Sasa nchi inategemea majeshi ya nchi nyingine ya kukodi kulinda nchi yao unaenda kuwekeza bandari huko akili hiyo? Au sisi tujenge reli kwendq kongo nchi ambayo jeshi lake halina nguvu wamejaa waasi kila kona majeshi ya k9geni tu ndio yamejaa yanalipua mabarabara na madaraja kila sikukampuni ya total imeingia mkataba na jeshi la rwanda kulinda uwekezaji nchini msumbiji hao magaidi washadhibitiwa, kusema malawi haina hela sio kweli hela haipimwi kwa per km, malawi ina bandari kavu dar tangu enzi ya nyerere
Ili tuendelee kula nao sambamba ni kuboresha bandari ya mtwara. Ila nchi yetu hii hainaga jupya Kila kitu aliacha Nyerere upuuzi mtupuNdio mana nasema na sisi tujenge kutoka Tunduma hadi Lubumbashi Ili tugawane mzigo,japo kule ni short route ila biashara kubwa Iko upande wa Nchi za Indian Ocean kuliko Nchi za Atlantic Ocean.
Nilishatoa ushauri hapa Ili Kuongeza Ufanisi wa reli ya TAZARA,Tanzania na Zambia Ziiombe China Wajenge reli Mpya ya Makambako-Mtwara & Kasama-Lubumbashi/Likasi
Hadithi au siyo? Tayari mizigo imeanza kwenda Lobito port kutoka DRC na Zambia baada ya reli kufufuliwa upya.Ikifanyika hivyo ndio itakuwa tayari wametumaliza, lakini kwa jinsi ninavyojua hizi nchi zetu za kiafrika utakuta ni hadithi za furahisha genge.
Huyo ni CCM na hizo ndio akili za Ma- CCM.DP World ndio anategemea Kodi za Bandari kuendesha Nchi? Unaropoka usichojua.
tatizo sio serikali ya zambia ni wanaosafirisha mizigo wanatafuta unafuu wa mizigo yao ili bidhaa ifike sokoni kwa bei nzuri wauze kwa ushindani, tukae na wenye mizigo hasa Barrick BHP Trafigura, tuweke hesabu mezani, tunahitaji watu wenye uwezo mkubwa wa ushawishi akina prof kabudi, tusiwatumie kwenda kuongea na wamasai hao tumwachie makonda, tuunde team ya wajuzi akina Kabudi Muhongo mataragioSahihi Zambia anayo tayari Tazara na yeye ndie mwenye hisa nyingi ambaye hutoa kiongozi mkuu ajenge ingine miujiza
Dp World wanaleta mizigoPdd welding watakua wanapakia mangamia tu toka Oman.
Yanga Bingwa tena.
hatasie majeshi ya kukodi yapo kila korna, ulishajiuliza asili ya Gardasecurity, G4S huko yanakotoka yameundwa na makomando na security elites, mkikinukisha wanatia team harakaSasa nchi inategemea majeshi ya nchi nyingine ya kukodi kulinda nchi yao unaenda kuwekeza bandari huko akili hiyo? Au sisi tujenge reli kwendq kongo nchi ambayo jeshi lake halina nguvu wamejaa waasi kila kona majeshi ya k9geni tu ndio yamejaa yanalipua mabarabara na madaraja kila siku
Malawi na Zambia watakuwa akili hawana kwenye huo uwekezaji
Mizigo ipi na wateja hao wanakimbia ,Dp World wanaleta mizigo
Unafurahia kushindwa kwa serikali yako mwenyewe?. hizi ndizo akili za kimaskini.Ina maana hata hao DPP WORLD wameingia cha kike? 😃😃😃😃
Huu utawala wa huyu Mama una nuksi mno
Wateja Binafsi wanaangalia unafuu na usalama na uharaka wa Mizigo yao DP wako kwenye Business kwa muda sasa.Mizigo ipi na wateja hao wanakimbia ,
We tutusa kama ungejua management za Bandari huko duniani zilivyo usingeshangilia ujinga wa huyu mama mchungajiHuyo ni CCM na hizo ndio akili za Ma- CCM.