Msumbiji Wamekodisha Bandari ya Nacala Kwa Malawi & Zambia Kwa Miaka 100. Tanzania Kupoteza Mteja namba 2 wa Dar Port

Msumbiji Wamekodisha Bandari ya Nacala Kwa Malawi & Zambia Kwa Miaka 100. Tanzania Kupoteza Mteja namba 2 wa Dar Port

kampuni ya total imeingia mkataba na jeshi la rwanda kulinda uwekezaji nchini msumbiji hao magaidi washadhibitiwa, kusema malawi haina hela sio kweli hela haipimwi kwa per km, malawi ina bandari kavu dar tangu enzi ya nyerere
Sasa nchi inategemea majeshi ya nchi nyingine ya kukodi kulinda nchi yao unaenda kuwekeza bandari huko akili hiyo? Au sisi tujenge reli kwendq kongo nchi ambayo jeshi lake halina nguvu wamejaa waasi kila kona majeshi ya k9geni tu ndio yamejaa yanalipua mabarabara na madaraja kila siku

Malawi na Zambia watakuwa akili hawana kwenye huo uwekezaji
 
Ndio mana nasema na sisi tujenge kutoka Tunduma hadi Lubumbashi Ili tugawane mzigo,japo kule ni short route ila biashara kubwa Iko upande wa Nchi za Indian Ocean kuliko Nchi za Atlantic Ocean.

Nilishatoa ushauri hapa Ili Kuongeza Ufanisi wa reli ya TAZARA,Tanzania na Zambia Ziiombe China Wajenge reli Mpya ya Makambako-Mtwara & Kasama-Lubumbashi/Likasi
Ili tuendelee kula nao sambamba ni kuboresha bandari ya mtwara. Ila nchi yetu hii hainaga jupya Kila kitu aliacha Nyerere upuuzi mtupu
 
Ikifanyika hivyo ndio itakuwa tayari wametumaliza, lakini kwa jinsi ninavyojua hizi nchi zetu za kiafrika utakuta ni hadithi za furahisha genge.
Hadithi au siyo? Tayari mizigo imeanza kwenda Lobito port kutoka DRC na Zambia baada ya reli kufufuliwa upya.
 
Sahihi Zambia anayo tayari Tazara na yeye ndie mwenye hisa nyingi ambaye hutoa kiongozi mkuu ajenge ingine miujiza
tatizo sio serikali ya zambia ni wanaosafirisha mizigo wanatafuta unafuu wa mizigo yao ili bidhaa ifike sokoni kwa bei nzuri wauze kwa ushindani, tukae na wenye mizigo hasa Barrick BHP Trafigura, tuweke hesabu mezani, tunahitaji watu wenye uwezo mkubwa wa ushawishi akina prof kabudi, tusiwatumie kwenda kuongea na wamasai hao tumwachie makonda, tuunde team ya wajuzi akina Kabudi Muhongo mataragio
 
Sasa nchi inategemea majeshi ya nchi nyingine ya kukodi kulinda nchi yao unaenda kuwekeza bandari huko akili hiyo? Au sisi tujenge reli kwendq kongo nchi ambayo jeshi lake halina nguvu wamejaa waasi kila kona majeshi ya k9geni tu ndio yamejaa yanalipua mabarabara na madaraja kila siku

Malawi na Zambia watakuwa akili hawana kwenye huo uwekezaji
hatasie majeshi ya kukodi yapo kila korna, ulishajiuliza asili ya Gardasecurity, G4S huko yanakotoka yameundwa na makomando na security elites, mkikinukisha wanatia team haraka
 
Dp World wanaleta mizigo
Mizigo ipi na wateja hao wanakimbia ,

Sasa sijui tunakwenda kunufaikaje na hiyo "mizigo".

Malawi na Zambia ni wateja wakubwa sana wa bandari yetu kuwapoteza ni maumivu makubwa.

Utalii nao ndio huo tunauharibu kwa kufukuza wamasai.

Tutaisoma namba miaka michache ijao.
 
Kijiografi kwa rwanda,burundi na east congo kutumia bandari ya mombasa ni upeo finyu wa viongozi wetu,hata uganda ilikua tugawane mizigo na kenya 50/50,imagine kama kenya ndio ingekua imepakana na drc,rwanda nq congo sisi tusingeambulia kitu kutoka kwenye hizo nchi
 
Bado kuna soko la Burundi na Rwanda kwani kwao ni mbali kupitishia mzigo huko Nacala. Pia sehemu ya DRC ni soko letu la uhakika katika masuala ya bandari.
 
Back
Top Bottom