Gfav
JF-Expert Member
- Oct 7, 2022
- 378
- 669
Tulia dawa iingie vizuri kwanza.
Sasa dawa gani tena imuingie huyu mtanzania mwenye uchungu kama sio wewe ni mchokozi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia dawa iingie vizuri kwanza.
Total Energies is the operator of the Mozambique LNG Project, with a 26.5 per cent stake. Its partners in the consortium are Mitsui of Japan, with 20 per cent, Mozambique's own National Hydrocarbon Company (ENH) with 15 percent, PRTTEP of Thailand with 8.5 per cent, and three Indian companies, ONGC Videsh Rovuma Limited, Beas Rovuma Energy Mozambique Limited, BPRL Ventures Mozambique, with 10 per cent each.Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya wakikamata fursa iliyofunguka
Kama Tanzania hatujaamua kuacha Siasa kwenye Utendaji tutazidi kuwa wa mwisho kwenye maendeleo hadi mwisho wa duniaView attachment 2415622
Ngumu kuamini lakini hata mimi nimeanza kuamini gas ingemaliza tatizo la umeme Tanzania, na lile bwana naona itakuwa hasara tupu, tumepewa zawadi ya gas lakini hata kujisaidia tuu kununua mitambo tuwashe umeme wetu tumeshindwa, ngumu sana kumwelewa mtu mweusi ni laana au ni kweli tuna low IQ?Hata kwenye umeme angewekeza kwenye umeme wa Gesi leo kusingekuwa na mgao. Na uharibifu huu wa mazingira hata uwekezaji wa nyerere Dam utakuwa wa hasara tu
Sawa lakini wanalipa kodi, royalities etc na watu wanapata kazi, na Mozambique nao wana shares zao, ndio biashara zilivyo kila mtu lazima apate, usichanganye ile mikataba ya rushwa ya CCM ambayo hata wazungu wenyewe hawaielewiHapo juu ndio wanufaika wa hiyo gesi ya wana Msumbiji.
Yule mzee alikuwa muongo na mfitini aliyejaa chuki sanaLakini Magufuli alisema gas siyo ya kwetu, iliishachukuliwa!
Na mimi nawauliza CCM, kwa nini gas ilitolewa Mtwara ikaletwa Dar?
Je, nani anasimamia usafirishaji wa gas kutoka Mtwara mpaka Dar?
Izo ramli tu. Hakuna cha mweupe wala mweusi, duniani kila mtu anatakiwa kuishi kwa akiliSiku utakapomuelewa mtu mweupe utaniambia inshallah
Tunazingatia kabila na asili kwa sababu kuna makabila yamejaa ukatili na roho mbaya. Watanzania sio wakatili na hawana roho mbayaHuzuni yako na masikitiko yako vinaonekana ni uongo kwa sababu umeanza na uongo - Tanzania kuna kabila la wahutu ambao ni wengi mno mkoa wa Katavi, ila uongo wako ni kwamba hakuna Muhutu ambaye alichukua madaraka mwaka 2015 nchi Tanzania.
Siyo utani, wahutu wapo Tanzania (wengi mikoa ya Katavi na Kigoma - naturalised citizens of Tanzania) na lazima waheshimiwe kama makabila mengine ie wachaga, wapare, waarusha, wairaqui, wamaasai etc.
Wahutu, wameingia Tanzania wengi kufuata vita vya mara kwa mara katika Burundi na katika Rwanda. Wengi wao walipewa utaifa wa Tanzania lakini kabila lao halikubadilika na kuwa wachaga! Hivyo unapotumia kabila lao kama tusi au kejeli unakosea. Wengine wametumia maneno kama kichaa, mwendawazimu, mwendazake etc, tunaweza kuwapuuzia! Lakini, wewe hapana. Umekosea!
Hiyo siyo fact ni nadharia.subiri facts hivyo hivyo. Wewe unajua kwanini wanavamiwa na wale wanaowaita magaidi. hivi unajua kwanini walishindwa kujenga LNG mpaka wakaamua kusafurish gesi kutumia FLNG kwa maana ya Floating Liquified Natural Gas?
Tusipotafuta dawa ya wanasiasa kuwa waamuzi wa mwisho wa maisha yetu na sio watendaji tutalia mileleNgumu kuamini lakini hata mimi nimeanza kuamini gas ingemaliza tatizo la umeme Tanzania, na lile bwana naona itakuwa hasara tupu, tumepewa zawadi ya gas lakini hata kujisaidia tuu kununua mitambo tuwashe umeme wetu tumeshindwa, ngumu sana kumwelewa mtu mweusi ni laana au ni kweli tuna low IQ?
Hivyo ndo biashara ilivyo dunia nzima. We unataka kila kitu kifanywe na serikali?Total Energies is the operator of the Mozambique LNG Project, with a 26.5 per cent stake. Its partners in the consortium are Mitsui of Japan, with 20 per cent, Mozambique's own National Hydrocarbon Company (ENH) with 15 percent, PRTTEP of Thailand with 8.5 per cent, and three Indian companies, ONGC Videsh Rovuma Limited, Beas Rovuma Energy Mozambique Limited, BPRL Ventures Mozambique, with 10 per cent each.
BPRL Ventures Bharat Gas Resources Ltd. is a wholly owned subsidiary of the Indian company Bharat Petroleum Corporation Ltd.
Source: allafrica.com
Kwa miaka mitano aliyoongoza aneturudisha nyuma sana kwa kuacha kuendeleza mambo ya msingi kwa chuki zake tu.Kwaiyo kila kitu mlitaka afanye Magufuli!nyie mle kuku kwa mlija, Magufuli alifanya aliyoyaweza,nanyi fanyeni yaliomshinda,Sio kila kitu Magufuli wakati ameongoza miaka 5 tu.
Na hakika material yote ya ujenzi wa visima vya kuchakata gesi ya LNG northern Mozambique yalipita Bandari ya MtwaraWakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya wakikamata fursa iliyofunguka
Kama Tanzania hatujaamua kuacha Siasa kwenye Utendaji tutazidi kuwa wa mwisho kwenye maendeleo hadi mwisho wa duniaView attachment 2415622
Flyover? ShitDah...
Siamini kauli hii.
Hata zile Flyover na Viwanja vya ndege basi hata Reli vyote ni utapeli...?
Hii nchi ina katiba inayowapa nguvu sana wanasiasa ambapo wanaweza kufanya lolote wakati wowote ujinga mtupu. Na tutazidi kuwa nyuma hadi mwisho wa duniaNa hakika material yote ya ujenzi wa visima vya kuchakata gesi ya LNG northern Mozambique yalipita Bandari ya Mtwara
HAPA KAZI TU, pumbavu!
Sisi tuliambiwa tumepigwa!! Sio yetu !! Tutaisafirishaje. ?Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya wakikamata fursa iliyofunguka
Kama Tanzania hatujaamua kuacha Siasa kwenye Utendaji tutazidi kuwa wa mwisho kwenye maendeleo hadi mwisho wa duniaView attachment 2415622
Haiwezekani !!Magufuli was a conman.
Hawaioni hata kwa macho !!Hio gas ya Msumbiji si inatoka kaskazini kulikotekwa na magaidi ya ISIS. Usalama hakuna Ila gas inasafiri na watu wanashangilia, wao wenyewe Msumbiji wanaitumia?