Msumbiji yaanza kusafirisha Gesi kwenda Ulaya

Unasafirisha wakati raia wako hawawezi ku afford?
 
issue sio kusafirisha, hata sisi tunasafirisha madini. issue ni je kama taifa la msumbij linafaidika na hiyo gesi? au wanafaidika wanasisa tu na wazungu. sisi watz ni hovyo sana baads ya kujiuliza maswali ya msingi wa hizo project tunaangalia tu matokeo. wewe unajua kweye hiyo project wazungu wamewapiga msumbiji kwa kiasi gani. mpaka sasa asilimia zaidi ya 60 ya umeme wetu ni wa gesi. ushajiuliza kwanini tunashindwa kuitumia hiyo gesi hata hapa ndani tu tupate umeme wa uhakika? badala yake tunaambiwa mabwa yamekauka.
 
Hongera zao.

Natumaini wataambulia chochote!
 
Nami hawa walamba asali hapa ndo tunatofautiana. The late was about the country and its people ulinganishe na mikataba ya january. Mburaaa
 

Hiyo gesi ina wenyewe, huna chako pale
 
Nami hawa walamba asali hapa ndo tunatofautiana. The late was about the country and its people ulinganishe na mikataba ya january. Mburaaa
About the country kwenye nini? Kujenga uwanja wa ndege chato na kuuwa watu?
 
K
Lete facts kama wazungu wanawapiga msumbiji, acha blah blah na kupiga ramli
 
Sasa ni wakati makampuni ya Tz yaanze nunua hapo karibu ili tuuziwe gesi bei ndogo
 
1. Je tumlaumu pia Nyerere kwa kuzuia rasimali madini kuchimbwa?
2. Je wana msumbiji wanafaidika na hio gas, au picha tu imekutoa mapovu?
3. Kipi ni sahihi,kuto kuchimba gas au kuchimba gas ila usifaidike nayo?
Tujadili haya maswali kwa data, km Critical thinkers
 
🤔🤔🤔 msumbiji wanasafirisha gas lakini nani anayejua kuwa msumbiji wameingia mkataba gani na uo mkataba unawanufaisha vipi.

kumbuka kila mtu na mahitaji yake kwako afu tatu inaweza ikawa pesa yako ya kula siku nzima alafu kuna mtu afutatu kwake ni pesa ya pipi tu
 
Huzuni yako na masikitiko yako vinaonekana ni uongo kwa sababu umeanza na uongo - Tanzania kuna kabila la wahutu ambao ni wengi mno mkoa wa Katavi, ila uongo wako ni kwamba hakuna Muhutu ambaye alichukua madaraka mwaka 2015 nchi Tanzania.
Siyo utani, wahutu wapo Tanzania (wengi mikoa ya Katavi na Kigoma - naturalised citizens of Tanzania) na lazima waheshimiwe kama makabila mengine ie wachaga, wapare, waarusha, wairaqui, wamaasai etc.
Wahutu, wameingia Tanzania wengi kufuata vita vya mara kwa mara katika Burundi na katika Rwanda. Wengi wao walipewa utaifa wa Tanzania lakini kabila lao halikubadilika na kuwa wachaga! Hivyo unapotumia kabila lao kama tusi au kejeli unakosea. Wengine wametumia maneno kama kichaa, mwendawazimu, mwendazake etc, tunaweza kuwapuuzia! Lakini, wewe hapana. Umekosea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…