hakuna Cha maana.

Pili Mozambique hao wanaendelea na ujenzi wa kiwanda kikubwa Cha Chuma ambapo Tanzania tunaendelea na Hadithi za liganga
Mozambique
Screenshot_20240902-133951.jpg
 
Watu wetu wengine hawana uzalendo, TPA wana ofisi DRC na Rwanda kule kuna staff wanashindwa kuandika hata proposal ya kuomba eneo wajenge Bandari kavu Tunduma,Zambia au DRC.

DP world aliona Rwanda akiweka Logistics centre itafaa, Kagame akampa eneo akaweka miaka ya 2019

..Tanzania tunayo bandari kavu eneo la ISAKA mahsusi kwa ajili ya Rwanda ilijengwa miaka ya 80 na Mwalimu Nyerere.
 
Vipaumbele vyetu Kama nchi hatuko strict kivile,ile bandari ya mtwara,halafu pasua SGR mwambao ule kuelekea kuungana na Tazara na kuelekea kuungana DRC,lazima tuwe patriotic na Mambo yetu,halafu DP world mzigo ukipungua bandarini Dar,huo uwekezaji utakuwa white elephant project,serikali andaeni watu walio na sensitive na uchumi na masuala ya nchi,kuliko Hawa politicians,they normally seek their personal stakes
 
Leo Ni miaka 50 stori za liganga na mchuchuma nimeanza kuzisikia tangu mwaka 1980 Hadi lao hakuna kitu
 
Mipango kupewa wanasiasa haitekelezeki ,maana wao mkwamo wa mradi kwao ndo mtaji,ona Sasa tumeanza kupigwa bao
 
Soko la bandari yetu lipo, kumbuka kuwa DPW alifungua biashara yake kule Rwanda na ameshajenga depot kubwa tu ya kuhifadhi mizigo ambayo itakuja na SGR hapa TPA tayari kupelekwa huko nje. Ni biashara kubwa na Samia ametumia nguvu nyingi kuhakikisha inasainiwa mikataba ya biashara hiyo, kuna wajinga wasiojua kitu gani wanapinga na walitumiwa katika kuichafua lakini ni ngumu kushindana na mfumo wa nchi.

Hao Congo wanaweza kwenda huko Lobito. Kabla DPW hajasaini mikataba ya uendeshaji wa bandari ya Dar tayari alikwishasaini na Paul Kagame kuhusu biashara kwa upande wa Rwanda.

Hatuwezi kuwa na hofu kubwa kwa sababu misingi ya utumiaji mpana wa SGR imekwishawekwa licha ya upinzani wa wajinga wa humu humu ndani ya Tanzania.
Umeandika kitu cha kufikirika. Lengo la hiyo inland terminal huko Kigali wala si ulivyosema ndio maana baada ya miaka mitatu, mwaka Jana Rwanda waliwekeza dry port naivasha ili kurahisisha zaidi kutumia bandari ya mombasa
 
Watu wetu wengine hawana uzalendo, TPA wana ofisi DRC na Rwanda kule kuna staff wanashindwa kuandika hata proposal ya kuomba eneo wajenge Bandari kavu Tunduma,Zambia au DRC.

DP world aliona Rwanda akiweka Logistics centre itafaa, Kagame akampa eneo akaweka miaka ya 2019
Umetoa lawama bure tu, Tanzania tuna hectare 60 za dry port huko DRC. Pia kwa Zambia tayari Kuna Tazara dry port huko kapili mposhi. Haya umezungumza yapo tayari na mengine yanaendelea

Labda kama ulikua hujui, na kama ulikua hujui hukupaswa kulaumu
 
Umeandika kitu cha kufikirika. Lengo la hiyo inland terminal huko Kigali wala si ulivyosema ndio maana baada ya miaka mitatu, mwaka Jana Rwanda waliwekeza dry port naivasha ili kurahisisha zaidi kutumia bandari ya mombasa
Sio cha kufikirika ni kweli hiyo ya Naivasha na ile iliyofunguliwa na Kagame mbele ya hao waarabu zina malenga tofauti.

Samia asingekubali kuipoteza hii biashara. Upinzani ulikuwa mkali sana kwake mpaka Hamza Johari aliyeandaa mkataba huu kwa upande wa Tanzania akaitwa mbele ya kikao maalum cha CCM kufafanua kwa kina kitu gani kinakwenda kufanywa katika huo uwekezaji..

Logistics zote za hi biashara kuanzia huko Rwanda na Burundi zinafanywa na wao DPW ndio sababu ya kupewa hii biashara, sio kwamba wanaishia kuendesha hayo magati hapo TPA wanauchukua mzigo. Umiliki wao wa hayo magati ni sehemu ya biashara pana na wanaopinga uendeshaji wao wa TPA hawaelewi biashara nzima ipo vipi.
 
Nchi ya Mozambique imeamua kuteka biashara ya Usafirishaji Kwa njia ya Maji Kwa Nchi zote za Sadc na kuiachia Tanzania maumivu makubwa.

Katika kutekeleza Hilo, Mozambique wameamua kuikodisha Bandari Yao ya Nacala Kwa Nchi ya Malawi na Zambia ambapo wataitumia Kwa kipindi Cha miaka 100 ijayo.

Nchi hizo 3 zinapanga kujenga miundombinu ya reli kutoka Nakala Hadi Mji Mkuu wa Malawi Lilongwe na kisha Hadi Mji Mkuu wa Zambia Lusaka.

Njia hiyo Mpya ya reli itapunguza umbali wa Zambia kuifikia Bandari ya Dar hivyo zaidi ya asilimia 90% ya mzigo wa Zambia utapitia Bandari za Msumbiji za Nakala na Beira.

Kwa hatua hiyo itakuwa ni pigo kubwa sana kwa Tanzania ambayo Bandari ya Dar ilikuwa inategemea zaidi mzigo wa Nchi ya Congo DRC na Zambia kama wateja Wakuu huko Nchi zingine zikiongesea ongezea shehena.

Endapo Zambia itaondoka rasmi kuwa mteja wa Tanzania sio tuu itapunguza mzigo wa Bandari ya Dar Bali itaua kabisa biashara ya Malori ya mizigo Tanzania ambapo Kwa sehemu kubwa yatahamia Nchi hizo za Zambia,Malawi na Msumbiji na zingine za Afrika Ili kuendelea na Biashara ya Usafirishaji.

View attachment 3080432

Pia soma: Bandari za Dar na Mtwara Kuwa Mashakani Kutokana na Nchi za Zambia,Malawi na Mozambique Kuzindua Upanuzi Mkubwa wa Miundombinu ya Nacala Port.

Kwa maelezo zaidi soma hapa Ili Kuongeza Ufanisi wa reli ya TAZARA,Tanzania na Zambia Ziiombe China Wajenge reli Mpya ya Makambako-Mtwara & Kasama-Lubumbashi/Likasi

Ushauri:

Serikali ihakikishe mipango yetu yote Kwa Sasa iwe inalenga kuikumbatia DRC kuanzia Kusini Hadi Kaskazini maana ndio mteja pekee ambae walau jiografia inatupa nafasi.

Serikali ifanye yafuatayo:
1. Lazima tujihusishe na kutafuta amani directly ndani ya DRC Ikibidi Kwa gharama zetu.

2. Lazima Sgr na Barabara zivuke na kuifikia DRC (Bukavu,Goma, Kinshasa, Kindu)

3. Lazima tuwashawishi Zambia na DRC tujenge reli kutoka Tunduma-Kasama-Lubumbashi-Likasi na Kutoka Makambako-Mtwara Port.

4. Lazima Sgr itoke Mpanda-Karema na Kigoma

5. Lazima tutafute pesa za kujenga meli kubwa za mizigo na abiaria ndani ya Ziwa Viktoria na pia tujenge Bandari,Barabara na reli upande wa DRC hata Kwa kuwakomesha pesa

6.Lazima tuwape DRC,Rwanda na Burundi Ardhi za Bure za kumhudumia mizigo Yao Pwani.

My Take
Tusipofanya hayo tunaenda kupoteza hata hiyo DRC Kwa Kenya, Angola na Mozambique na ikizingatiwa DRC inajenga Bandari na reli kuunganisha na Zambia na Angola.

Washindani Wetu wa Kenya wao Wana uhakika na Uganda, South Sudan, Northern DRC na somehow Ethiopia na Rwanda.

Tuachane na Mpango wa kujenga reli ya Mtwara Corridor hiyo Haina maana tena imeshakufa,Nguvu zote zielekezwe Kujenga kioande Cha kutoka Makambako -Mtwara.

Watakaoumia ni wale wanaojinufaisha na Bandari ya Dar es salaam wakiwemo mafisadi na wapiga Dili...
 
Ili bandari zetu Zi operate zaidi mfano ya mtwara inabidi wajenge reli kutoka mtwara hadi kuunganisha Na ya TAZARA makambako ambayo kwa Sasa inaenda kuboreshwa na makambako waweke dry port kubwa ili watu wafanye option ya kuchagua mzigo upitie bandari ipi ya dar au mtwara Uzuri tayar RELI ya TAZARA inaenda kuwa chini ya wachina na Hawa eneo la makambako na mafinga wamewekeza viwanda vya kutosha vya product za miti na Sasa wanawekeza vya chuma makambako baada ya kuingia mkataba wa kuchimba chuma liganga ko hii itasaidia kuziteka nchi za EAC NA SADC KIUCHUMI ili wakibaki na wazo lao la kujenga reli ya mtwara mbamba bay kwa Sasa ni Bora wabadili GIA upepo umeyumba
1725268401353.jpg
 
Watu wetu wengine hawana uzalendo, TPA wana ofisi DRC na Rwanda kule kuna staff wanashindwa kuandika hata proposal ya kuomba eneo wajenge Bandari kavu Tunduma,Zambia au DRC.

DP world aliona Rwanda akiweka Logistics centre itafaa, Kagame akampa eneo akaweka miaka ya 2019
Ni kweli kabisa unachokisema na wameshaimaliza ile yard pale, mimi binafsi sijajua nini kinatusumbua ktk fikira za viongozi wetu maana hatuna mipango ya muda mrefu wala hatuna mpango wa kama Nchi tusimame na nini ili kilete faida kwa kizazi hadi vizazi vijavyo.
 
Nchi ya Mozambique imeamua kuteka biashara ya Usafirishaji Kwa njia ya Maji Kwa Nchi zote za Sadc na kuiachia Tanzania maumivu makubwa.

Katika kutekeleza Hilo, Mozambique wameamua kuikodisha Bandari Yao ya Nacala Kwa Nchi ya Malawi na Zambia ambapo wataitumia Kwa kipindi Cha miaka 100 ijayo.

Nchi hizo 3 zinapanga kujenga miundombinu ya reli kutoka Nakala Hadi Mji Mkuu wa Malawi Lilongwe na kisha Hadi Mji Mkuu wa Zambia Lusaka.

Njia hiyo Mpya ya reli itapunguza umbali wa Zambia kuifikia Bandari ya Dar hivyo zaidi ya asilimia 90% ya mzigo wa Zambia utapitia Bandari za Msumbiji za Nakala na Beira.

Kwa hatua hiyo itakuwa ni pigo kubwa sana kwa Tanzania ambayo Bandari ya Dar ilikuwa inategemea zaidi mzigo wa Nchi ya Congo DRC na Zambia kama wateja Wakuu huko Nchi zingine zikiongesea ongezea shehena.

Endapo Zambia itaondoka rasmi kuwa mteja wa Tanzania sio tuu itapunguza mzigo wa Bandari ya Dar Bali itaua kabisa biashara ya Malori ya mizigo Tanzania ambapo Kwa sehemu kubwa yatahamia Nchi hizo za Zambia,Malawi na Msumbiji na zingine za Afrika Ili kuendelea na Biashara ya Usafirishaji.

View attachment 3080432

Pia soma: Bandari za Dar na Mtwara Kuwa Mashakani Kutokana na Nchi za Zambia,Malawi na Mozambique Kuzindua Upanuzi Mkubwa wa Miundombinu ya Nacala Port.

Kwa maelezo zaidi soma hapa Ili Kuongeza Ufanisi wa reli ya TAZARA,Tanzania na Zambia Ziiombe China Wajenge reli Mpya ya Makambako-Mtwara & Kasama-Lubumbashi/Likasi

Ushauri:

Serikali ihakikishe mipango yetu yote Kwa Sasa iwe inalenga kuikumbatia DRC kuanzia Kusini Hadi Kaskazini maana ndio mteja pekee ambae walau jiografia inatupa nafasi.

Serikali ifanye yafuatayo:
1. Lazima tujihusishe na kutafuta amani directly ndani ya DRC Ikibidi Kwa gharama zetu.

2. Lazima Sgr na Barabara zivuke na kuifikia DRC (Bukavu,Goma, Kinshasa, Kindu)

3. Lazima tuwashawishi Zambia na DRC tujenge reli kutoka Tunduma-Kasama-Lubumbashi-Likasi na Kutoka Makambako-Mtwara Port.

4. Lazima Sgr itoke Mpanda-Karema na Kigoma

5. Lazima tutafute pesa za kujenga meli kubwa za mizigo na abiaria ndani ya Ziwa Viktoria na pia tujenge Bandari,Barabara na reli upande wa DRC hata Kwa kuwakomesha pesa

6.Lazima tuwape DRC,Rwanda na Burundi Ardhi za Bure za kumhudumia mizigo Yao Pwani.

My Take
Tusipofanya hayo tunaenda kupoteza hata hiyo DRC Kwa Kenya, Angola na Mozambique na ikizingatiwa DRC inajenga Bandari na reli kuunganisha na Zambia na Angola.

Washindani Wetu wa Kenya wao Wana uhakika na Uganda, South Sudan, Northern DRC na somehow Ethiopia na Rwanda.

Tuachane na Mpango wa kujenga reli ya Mtwara Corridor hiyo Haina maana tena imeshakufa,Nguvu zote zielekezwe Kujenga kioande Cha kutoka Makambako -Mtwara.

Unajua kwanini mkataba WA TAZARA lazima Mkurugenzi Mkuu stoke Zambia, kile kilikuwa ni mikakati WA kiniashara , Kwa kutoa KAZI Kwa wazambia kupitia hiyo reli na Sisi kujihakikishia biashara ya mizigo kupitia Bandari. Sasa Sisi na ujinga wetu tukaendekeza wizi rushwa ndani ya TAZARA na hao Ndugu zetu WA Zambia matokeo yake ndio hayo ya nacala . lobito NK
 
Nchi ya Mozambique imeamua kuteka biashara ya Usafirishaji Kwa njia ya Maji Kwa Nchi zote za Sadc na kuiachia Tanzania maumivu makubwa.

Katika kutekeleza Hilo, Mozambique wameamua kuikodisha Bandari Yao ya Nacala Kwa Nchi ya Malawi na Zambia ambapo wataitumia Kwa kipindi Cha miaka 100 ijayo.

Nchi hizo 3 zinapanga kujenga miundombinu ya reli kutoka Nakala Hadi Mji Mkuu wa Malawi Lilongwe na kisha Hadi Mji Mkuu wa Zambia Lusaka.

Njia hiyo Mpya ya reli itapunguza umbali wa Zambia kuifikia Bandari ya Dar hivyo zaidi ya asilimia 90% ya mzigo wa Zambia utapitia Bandari za Msumbiji za Nakala na Beira.

Kwa hatua hiyo itakuwa ni pigo kubwa sana kwa Tanzania ambayo Bandari ya Dar ilikuwa inategemea zaidi mzigo wa Nchi ya Congo DRC na Zambia kama wateja Wakuu huko Nchi zingine zikiongesea ongezea shehena.

Endapo Zambia itaondoka rasmi kuwa mteja wa Tanzania sio tuu itapunguza mzigo wa Bandari ya Dar Bali itaua kabisa biashara ya Malori ya mizigo Tanzania ambapo Kwa sehemu kubwa yatahamia Nchi hizo za Zambia,Malawi na Msumbiji na zingine za Afrika Ili kuendelea na Biashara ya Usafirishaji.

View attachment 3080432

Pia soma: Bandari za Dar na Mtwara Kuwa Mashakani Kutokana na Nchi za Zambia,Malawi na Mozambique Kuzindua Upanuzi Mkubwa wa Miundombinu ya Nacala Port.

Kwa maelezo zaidi soma hapa Ili Kuongeza Ufanisi wa reli ya TAZARA,Tanzania na Zambia Ziiombe China Wajenge reli Mpya ya Makambako-Mtwara & Kasama-Lubumbashi/Likasi

Ushauri:

Serikali ihakikishe mipango yetu yote Kwa Sasa iwe inalenga kuikumbatia DRC kuanzia Kusini Hadi Kaskazini maana ndio mteja pekee ambae walau jiografia inatupa nafasi.

Serikali ifanye yafuatayo:
1. Lazima tujihusishe na kutafuta amani directly ndani ya DRC Ikibidi Kwa gharama zetu.

2. Lazima Sgr na Barabara zivuke na kuifikia DRC (Bukavu,Goma, Kinshasa, Kindu)

3. Lazima tuwashawishi Zambia na DRC tujenge reli kutoka Tunduma-Kasama-Lubumbashi-Likasi na Kutoka Makambako-Mtwara Port.

4. Lazima Sgr itoke Mpanda-Karema na Kigoma

5. Lazima tutafute pesa za kujenga meli kubwa za mizigo na abiaria ndani ya Ziwa Viktoria na pia tujenge Bandari,Barabara na reli upande wa DRC hata Kwa kuwakomesha pesa

6.Lazima tuwape DRC,Rwanda na Burundi Ardhi za Bure za kumhudumia mizigo Yao Pwani.

My Take
Tusipofanya hayo tunaenda kupoteza hata hiyo DRC Kwa Kenya, Angola na Mozambique na ikizingatiwa DRC inajenga Bandari na reli kuunganisha na Zambia na Angola.

Washindani Wetu wa Kenya wao Wana uhakika na Uganda, South Sudan, Northern DRC na somehow Ethiopia na Rwanda.

Tuachane na Mpango wa kujenga reli ya Mtwara Corridor hiyo Haina maana tena imeshakufa,Nguvu zote zielekezwe Kujenga kioande Cha kutoka Makambako -Mtwara.

One of the best thread I ever come across here... Well narrated. Kudoz
 
Back
Top Bottom