Msumbiji yaanza kusafirisha Gesi kwenda Ulaya

Msumbiji yaanza kusafirisha Gesi kwenda Ulaya

Wazungu inatakiwa uende nao kwa akili,kwani unafikiri mama Samia hiyo fursa haioni...!
 
Kwa sasa kimekushinda nini?

Upatikanaji tu wa umeme umekushinda, kila siku tupo kwenye mgao usioisha, uongelee kusafirisha gas?

Kwa uwezo upi ulionao wewe Januuu--- ary?

Endeleeni kumlaumu asiyekuwepo, Mara paap, 2025, Sjui mtamsingizia Nani nyinyi wehu,!
Wataiba kura
 
Back
Top Bottom